Mumeshaanza kushindwa[emoji23][emoji23][emoji23] ndio manake sai ni mwwndo wa kujitoa ufahamu tu.Pia wana miradi mingi mikubwa wanayoitekeleza. Ona huu hapo chini.
[emoji14][emoji14][emoji14]
View attachment 1610380
[emoji23][emoji23] and you were rightI told people here that Tanzania has high chances of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
I told people here that Tanzania has high chances of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
WB watatoa mkeka mwezi April 2021 Kaeni Chonjo,izo maneno zinafaa kukaa maktaba tutazirejea[emoji23][emoji23] and you were right
LDCWB watatoa mkeka mwezi April 2021 Kaeni Chonjo,izo maneno zinafaa kukaa maktaba tutazirejea
Tanzania ni LDCWB watatoa mkeka mwezi April 2021 Kaeni Chonjo,izo maneno zinafaa kukaa maktaba tutazirejea
Tayari msharudi huko LDC, anyway how was your short stay as a middle-income economy? ๐ ๐
I told people here that Tanzania has high chances of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
Tupate wadhamini kidogo
Kutoka middle finger country kenyaView attachment 1610590
Huu mwaka mtatii tu nyinyi pamoja na mabeberu ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1610592
Kicks of a dying horse
Bado Tanzania ni LDCTupate wadhamini kidogo
Kutoka middle finger country kenyaView attachment 1610590
Naona mademu wanakugombea kwa kuwa unamiliki keja kwa slum[emoji2957][emoji2957]Bado Tanzania ni LDC
Tanzania bado ni LDCNaona mademu wanakugombea kwa kuwa unamiliki keja kwa slum[emoji2957][emoji2957]
Hivi nyie Wakenya kwanini msingekuwa mnaleta mada kuhusu kukimbia nyikani labda angalau mnaweza kuwa na weledi nazo?!!
Nyie watu mnaonesha ni weupe sana na matokeo yake mada za kitalaamu hamzijui!!!
Look at, wakati hiyo Atlas Method uliyokariri, Data za World Bank zilikuwa Gross National Income (GNI) by Atlas Method, na wewe unaleta takwimu za Real GDP... vitu viwili tofauti!
Pili, hata ukizisoma hizo takwimu zinadhihirisha ni namna gani Mleta Mada na Wakenya wenzako mlivyo weupe kwa kushangilia msichokijua!! Look below:-
View attachment 1610142
Sasa kwavile elimu yenu huko Kenya imejikita kwenye kufundisha "How to BecomeKipchoge" na matokeo yake inashindwa hata kuwapa uwezo wa ku-interpret hata data nyepesi kama hizi, basi wacha niwarudishe darasani enyi Kizazi cha Kalumekenge!!!
1. Tanzania imeingia kwenye middle income countries kwa kutumia GNI by Atlas Method wakati hizo takwimu hapo juu ni Real GDP!!
2. Hizo takwimu hapo juu ambazo umeweka zinaonesha Annual Real GDP, ambapo Kenya inaonesha imekuwa by 1 Unit huku Tanzania imekuwa by 1.9 Unit!
Now tell me: NI nani hapo wameshuka kati ya TZ na KE?!!
On top of that, angalia na hizi takwimu hapa chini:-
View attachment 1610157
Ona takwimu ulizozileta kwa kurupuka bila kujua zinasema nini!!!
Utaona kupitia RED ni jinsi gani Kenya inavyoelemewa mzigo wa madeni ambayo ni 33.7% ya GDP yenu wakati Tanzania ni ONLY 28% ya GDP!!
Mbaya zaidi, hata akiba yenu ya fedha za kigeni ni duni compared to Tanzania as shown in BLUE ambapo your reserve can accommodate your imports of goods and services for ONLY 4.9 months wakati ile ya Tanzania for 5.2 Months!!
REMINDER: Muwe tu mnaleta mada za akina Kipchoge na zingine zisizohitaji matumizi ya Bongo kuzichambua kwa sababu hizi zinazohitaji Bongo, Jinsi walivyo na kichwa ngumu,nakuhakikishia mkuu hakuna hata mmoja aliyekuelewa,wote wametoka kapa๐
Lile swali lake alivyouliza kama anajua kweli mambo ya kichumi,kumbe kanjanja tu,dah wakenya much know sana!
wacha bla bla mingi. ldc weweWanafiki wote hawataki Tz ipige hatua,Wacha Jpm awapike pini ameshawajua ninyi ni wanafiki wakubwa
Kumbe TZ kuingia middle income imewauma?Mbona waDanganyika mna low IQ ivi. LDC sio forecast. Tanzania ni LDC ulie usilie