Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Ni ignorant no matter how you put it.
Hesabu za GDP sio za st kayumba eti unamultiply by 3 ukifikiria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dreamers you are...
msiamke kutoka kwa hiyo ndoto ndo tuendelee kuongoza
Hesabu za GDP sio za st kayumba eti unamultiply by 3 ukifikiria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dreamers you are...
msiamke kutoka kwa hiyo ndoto ndo tuendelee kuongoza
Kama ni ignorant nijibu kwanini mmeshindwa kujenga hata km10 za sgr kwa Pesa yenu ? Ukweli ni matumizi mabaya ya Pesa Kenya tz tunatumia Pesa yetu Kwa umakini mkubwa na kwamikakati yenye more effective ndiyo maana baada mnashanga kwanini Tanzania inafanya mambo ya msingi bila kusududia mzungu waka kungojea mwekezaji ambaye unaweza kutokumpata au ukampata Kwa kuchelewa tena Kwa mashariti mabovu ya kuuza nchi yako .sasa Tanzania ni sawasawa na baba mwenye kipato kidogo ila anatumia vizuri kuletea familia maendelea Kenya ni sawa sawa na baba mwenye kipato kikubwa Ila ni dhalimu ,mlevi ,mkolofi ,asije na upendo kwa familia yake ,mwenye kutapanya hela kwa makahaba nk sasa hapo ni familia ipi itakuwa na maendeleo ya kweli