Tanzania Contributing the least to EAC Parliament

Kwa miaka 40 sisi tukiwa tunapigania kuwakomboa waafrika, ninyi mlikua mnalelewa na wazingu, Kenya, South Korea, Singerpore na Israel, mlipewa equal opportunities from western countries, wenzenu wameendelea, ninyi hadi Leo mnaongoza kwa slums na njaa duniani.

Tumemaliza vita, tumeanza kujenga uchumi, na tumeanza kuwauzia chakula, unemployment, inflation and many social services tumeshawapita, hiyo ni nchi ya laana, mnachojua ni kuuana wakati wa uchaguzi na political assassination.

Keep fantasizing about your non-existent liberation wars.

Wale ambao unajidanganya mlikuwa mnakomboa, sasa hivi wana GDP per capita zaidi ya mara tano yenu.

Kenya has been fighting a real war with weapons in Somalia for 10 years, not these imaginary wars you keep talking about.
But what has happened since 2008, the gap between our GDPs has grown from $8 billion to $25 billion.
 
Hahahahahhah, South Korea, Israel, Singapore na Malaysia, zote zilipata msaada sawa na Kenya kwa miaka mingi tangu kama Kenya, wakati tunazikomboa nchi, ninyi mlikua mnalamba matak*o ya wazungu.

Wenzenu wote wameendelea, ninyi katika sector zote mumerudi nyuma isipokua
1)Poverty 36.7%
2)Tribalism
3)Slums
4)Hunger
5)corruption
6)Hunger
Badala ya kufikia developed country, ninyi mumeamua kuwa failed state.

Hujatuelewa lengo letu viziru. Lengo letu sio kujitoa na kuiacha EAÇ intact, lengo ni kuivuruga hadi isambaratike kama 1977, kwasababu sisi tupo na SADC hatutopoteza chochote.
Oh, kama kawa hili ndo Tanzania inajulikana nalo, Chuki, wivu na unafik ... Mtanzania ukimkosea anakuchekelea na kutabasamu alafu baadae ukipitia mtaani Kwa vichochoro unajikuta umedungwa kisu na haujui kwanini ....
 
Kweli kabisa, ninyi mzidi kuendelea na
1)Hunger
2)Tribalism
3)Poverty 36.7%
4)Corruption
5)Terrorism
6)Slums
7)Terrorism
8)Political Violence and killings
9)Police killings
10)Crime
Halafu kama tu 1977, nyie mbaki maskini wa kutupwa wengine tukiendelea mbele.
 
EAC parliament should be relocated to Kenya or Uganda. Tanzania is a disgrace to East Africa. In fact is Tanzania even in East Africa???
 
Kweli kabisa, wewe unawajua vizuri sana watanzania. Sasa mnajua vizuri nini tunachokitafuta ndani ya EAC, pia tunawajulisha kwamba, Kenya ni kwa ajili ya wakenya na Tanzania ni kwa ajili ya watanzania, kila mtu abaki kwake tusiambukizane magonjwa ya kijamii.
Oh, kama kawa hili ndo Tanzania inajulikana nalo, Chuki, wivu na unafik ... Mtanzania ukimkosea anakuchekelea na kutabasamu alafu baadae ukipitia mtaani Kwa vichochoro unajikuta umedungwa kisu na haujui kwanini ....
 
Tanzania is actually in Southern Africa, these are our brothers and sisters, we were together during dark days. A friend in need is a friend indeed
EAC parliament should be relocated to Kenya or Uganda. Tanzania is a disgrace to East Africa. In fact is Tanzania even in East Africa???
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kama utaangalia You tube katika mazishi ya Mandela kule kijijini kwake Xunu, Syril Ramaphosa wakati anamkaribisha Kikwete alisema kwamba,"Tanzania ni nchi tunayoipa hadhi ya hali ya juu sana, kwasababu walisimamisha shughuli zote za maendeleo ya nchi yao ili kuhakikisha Africa yote inakua Uhuru".

