Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Crap
Mkuu, wanasema ukimchunguza sana Kuku huwezi kumla maana hata akikuta kinyesi Kuku hudonoa kula,Shuleni tulikuwa tunapikia chakula maji kama hayo,ilikuwa ni kawaida sana kukuta chura kwenye maharage,uji au kapikwa na ugali kabisa lakini leo hii wengi wetu tuna nafasi zetu, wengine ni Wakurugenzi kwenye Taasisi mbalimbali nchini, wengine ni Wabunge nk,hivyo maisha hayo ni nature tu hayakwepeki kwa level hiyo ya Shule.