Tanzania envoy temporarily deactivates Twitter account after criticism from Kenyans

Tanzania envoy temporarily deactivates Twitter account after criticism from Kenyans

Niwahi_Kibangi

New Member
Joined
Feb 23, 2021
Posts
4
Reaction score
19
Tanzanian Ambassador to Nairobi Dr. John Simbachawene temporarily deactivated his Twitter account, @JSimbachawene, a day after he lectured and warned Kenyan journalists against reporting on matters coronavirus pandemic in his country.

During an interview on Tuesday with Tanzania’s EATV, the envoy urged the Kenyan media to publish factual information regarding covid-19 in Tanzania, saying a Kenyan station had reported misleading information on the current situation in the Swahili-speaking country.

The ambassador further requested Tanzanian citizens to take precautions against covid-19 as well as following the health protocols put in place by the Kenyan government on combatting the virus for those who wished to visit Kenya.

His utterances prompted retributions from Kenyans on Twitter (KoT) forcing him to delete all his earlier tweets and retweets about the Kenyan media.

The World Health Organization has continued to put pressure on Magufuli’s government and called upon President John Magufuli to release Covid-19 data.

On his side, President Magufuli has urged Tanzanians to take precautions but remained adamant in revealing the impact of Covid-19 in Tanzania.

Tanzania has so far lost 10 prominent figures that have died in less than a month including former Zanzibar first Vice President Maalim Seif.
 
musipoweka habari wazi, tutawasaidia.
huyo Simbakibuenye hatokaa aisahau siku kama ya leo maishani mwake kwa kipigo alichopokea.
huo ni mwanzo tu. uzuri, media za Kenya zipo huru, na wananchi pia wanajua haki zao. we will make you toe the line.
mnatusaidia mnaacha kusaidiana na umasikini wenu mbuzi nyinyi.

na mkiendelea kuwashwa na maisha yetu, tunajua tutadunga wapi mjae mimba.
 
musipoweka habari wazi, tutawasaidia.
huyo Simbakibuenye hatokaa aisahau siku kama ya leo maishani mwake kwa kipigo alichopokea.
huo ni mwanzo tu. uzuri, media za Kenya zipo huru, na wananchi pia wanajua haki zao. we will make you toe the line.
Mbona media yenu iliomba radhi kama iko huru kama hivyo unavyofikiri? Au umeshasahau?

Nyie pambaneni huko Twitter tu kuishambulia Tz kupata relief maana kenya imeoza na imejifia.
 
Mbona media yenu iliomba radhi kama iko huru kama hivyo unavyofikiri? Au umeshasahau?

Nyie pambaneni huko Twitter tu kuishambulia Tz kupata relief maana kenya imeoza na imejifia.
huyu si juakali mzee wa mkate maji.

hajui kinachoendelea.
kila nchi inatakiwa kudeal na mambo yake wakati huu.
 
huyu si juakali mzee wa mkate maji.

hajui kinachoendelea.
kila nchi inatakiwa kudeal na mambo yake wakati huu.
Hawa jamaa saa nyingine wanahuzunisha kweli. Wameshakata tamaa ya maisha ndani ya nchi yao nadhani.

Sasa wanavyoshabikia corona huku Bongo ni kwamba kwao huko inakuwa imekwisha au? Jamaa sijui wako na fikra za namna gani..
 
Ndio kwa mara ya kwanza namsikia huyu balozi wa Tz nchini Kenya. Alikuwepo wapi siku mbunge Jaguar na ulofa wake alipotamka yale maneno ya kibaguzi dhidi ya watanzania na waganda? Hawa ndio wale jamaa wa kujikunyata maofisini wakingoja maagizo kutoka kwa mzee. Kama anajiaminia sana atoke nje ya geti hapo ubalozini bila barakoa, tuone kama usiku huo hataijua vizuri ladha 'murua' ya maharage ya bure na sima majimaji.
 
unajua maswala ya diplomat au unaandika tu kama mlevi???

unadhani barozi ni kama gavana wa jimbo anayetukana watu"matako wewe"??
 
Dr. John Simbachawene! Tanganyi(ass)nation has ran out of names. what weird name! Name of CCM panel beater is comredi humphry pole pole!!
 
unajua maswala ya diplomat au unaandika tu kama mlevi???

unadhani barozi ni kama gavana wa jimbo anayetukana watu"matako wewe"??
Hahaha, unazungumza kuhusu governor Sonko?
 
Back
Top Bottom