Tetesi: Tanzania Daima Hali Siyo Shwari, Mhariri Mkuu, Ndugu Neville Meena Atimuliwa Kazi

MMEAKALIA MAJUNGU NYIE WATU MLIO VERY MISSERABLE AND HORRIBLE. Kwani likiwa na ukata yale matoilet paper ,mliyouza hadi machine yatapata hela na kufufuka?Huu ujinga ndio huwa unawafanya mfukuze watu waliozifanya taasisi za umma zipate hela mkidhani wao ndio wamefuata hela.Mkiingia mnachemsha. Kazi kubwa ccm waliyofanya ya hujuma,na bado mafanikio kiduchu ,msingekuja bila iabu hapa. MIaka nenda rudi watu wenye vichwa vidogo vya zika wamekuwa akikimbilia kuhujumu wengine waanaguke wakidhani wa ndio watainuka.Hizo nguvu mngezitumia kujijenga mngekuwa pema zaidi.
 
Hahahahahaaaaaaa. Mbowe anaisoma namba
 
Yaani hata hii habari ya kweli unaikataa?
 
hivi uhuru walishalipwa? na walibakizwa wa ngapi vile
 
Af kama vp mbowe na yy afanye kama zitto juzi
 
Linamuhusu Mwenyekiti wake that's why anazuga kuwa ni minor issue
Tatizo hamlijui kwanini wenye akili wanawacheka, sio wewe tuu kuna waziri fulani wa ujenzi ktk hotuba yake ya budget, alijichekesha sana kwa Mbowe. Si mara ya kwanza CCM kujipima na Chadema kila kitu.Na Mbowe ndio kipimo chenu, hata wanasiasa uchwara walijipima na Mbowe. Furaha yako inaonyesha ibada yako na wengine mbele ya Mbowe.
 
Wewe IQ yako ni ndogo sana mshkaji wangu kwa jinsi ulivyo inaonyesha maisha yako ya kubahatisha una mawazo sana ya kimaskini
kwani kafanyeje mkuu, yeye katoa taarifa sasa mwenye kujua zaidi kama ni sahihi au si sahihi atoe..hebu wewe tupe ukweli mzee.
 
narudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
Sijui kama mleta mada atakuelewa maana minor issues ndizo zinamuweka mjini
 

Kwani kuna mahoteli mangapi mijini na jijini yanalaliwa na mapopo!! Hata guest houses hazina wakware!!! Wafanyakazi wangapi wametimuliwa kazi kwenye haya mahoteli na guest houses??!!! Hivyo, kutimuliwa kwa wafanyakazi wa Tanzania Daima siyo issue. Issue ya mjni ni kuwa hela imetambaaa. Tunaisoma namba.
 
Kwani mwenye hilo gazeti ameshalipa deni lile la NHC????kwa miaka hii mitano tu ya mh JPM inatosha kujua tabia halisi za watu wote!!!!!
Na hapo anasaidiwa na ubunge bila hivyo huyu Dj mbowe angekuwa kijakazi wa mtei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…