Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,338
Mkuu, wanasema ukimchunguza sana Kuku huwezi kumla maana hata akikuta kinyesi Kuku hudonoa kula,Shuleni tulikuwa tunapikia chakula maji kama hayo,ilikuwa ni kawaida sana kukuta chura kwenye maharage,uji au kapikwa na ugali kabisa lakini leo hii wengi wetu tuna nafasi zetu,wengine ni Wakurugenzi kwenye Taasisi mbalimbali nchini,wengine ni Wabunge nk,hivyo maisha hayo ni nature tu hayakwepeki kwa level hiyo ya Shule.
Kumbe ndo wewe mkuu dahWakuu mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya siasa ila nilichokiona asubuhi wakati naelekea kwenye mihangaiko yangu hapa jijini Dodoma mitaa ya Chang’ombe B, wanafunzi niliowaona ni wa Shule ya Msingi Chang’ombe B wakiwa
America ni donor mkubwa duniani lakini wapo watu wake wanaolala nje, wasiopata mlo wa siku na kadhalika
Na wewe ni wale wale , Unaonaje uianzisha kampeni ya kukusanya fedha kuwachimbia kisima huku wewe ukiwa MSTARI WA mbele?
Au mpaka sirikali ifanye ...
Na wewe ni wale wale , Unaonaje uianzisha kampeni ya kukusanya fedha kuwachimbia kisima huku wewe ukiwa MSTARI WA mbele?
Au mpaka sirikali ifanye ...
Maji hayo wanaenda kunywa au kumwagilia bustani zao hapo shuleni? Ukifuatilia utagundua wanaenda kumwagilia bustani, na si kwa matumizi ya kibinadamu.Sijaongelea kula mambo ya kula ni jukumu la mtu binafsi kupambana apate Mlo swala la shule kuwa na maji na elimu bora ni swala la ki serikali tena la lazima marekani kuna homeless ndio je kuna shule wanafunzi wanakosa maji wanaenda kuchota mtoni au kwenye vidimbwi.
Hawa ndio wananchi tulionao kwenye jamii anatoa kodi na kulipishwa tena michango isiyo kuwa na macho tena kwenye miradi ambayo serikali inahusika.Na wewe ni wale wale, Unaonaje uianzisha kampeni ya kukusanya fedha kuwachimbia kisima huku wewe ukiwa MSTARI WA mbele?
Au mpaka sirikali ifanye.
Maji hayo wanaenda kunywa au kumwagilia bustani zao hapo shuleni?, ukifuatilia utagundua wanaenda kumwagilia bustani, na si kwa matumizi ya kibinadamu.
Maji hayo wanaenda kunywa au kumwagilia bustani zao hapo shuleni? Ukifuatilia utagundua wanaenda kumwagilia bustani, na si kwa matumizi ya kibinadamu.
We mjanja, where I grew up , shughuli za maendeleo zimekuwa zikifanywa na wanachi Mpaka pale ambapo tulipoamua kuiachia serikali in short Shughuli za maendeleo zimekwama .Wew ni mjinga kabisa kodi tunazotoa na mikopo wagawane na familia zao waache kufanya wajibu wao mimi nayetafuta Ugali kwa shida nikachangie Jiji la Dodoma shule ziwekwe tank serikali inakazi gani sasa kama kila kitu tutafanya harambee na kodi tulipe
Kumbe ndo wewe mkuu dah
Ndiyo Mkuu maendeleo yanaletwq na Mimi na wewe , tufanye Shughuli za maendeleo kwa nguvu zetu alafu kisokorokwinyo she ajimwambafai ..Hawa ndio wananchi tulionao kwenye jamii anatoa kodi na kulipishwa tena michango isiyo kuwa na macho tena kwenye miradi ambayo serikali inahusika.