Tetesi: Tanzania Daima Hali Siyo Shwari, Mhariri Mkuu, Ndugu Neville Meena Atimuliwa Kazi

Jamani ss Freeman I kamtumbua meena bilakufuata utaratibu huu ni udikteta
 
Kwakuwa hixi ni tetesi tunasubiri habari za uhakika.
 
Mbowe kageuka magufi anabana matumizi husinambie kama mwisho atasema wandishi watembee na baiskeli kutafuta habari
 
Chadema mmemtia hasara tu mwenyekiti, mlipeni madeni yake aokoe jahazi!
 

Mbowe alikuwa anaendesha BIASHARA zake kwa kupiga dili. Karibu miaka 20 amefanya BIASHARA zake kwenye jengo la umma bila ya kulipa kodi. Kuna watu wengi hapa Tanzania walikuwa na maisha makubwa ya Utajiri na MASIKINI wengi walikuwa wanawaonea tamaa bila ya kujuwa umadikini wao ni matokeo ya Utajiri wa hawa watu wachache wapiga dili Kama Mbowe. . Uchumi tuliokuwa nao selikali iliyopita ulikuwa uchumi feki, watu kama Mbowe wakisambasa pesa za walipa kodi na kila mwenye bahati ya kuxipata alikuwa akiona uchumi wa Tanzania unaendelea. Watu masikini ambawo ni wengi wanaishi vijinini hawana hata sehemu ya kupaza sauti zao kwa shida walizonnazo. Mbowe hana sifa ya kuwa mkubwa wa wapinzani, jengo la National housing limemuangusha, na biashara nyingi ambazo zilikuwa zinafanikiwa kwaajiri ya dili, Sasa zitafunga moja moja. Upinzani hautaaminika ukiwa unaongozwa na watu kama Mbowe, hawa hawako kwenye siasa kwa manufaa ya WATANZANIA bali kulinda mali zao walizonyakuwa.
 
 
narudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
We umeona ni minor ishu. Lakini pia hii inaashlia kunakitu kinaendelea chini ya kapeti
 
Ya CCM yamekushinda uko kwa jurani paua nyumba yako inavuja.Tengeneza Nyumba yako hali ni mbaya,hayo Magazeti yenu hata robo ya mauzo hayauziki.Mmebaki kulazimisha mashirika ya umma na of is is za serikali kuyanunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…