Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,338
- Thread starter
- #41
Acha kutetea ujinga
Antakua mlamba asali huyo
Acha kutetea ujinga
Tumia akili za kichwani na si za makalioni,wewe uliyeanzisha uzi uliojaa UHARO ndie hauna akili,ndio maana kukusaidia nikakupa namba ya Mkurugenzi wa Jiji umwambie kero yako kuliko kutuchafua na UHARO wako JF,asipokusaidia tengeneza Bango nenda nalo Bungeni pale wakati wa Kikao cha Bunge wiki ijayoNimeshamwambia ndio mbona kama unateseka mkuu huoni kama unatatizo la akili
Tumia akili za kichwani na si za makalioni,wewe uliyeanzisha uzi uliojaa UHARO ndie hauna akili,ndio maana kukusaidia nikakupa namba ya Mkurugenzi wa Jiji umwambie kero yako kuliko kutuchafua na UHARO wako JF,asipokusaidia tengeneza Bango nenda nalo Bungeni pale wakati wa Kikao cha Bunge wiki ijayo
Mafuru sio MAFUFU,ujibuji wako wa ovyo kwa wachangiaji wa Uzi wako ndio umenifanya nami nikujibu kihuniJamaa kanipa namba za mafufu mkurugenzi nimemtumia picha akasema atafatilia inaonyesha mkurugenzi yupo humble sana ngoja tuone mrejesho wake Wakuu nitaleta humu humu
Mafuru sio MAFUFU,ujibuji wako wa ovyo kwa wachangiaji wa Uzi wako ndio umenifanya nami nikujibu kihuni
Ndo maisha yetu yalivo tusilaumu serikali wakati ndo tunavoishi tangia kwenye familia zetu.Mfano mzazi anachangia harusi best yake shilingi laki Moja huku nyumbani kwake gesi imeisha Ina siku tatu.
Marekani asikudanganye mtu,wale unaowaona wengi ni mateja wa unga,na alcoholic,mateja hakuna sehemu yoyote wanaishi vizuriAmerica ni donor mkubwa duniani lakini wapo watu wake wanaolala nje, wasiopata mlo wa siku na kadhalika
Juzi tumetoa msaada kuwapa uturuki,kwenye itakadi za kibepari wanatushangaa sana why family yako ina shida,harafu bado unaiacha unaenda kusaidia watu wengine,ila kwenye jamii ya kijamaa ni sawa kusaidiana
Punguza makasiriko Mkuu, Acha kufoka Jenga hoja ueleweke.Anza kuchangisha wew mkuu jukumu la serikali ni kuhakikisha walipa kodi wanapata mahitaji yao ya msingi mimi hata balozi wa mtaa akipita hapa nafukuza mkuu mimi sio msukule ndio maana nalipa kodi hata harambee ya kukata Nyasi sifanyi huku mjini mkuu wakurugenzi waandike zabuni za usafi wale wananchi tutolewe na mafyekeo tukafeke zahanati mimi silei ujinga kiongoz