Tanzania Exposed By Corona

Tanzania Exposed By Corona

Hili la Corona mnaendelea kujikanganya na kukaidi kila ushauri wa kitaalam.
Yeye aliita kaugonjwa, jana kwenye hotuba yake alibadilisha hiyo kauli na kuanza kuita ugonjwa hatari. Suala la kuua watu wachache ukilinganisha na malaria sio hoja, swali muhimu ni maambukizi yake, itakua una ubumbumbu kama mpaka sasa haujaweza kuona athari za Corona duniani na hata hiyo Tanzania, leo hamna ndege zinapaaa, hamna watalii na mengine mengi, lini malaria imewahi kusababisha kitu kama hicho.

Lini Malaria yamewahi kusababisha kitu kama hiki
Kama Zitto ndio unamwamini kwa taarifa, basi inabidi ufikiri mara mbili. Tanzania itavuka salama na uchumi ukithirika kiasi kuliko nchi jirani zilizoamua kuweka "lockdown" na " Curfew"
 
Huyu mdudu yupo kitaa si Kenya si Tz... Kuna watu wapo nao kwa mtaa hawajawa noticed...Tz wazua taharuki ni wengi kuliko huko...Tembelea forum yenu utaona.

Huko wazua taharuki watakua wengi maana kama nchi mnapenda usiri mwingi, halafu wafuasi wa CCM hupenda sana kutukana wapinzani wakiwaita Corona.

Hii inachangia watu kukosa uzalendo na kuchukia kila lifanywalo na mlengo wa serikali, huwa napitia majukwaa yenu ya siasa, yaani kuna mpaka watu wanaonekana kufurahia namba za waathirika zikipandisha ndani ya nchi yao.

Nyie mnahitaji maridhiano kama tulivyofanya, mtazidi kufukia vichwa vyenu ardhini na kudhani yote shwari lakini sivyo. Tanzania ndio nchi ya kwanza mimi kuona ushabiki wa kisiasa unasababisha watu wanafurahia kuona timu yao ya taifa ikipewa kichapo, mumefika pabaya.
 
Ukiona hivyo ni akili hamna...kichwani kunakuwa na mikaratasi na maganda ya pipi...Kuna wachache zipo zinasoma including kiongozi kiongozi wao mkuu,waliobaki vilaza wote...Mimi kuna wakati naitetea serikali hasa inapofanya jambo zuri,hapo naonekana mwana ccm...yaani hata maana ya upinzani inapotea...haya mavyama yamewaingia watu hadi kwenye damu,...sasa kama national team sijui kosa lao lilikuwa wapi...kama kile kipindi afcon tulivyocheza na Algeria tukachezea tatu;mtu anaandika sisi 3,ccm 0..,kisa tu timu inapewa support na serikali dah😆😆😆😆
 
Nyie mnahitaji maridhiano kama tulivyofanya, mtazidi kufukia vichwa vyenu ardhini na kudhani yote shwari lakini sivyo.

Tanzania ndio nchi ya kwanza mimi kuona ushabiki wa kisiasa unasababisha watu wanafurahia kuona timu yao ya taifa ikipewa kichapo, mumefika pabaya.
Wewe huijui Tz, team ya taifa kufungwa watu wakashangilia ni kitu common sana huku, na imeanzishwa na usimba na yanga, wachezaji wengi wa simba wakiwa taifa stars, young africans were rooting for de opposite side, and viceversa, na iyo uloshuhudia yalikuwa ni makosa ya makonda kufananisha ccm na taifa starz, mtu hapo kwenu ahusishe harambee na jubilee uone.
Haya unasoma JF yasikudanganye eti hatuna uzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwango cha wagonjwa wa Corona kupona kwa hapa Tanzania ni kidogo ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya, Uganda , Rwanda pamoja na kwengine kwingi ukiangalia taarifa zinazorushwa mitandaoni.

Kwa hali inavyoenda, kama maambukizi hayatapungua sana, hospitali teule zote zitajaa wangojwa kiasi cha kushindwa kupokea wapya. Kuna haja ya kuangalia hao wenzetu wanatumia tiba zipi ambazo zinaleta matokeo kuliko Tanzania.

Lakini kikubwa, mwenendo huo unamaanisha tuchukue tahadhari sana kuepuka maambukizi ambayo tayari inaonekana tiba zilizopo hazileti matokeo. Kwa taarifa zilizopo wangonjwa 254 na waliopona ni 11 tu!.

