Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
Mnaonwa kama kituko duniani kwa ujuha wenu, ona mnavyosemwa na media mbali mbali duniani Tanzania Kwenye Vyombo Mbalimbali Duniani
Wao wanalo wanalolitaka na kulipigania, wao hawamtaki Magufuli na Watanzania waliamua huyo ndio Rais wao.
Ni bora wapige kelele wawezavyo, lakini mambo yetu yanaende vyema na haraka kuliko kuwa kama Kenya - linchi linasifiwa lakini watu wake wanalala na njaa, wanaishi kwenye madebe kama njiwa, maji shida, umeme wa mgao, ajira hakuna, ufusadi uliyopiyiliza, ukabila.