kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Kwa miaka 40 sisi tukiwa tunapigania kuwakomboa waafrika, ninyi mlikua mnalelewa na wazingu, Kenya, South Korea, Singerpore na Israel, mlipewa equal opportunities from western countries, wenzenu wameendelea, ninyi hadi Leo mnaongoza kwa slums na njaa duniani.
Tumemaliza vita, tumeanza kujenga uchumi, na tumeanza kuwauzia chakula, unemployment, inflation and many social services tumeshawapita, hiyo ni nchi ya laana, mnachojua ni kuuana wakati wa uchaguzi na political assassination.
Keep fantasizing about your non-existent liberation wars.
Wale ambao unajidanganya mlikuwa mnakomboa, sasa hivi wana GDP per capita zaidi ya mara tano yenu.
Kenya has been fighting a real war with weapons in Somalia for 10 years, not these imaginary wars you keep talking about.
But what has happened since 2008, the gap between our GDPs has grown from $8 billion to $25 billion.