Tuendelee kumwomba Mungu hili janga lifike mwisho.
It is a very confusing situation

If you take the saga holistically as a country... Losing 100k people at the expense of rapid but narrow curve is acceptable.... Long term

But I'd you take emotions and the value of Human kind.... It's unacceptable

Tanzania can't copy the model of 'self actualized' countries and implement, something Kenya, Uganda and many countries have adopted

Our shame is rapid deaths and our strength Ni rapid Spike and normalization of the virus in our community
 
Ukiona hivyo ni akili hamna...kichwani kunakuwa na mikaratasi na maganda ya pipi...Kuna wachache zipo zinasoma including kiongozi kiongozi wao mkuu,waliobaki vilaza wote...Mimi kuna wakati naitetea serikali hasa inapofanya jambo zuri,hapo naonekana mwana ccm...yaani hata maana ya upinzani inapotea...haya mavyama yamewaingia watu hadi kwenye damu,...sasa kama national team sijui kosa lao lilikuwa wapi...kama kile kipindi afcon tulivyocheza na Algeria tukachezea tatu;mtu anaandika sisi 3,ccm 0..,kisa tu timu inapewa support na serikali dah😆😆😆😆

Hii sio issue ya kuchukulia poa, ukiona taifa linafika hapo lazima mkae mlijadili na kujiuliza maswali mengi, niliona hata ndege zinakamatwa watu badala wapatwe hasira za kizalendo wanachekelea na kufurahia, mtawaponda na kuwatukana lakini lazima mjiulize wamekua hivyo kwanini, nini chanzo.

Nchi ya namna hiyo hamuwezi kuingia vitani na mkashinda kirahisi maana kunao watatamani sana serikali ishindwe kwenye hivyo vita. Kwa mfano Waganda enzi za Idd Amin walifurahia sana kuona nchi yao inakojolewa na JWTZ, lakini ingekua hawana bifu na Amin, aisei JWTZ ingepata wakati mgumu sana kuingia hiyo nch yao maana mnakua tayari kupigana mpaka mkulima na muuza mkaa wote vitani kutetea nchi.
 
Matusi as your cohorts mkikosa kwa kupenyea, idiot

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo asikupe tabu, nimemuumbua mpaka akaanza kuonyesha rangi yake halisi kama wenzake waliokua wakitutukana, utakuta hata labda ni hao hao mmoja kabadilisha ID kaja kihivi. Tutaendelea kuwakumbushia, ukipitia jukwaa lao la siasa ni tanzia mwanzo mwisho, leo wamempoteza waziri.

Tuliwaambia hiki kitu ni hatari wachukue tahadhari, wakatutukana kwamba sisi ni watumwa wa wazungu ndio maana tuna copy paste tahadhari zao.

Tukjaribu sana kuwakumbushia sisi wote hakuna anayepaswa kumcheka mwenzake, tuchukue tahadhari, wao wakawa ni mikwara na kejeli kila siku, leo tunawakumbushia maneno yao wanasema tunawacheka, sisi hatuwachekelei maana bado tupo kwenye mapambano, tunachofanya ni kuwakumbushia tu ili watie akili na siku nyingine wasiwe wapumbavu, waingie kwenye mapambano tupambane na hiki kirusi.
 
Tutaendelea kuwakumbushia, ukipitia jukwaa lao la siasa ni tanzia mwanzo mwisho, leo wamempoteza waziri.
Tuliwaambia hiki kitu ni hatari wachukue tahadhari, wakatutukana kwamba sisi ni watumwa wa wazungu ndio maana tuna copy paste tahadhari zao.
Tukjaribu sana kuwakumbushia sisi wote hakuna anayepaswa kumcheka mwenzake, tuchukue tahadhari, wao wakawa ni mikwara na kejeli kila siku, leo tunawakumbushia maneno yao wanasema tunawacheka, sisi hatuwachekelei maana bado tupo kwenye mapambano, tunachofanya ni kuwakumbushia tu ili watie akili na siku nyingine wasiwe wapumbavu, waingie kwenye mapambano tupambane na hiki kirusi.
The saddest part ni pia kwa their social media wanakaa tu government puppets, they believe their government is right and dont seem to want to critic it, sikwa ubaya but this kind of human beings can only be found in north korea,its very sad manze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The saddest part ni pia kwa their social media wanakaa tu government puppets, they believe their government is right and dont seem to want to critic it, sikwa ubaya but this kind of human beings can only be found in north korea,its very sad manze

Sent using Jamii Forums mobile app

Ujamaa is a curse, the governmental system becomes like a monarchy, you can't question anything or exercise your ability to think. Theirs is even worse in sense that it's the people who put a ceiling/limit to themselves, believing and flowing with anything told to them, herd mentality.
 
