Tanzania Economy to Surpass Kenya and Ethiopia by 2030

Ni ignorant no matter how you put it.

Hesabu za GDP sio za st kayumba eti unamultiply by 3 ukifikiria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dreamers you are...
msiamke kutoka kwa hiyo ndoto ndo tuendelee kuongoza
 
Kwa nini mmeshindwa kumlipa mkulima mwenzenu hela zake [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Umeelwweka tatizo kuweka Kenya kwenye Matured economy ndio ulipojichanganya,
Nchi kama UK kupata hata 2% growth ni impossible, Nchi maskini kama kenya kenya nchi nzima watu milioni 50 wana umeme kiduchu wa Megawatt 2000 GDP ya bn65$ wana uwezo wa kupata hata 15% Growth kama kina william Ruto na uhunyee na Sonko wataacha wizi.
 
Kwa sasa Tanzania hatuitaji furaha tunaitaji haki maana tupo kupiga kazi usiku na mchana bila kupumzika hadi tukisha Fanya nchi yetu kuwa nzuri 2023 tuta furahi
Kwa sasa furaha tumewaachieni nyinyi wanakibera ila tutafurahi baada ya kumaliza kuikwamua nchi yetu very soon 2023 Kwa sasa
Tupo kwenye KUFANYA KAZI ZA KUFA NA KUPONA
 
Hahahah. You must be jocking. Tz has more paved roads and well marked than KE and UG combined
Only in your mind coz you can't prove it. me I can prove the opposite of what you are saying
 
More developed economies have a relatively higher cost of living. A Tanzanian can work for a lower pay than Kenyan.
We are no longer at the dirt poor stage.
Tanzania nauli ya basi kwa umbali wa km20 ni sh400 je Kenya umbali huo nauli ni sh ngapi ndiyo utajua Kenya is playing monkey business
 
Kenya's per capita is $2,010. Tanzania's per capita is $1,090. And you still want to overtake us "soon"! Number yetu mtaendelea kusoma tu ndugu zetu
TZ is $1100
 
Hujaelewa,kizungu hakikupi per capita ya $50000 Ni ubunifu,bidii ya kaz,kutumia vizur rasilimali, acha kua kama jiwe la mtoni
 
Yani hawa watu wanashindwa na Deni la sukumawiki???Duuuh.Tanzania is a very interesting place
[emoji23][emoji23][emoji23] na wananunua ndege. Hii si ni madharau kwa mkulima
 
Na Mbona nchi tajiri kama Tanzania with an economy of $1trilion na iliyo na umeme wa 60,000 GWh growing at 7%?
 
Wakenya wanajibiwa kwa fact humu wanabaki wakiruka ruka,
Wakenya wao wanatoa majibu yao makwapani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukitaka ukweli halisi kasome comment za hiyo videos achana na hawa wanaotumia makwapa kufikiria wa huku jf.

 
Wakenya wanajibiwa kwa fact humu wanabaki wakiruka ruka,
Wakenya wao wanatoa majibu yao makwapani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka ukweli halisi kasome comment za hizo videos.

Normal Tz is so broke haezi lewa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…