Katika nyakati za Nyerere kulikua na slogan isemayo" Tanzania haijapata Uhuru kama kuna nchi yoyote ya Africa bado haijawa Uhuru". Japo Tanzania hatukupata Uhuru kupitia vita, lakini tumepiga vita Vinci vya Uhuru kuliko nchi yoyote ile Africa.

Ukizingatia kwamba vita ni gharama, na has a vita dhidi ya mataifa ya magharibi ambayo ndio yenye kudhibiti masoko yote na biashara, pia technology za maendeleo, ni wazi kwamba ukigombana na mataifa hayo, uchumi wa nchi utaporomoka.
Lol. Mimi huwashangaa mkisema hili liliwachelewesha kimaendeleo. Excuses.
 
Hahahahahhah, South Korea, Israel, Singapore na Malaysia, zote zilipata msaada sawa na Kenya kwa miaka mingi tangu kama Kenya, wakati tunazikomboa nchi, ninyi mlikua mnalamba matak*o ya wazungu.

Wenzenu wote wameendelea, ninyi katika sector zote mumerudi nyuma isipokua
1)Poverty 36.7%
2)Tribalism
3)Slums
4)Hunger
5)corruption
6)Hunger
Badala ya kufikia developed country, ninyi mumeamua kuwa failed state.

Mzembe lazima atafute reason ya kujustify umaskini wake. Oh ati Kenya ilipewa pesa, oh ilipewa pesa kama Israel.
Nyinyi mpaka leo mnasurvive na donor aid. Lakini umaskini ni ule ule.
 
Tanzania budget deficit less than 3%, Kenya above 6%. Hadi Leo mnasaidiwa chakula na mna highest unemployment rate duniani. Nani aliyewalaani ninyi?
Mzembe lazima atafute reason ya kujustify umaskini wake. Oh ati Kenya ilipewa pesa, oh ilipewa pesa kama Israel.
Nyinyi mpaka leo mnasurvive na donor aid. Lakini umaskini ni ule ule.
 
Kama utaangalia You tube katika mazishi ya Mandela kule kijijini kwake Xunu, Syril Ramaphosa wakati anamkaribisha Kikwete alisema kwamba,"Tanzania ni nchi tunayoipa hadhi ya hali ya juu sana, kwasababu walisimamisha shughuli zote za maendeleo ya nchi yao ili kuhakikisha Africa yote inakua Uhuru".

Katika nyakati za Nyerere kulikua na slogan isemayo" Tanzania haijapata Uhuru kama kuna nchi yoyote ya Africa bado haijawa Uhuru". Japo Tanzania hatukupata Uhuru kupitia vita, lakini tumepiga vita Vinci vya Uhuru kuliko nchi yoyote ile Africa.

Ukizingatia kwamba vita ni gharama, na has a vita dhidi ya mataifa ya magharibi ambayo ndio yenye kudhibiti masoko yote na biashara, pia technology za maendeleo, ni wazi kwamba ukigombana na mataifa hayo, uchumi wa nchi utaporomoka.

Blah blah blah.
Hio ndio inaitwa lip service. Rampaphosa anajua bongolala ni watu wa kupenda na kutamani sifa za kijinga.

Kama wanamdhamani sana kama unavyojidanganya, wangekuwa wamemsaidia kujitoa kwa umaskini.
Sasa hivi, mnashindwa kulipa share yenu ya EAC, mnashindwa kulipa share yenu ya SADC. Hata UN niko sure mnashindwa kulipa huko pia.
Pesa yote imenunua koroshow.
 
Hahahahahahaha, kwa taarifa yako SADC sio community ya kizembe kama EAC, kule hakuna michango ya kijinga na matumizi ya hovyo, hakuna parliament wala HQ yenye majengo mengi na wafanyakazi wengi, actually nchi za SADC kila mwaka zinapata mgao wa dividend kutokana na investments za SADC na ndio zinazoghatamia shughuli za SADC.

EAC inahitaji michango kwasababu kuna wakenya wengi katika secretariat, wameleta rushwa na matumizi mabaya ya pesa, kama ilivyo katika matumizi ya GoK, sasa hivi huko kwenu Punda amechoka, hata huku EAC tumewachoka.

Back
Top Bottom