Tanzania Contributing the least to EAC Parliament

Tanzania Contributing the least to EAC Parliament

Tribalism which also exists in every SADC country. Mshenzi kweli.
But better tribalism than national laziness.
Nchi yenye raslimali, amani, na bila ukabila kutoka ipate uhuru, aje ikawa ndio inaongoza umaskini?

Uzembe ni ugonjwa mbaya kuliko ukimwi.
Which member of SADC with tribalism to the extent of killing each other during election, or with rampant political assassination?
 
Sasa Tanzania, Burundi, Rwanda na Uganda wakiwa ni member wa SADC which is bigger and richer block, kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa EAC?
You will just be burden to SADC becausw you are poor, you don't have money to contribute.
 
You are very much correct, we are less interested with EAC, our attention is on SADC.
I remember when I told you he who pays the Piper calls the tune you denied that Kenya isn't the biggest contributor. Alafu ikishavunjika munaanza eti ooh Kenya walituibia hii without considering what you actually contributed.
 
Ninadhani jambo muhimu ni kwamba mnafahamu kwamba Tanzania is not interested with EAC.
 
We demonstrated this 101 times, hatutaki kushirikiana na wezi, hatutaki kushirikiana na Kenya,
 
Tatizo walilonalo wakenya ni kwamba, uchumi wa Kenya unategemea sana EA integration, na ndani ya EAC, Tanzania ndio tegemeo la wakenya kwa investments na biashara, kwahiyo watatumia kila aina ya ushawishi kuhakikisha Tanzania inashiriki kikamilifu EAC. EAC bila Tanzania haina maslahi kwa Kenya.
We demonstrated this 101 times, hatutaki kushirikiana na wezi, hatutaki kushirikiana na Kenya,
 
Safi sana nyanyangu, hicho ndicho tunakisubiri kwa hamu kubwa, tutapata muda wa kutosha wa kushiriki kikamilifu SADC, na Kenya mtapata muda mzuri wa kushughulikia kujiunga na European Union.
Lol. What happened in 1977 may soon happen.
 
Do you mean SADC is richer or South Africa is richer?
Nyinyi huko, like everywhere else, you're supporting cast.
Kweli, Tanzania huwa hasikiki popote isipokuwa hapa Kenyan news yani JF ONLY. Hiyo SADC ni South Afrika nayo EAC ni Kenya.
 
Kwanini unasema ninaichukia Kenya kwa kukataa EAC?, au unadhani Kenya ndio nchi itakayoathirika zaidi kama EAC itavunjika?.

Actually Mimi ninaipenda na kuitakia mema Kenya, kwasababu ninyi ndio mnabeba mzigo mkubwa ndani ya EAC, kuanzia contributions na mambo mengine, EAC ikivunjika hiyo pesa mtaitumia kusaidia watu wenu.
LOL. Unachukia Kenya sana. Umezaliwa ikiwa hapo na utakufa uiache hapo. Live ya lyf mehn.I don't think there is any Kenyan who gives a damn 'boutwhat bongolalas think 'bout'em
 
Kwanini unasema ninaichukia Kenya kwa kukataa EAC?, au unadhani Kenya ndio nchi itakayoathirika zaidi kama EAC itavunjika?.

Actually Mimi ninaipenda na kuitakia mema Kenya, kwasababu ninyi ndio mnabeba mzigo mkubwa ndani ya EAC, kuanzia contributions na mambo mengine, EAC ikivunjika hiyo pesa mtaitumia kusaidia watu wenu.
Haha hili kweli Joto la jiwe
 
yaani hata dakika kumi hazijapita ushawaruka Rwanda, Burundi na Uganda?? eeh jameni sasa SADC mtaenda na nani tena??
Njia ya muongo ni fupi na pia ni wazi Watanzania sio watu wa kuaminika.
 
We demonstrated this 101 times, hatutaki kushirikiana na wezi, hatutaki kushirikiana na Kenya,
Si mjitoe Kwa EAC basi kama nyinyi no wanaume? Mmekua mkisema hivyo miaka 20 imepita sasa!

Ndani ya EAC ni Kenya na Uganda ndo wanafanya biashara zaidi Naina ya nchi hizo mbili, tena tuko na balance of trade hakuna anayedhulumu mwenzake.... You don't need EAC for that, Bilateral trade pact would suffice.

Tena nimeona watz wengi mnasema eti EAC ikivunjwa Kenya itadorora kiunchumi ... Unajua COMESA iko more free kuliko EAC ? Huko ndani ya COMESA Kenya na Egypt ndo inaongozwa Kwa kuuza bidhaa, Eh. Kenya ina export $1.5B Chini ya COMESA! Hio ni zaidi ya trade between Kenya and Tz+Ug+Rw+Be combined!
 
Hujatuelewa lengo letu viziru. Lengo letu sio kujitoa na kuiacha EAÇ intact, lengo ni kuivuruga hadi isambaratike kama 1977, kwasababu sisi tupo na SADC hatutopoteza chochote.
Si mjitoe Kwa EAC basi kama nyinyi no wanaume? Mmekua mkisema hivyo miaka 20 imepita sasa!

Ndani ya EAC ni Kenya na Uganda ndo wanafanya biashara zaidi Naina ya nchi hizo mbili, tena tuko na balance of trade hakuna anayedhulumu mwenzake.... You don't need EAC for that, Bilateral trade pact would suffice.

Tena nimeona watz wengi mnasema eti EAC ikivunjwa Kenya itadorora kiunchumi ... Unajua COMESA iko more free kuliko EAC ? Huko ndani ya COMESA Kenya na Egypt ndo inaongozwa Kwa kuuza bidhaa, Eh. Kenya ina export $1.5B Chini ya COMESA! Hio ni zaidi ya trade between Kenya and Tz+Ug+Rw+Be combined!
 
Which member of SADC with tribalism to the extent of killing each other during election, or with rampant political assassination?

Most of Africa has moved away from political assassinations or attempted assassinations. Except Tanzania.
Your Supremo is currently returning Africa to the dark ages.

Here in Kenya, we're glad to treat your opposition politicians in our modern hospitals, when they are shot in the streets like dogs.
 
Back
Top Bottom