Tanzania envoy temporarily deactivates Twitter account after criticism from Kenyans

Tanzania envoy temporarily deactivates Twitter account after criticism from Kenyans

media ziliomba msamaha, wewe juakali nani anakujali[emoji38][emoji38][emoji38].

hayo sio mambo ya ushabiki ni ya kidiplomasia, sawa mungiki??
Ebu toa ushahidi media zikiomba msamaha.🤣🤣
 
media ziliomba msamaha, wewe juakali nani anakujali[emoji38][emoji38][emoji38].

hayo sio mambo ya ushabiki ni ya kidiplomasia, sawa mungiki??
EvFoLvUWQAAdpK7.jpeg
pia kwa hili mlie mnyamazishwe kwa pipi. Crybabies!
"Eti ameonya media za Kenya" kama nani mwanzo?
Huku watumishi wa umma sio Miungu wadogo bali wananchi kama mimi na wengine!
 
mnatusaidia mnaacha kusaidiana na umasikini wenu mbuzi nyinyi.

na mkiendelea kuwashwa na maisha yetu, tunajua tutadunga wapi mjae mimba.
Uzuri ni kwamba umasikini wetu haifikii umasakini wenu
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
musipoweka habari wazi, tutawasaidia.
huyo Simbakibuenye hatokaa aisahau siku kama ya leo maishani mwake kwa kipigo alichopokea.
huo ni mwanzo tu. uzuri, media za Kenya zipo huru, na wananchi pia wanajua haki zao. we will make you toe the line.
Huyo ambassador umemuitaje jina?? 😂 😂
Wakenya wenzangu mtaniua kwa vichekesho!
 
Dah! Pole sana balozi, nilijua hiki kitakutokea pale ulisema unaonya media za Kenya.
 
Kenya sii nchi ya ubabe eti kiongozi akikohoa wananchi wanaitika. Somebody advice this poor soul.
Over 2BSh is stolen everyday, a statement made by the president himself - what have you Mamparaz done about it?

Eti nchi ya kibabe when a single plate of decent meal is still a challenge to many of you.

A number of mega projects with poor quality had been constructed by the Chinese, what have you Mumbiz done about it?
 
Over 2BSh is stolen everyday, a statement made by the president himself - what have you Mamparaz done about?

Eti nchi ya kibabe when a single plate of decent meal is still a challenge to many of you.

A number of mega projects with poor quality had been constructed by the Chinese, what have you Mumbiz done about?
Poor quality wewe ndio ulienda kupima? Wacha upuuzi bwana, kama wewe sio engineer kaa kimya.
 
Huyu mzee saa zingine fuse ya ubongo huwa inaungua.

 
Huyo asamehewe maana alijisahau kwamba huku hautumii maneno kama "eti naonya media za Kenya"
inaelekea media zenu zinauza sana habari za tanzania.
wacha tuone kama zitatangaza tena huo upupu.

ndio utajua nguvu ya barozi.
 
Back
Top Bottom