Hii sio issue ya kuchukulia poa, ukiona taifa linafika hapo lazima mkae mlijadili na kujiuliza maswali mengi, niliona hata ndege zinakamatwa watu badala wapatwe hasira za kizalendo wanachekelea na kufurahia, mtawaponda na kuwatukana lakini lazima mjiulize wamekua hivyo kwanini, nini chanzo.

Nchi ya namna hiyo hamuwezi kuingia vitani na mkashinda kirahisi maana kunao watatamani sana serikali ishindwe kwenye hivyo vita. Kwa mfano Waganda enzi za Idd Amin walifurahia sana kuona nchi yao inakojolewa na JWTZ, lakini ingekua hawana bifu na Amin, aisei JWTZ ingepata wakati mgumu sana kuingia hiyo nch yao maana mnakua tayari kupigana mpaka mkulima na muuza mkaa wote vitani kutetea nchi.
Ila ni humu jf au twitter sababu ndo viongozi na watu wazito wa vyama hivyo wamekubuhu huko ile mechi na nyie,samagoal na msuva walivyotupia mbona kitaa chetu kilikuwa kelele tupu. Mimi demu wangu ni chadema na namwachia uhuru afanye afanyacho kuhusiana na chama chake,akilipwa 7800 haya na mimi akiniomba namwongezea. Ukitumia jf au twitter kama reference unaweza hisi tupo kwenye machafuko lakn si hivyo,tupo kawaida tu.
 
Ila ni humu jf au twitter sababu ndo viongozi na watu wazito wa vyama hivyo wamekubuhu huko...Ile mechi na nyie,samagoal na msuva walivyotupia mbona kitaa chetu kilikuwa kelele tupu...Mimi demu wangu ni chadema na namwachia uhuru afanye afanyacho kuhusiana na chama chake,akilipwa 7800 haya na mimi akiniomba namwongezea...Ukitumia jf au twitter kama reference unaweza hisi tupo kwenye machafuko lakn si hivyo,tupo kawaida tu.

Kha! Kama haujajua basi humu ndio kwenyewe ambapo unapaswa kutumia ili kubaini hisia za Watanzania, unajua nyie desturi yenu ilivyo, sio watu wawazi, nahisi ni kwa ajili ya mfumo wa ujamaa. Maana Mtanzania kuachia kilicho moyoni mwake ni jambo nadra sana, nimeishi na nyie na nililiona sana hili.

Ni tofauti sana jinsi tulivyo huku kwetu, Wakenya tumezeoea kuambiana kama ilivyo, yaani haturembi wala kukupaka kwa mgongo wa chupa, unaambiwa ilivyo na ulivyo!! Umeze, uteme, upasuke, utokwe povu utajua mwenyewe, sasa mara yangu ya kwanza kuishi Tanzania nilishangaa watu wakarimu, wanaamkiana kwa maneno matamu, wanaitana 'mkuu', yaani nikahisi dah huku ndiko binadamu walipo. Lakini muda ulipokwenda nikawa nawaona kwa rangi yenu yenyewe, kwamba Mtanzania atakusifia, na kuonyesha ukarimu sana wakati mpo naye, ila ukiondoka atakusema mpaka basi. Watu huko wamelea majungu, wanaishi kwa hasira za ndani kwa ndani, wengine hata wanahujumiana.

Sasa kwa mtandao kama huu wa JF, ndio wanapata fursa ya kuyasema maana wamejificha nyuma ya ID zao, mtaani anacheka lakini akipata fursa ya kuandika kwa simu, atatiririka maneno humu balaa.

Nilikua naona mameneja wa Kitz wakipata wakati mgumu sana, anashindwa kumuwajibisha Mtanzania maana hataki aonekane mbaya, ndio maana makampuni yenu huajiri mameneja Wakenya na wageni wengine, maana Mkenya hata kama rafiki wako wa karibu, ila ukiboronga na kuzingua kazini anakubadilikia papo hapo.
 
Kha! Kama haujajua basi humu ndio kwenyewe ambapo unapaswa kutumia ili kubaini hisia za Watanzania, unajua nyie desturi yenu ilivyo, sio watu wawazi, nahisi ni kwa ajili ya mfumo wa ujamaa. Maana Mtanzania kuachia kilicho moyoni mwake ni jambo nadra sana, nimeishi na nyie na nililiona sana hili.

Ni tofauti sana jinsi tulivyo huku kwetu, Wakenya tumezeoea kuambiana kama ilivyo, yaani haturembi wala kukupaka kwa mgongo wa chupa, unaambiwa ilivyo na ulivyo!! Umeze, uteme, upasuke, utokwe povu utajua mwenyewe, sasa mara yangu ya kwanza kuishi Tanzania nilishangaa watu wakarimu, wanaamkiana kwa maneno matamu, wanaitana 'mkuu', yaani nikahisi dah huku ndiko binadamu walipo.

Lakini muda ulipokwenda nikawa nawaona kwa rangi yenu yenyewe, kwamba Mtanzania atakusifia, na kuonyesha ukarimu sana wakati mpo naye, ila ukiondoka atakusema mpaka basi. Watu huko wamelea majungu, wanaishi kwa hasira za ndani kwa ndani, wengine hata wanahujumiana.

Sasa kwa mtandao kama huu wa JF, ndio wanapata fursa ya kuyasema maana wamejificha nyuma ya ID zao, mtaani anacheka lakini akipata fursa ya kuandika kwa simu, atatiririka maneno humu balaa.

Nilikua naona mameneja wa Kitz wakipata wakati mgumu sana, anashindwa kumuwajibisha Mtanzania maana hataki aonekane mbaya, ndio maana makampuni yenu huajiri mameneja Wakenya na wageni wengine, maana Mkenya hata kama rafiki wako wa karibu, ila ukiboronga na kuzingua kazini anakubadilikia papo hapo.
Unamaanisha unafiki...,huku upo,ila pia tambua hiyo kasumba ipo duniani pote,nchi yoyote ile...ulishaishi na wazungu? Mimi nina experience nao..,atakwambia kitu kwa tabasamu usoni,ila kwa mwenzie atakuongelea tofauti kabisa...nadhani ni nature yetu sisi viumbe watu;hasa kama mtu hujazoeana nae.

Halafu huku kitaani kwetu,vijiweni mbona watu wapo huru kuongea,..baadhi wanaitukana ccm hadharani na hutafanywa chochote..,ni chama tu...Shida inakuja pale unapoamua kumtukana rais hadharani,hilo ni kosa si tu hata nchi nyingine pia.
Umegusia hilo suala la ajira pia...ila sababu yako sidhani kama ina mashiko.

Nimewahi kupiga kazi kampuni yenye watz na wakenya pia...Mimi naona ni suala la customer care...kwa niliyoyaona niliona sisi tuna shida hilo eneo...ila kwa maoni yangu naona linachangiwa pia na ile confidence unayokuwa nayo ukiwa nchini kwako tofauti na ukiwa nchi ya kigeni nidhamu lazima ipande...Ndo nafikir hilo linachangia makampuni kuajiri wafanyakazi wa kutoka nje.
 
Unafiki upo, ni kawaida ya binadamu na hakuna yeyote dunia hii ambaye hakosi unafiki wa kiana, sisi wote tunao, hakuna msafi, ila hapa nazungumza kwa niliyoyaona kwenu, yaani hamna kitu kinauma kama mtu aongee nawe kwa lugha mnayotumia huko kwenu yenye ukarimu sana kisha uje kumsikia maneno aliyokusema. Yaani unabaki ukijiuliza maswali mengi sana maana kwa muda wote hukuona dalili ya aina yoyote ya kwamba jamaa anakuchukia, au wana chuki baina yao.

Tafiti zimefanywa za kisayansi zinaonyesha Tanzania ipo ndani ya mataifa kumi ambayo wananchi wake hawana furaha duniani, kwa mtu ambaye hawajui Watz kiundani hatasadiki maana ni nchi ambayo haijawahi kuwa na vta vya ndani, lakini inawekwa pamoja na mataifa ambayo kwao ni mwendo wa mabomu kila siku.
 
Back
Top Bottom