Tanzania haiko huru, ni koloni tupu la viongozi bure

Tanzania haiko huru, ni koloni tupu la viongozi bure

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Bruh, let me tell y’all something real. Hii nchi haipo kwenye uhuru – tuko kwenye lockdown ya kiakili, kiuchumi na hata kielimu!

Unadhani tumetoka kwenye koloni? Hell no! We’re still slaves, tumeachwa na mabeberu lakini sasa tunaongozwa na black colonialists – viongozi wa hovyo, wanaodhani kuwa national leadership ni kama inheritance ya ukoo!

Zamani za Mwalimu Nyerere, at least mtu alikuwa anaweza kuona dignity kwenye uongozi. Alituambia straight-up: "Siku wakitawala kwa tamaa, nchi itakuwa ya kifisadi, watu watalala njaa, katiba itapigwa chini, na elimu itakuwa trash!" Mzee alituonya. Na sasa tuko kwenye that sh*t 100%.

Leo mtoto anasoma miaka kumi na mbili straight – from primary hadi form four – kusoma photosynthesis, then life inamchapa mpaka anaishia VETA! Anasoma mitochondria alafu anakwenda kuuza chips? That’s some betrayal by the government, for real!

Na tusiongee sana kuhusu Bunge! That place is a circus. Bunch of clowns wamevaa suti wanapiga makofi like it’s a damn talent show! They don’t give a single fck about what’s going on kwa wananchi.

Wengine hata hawajui wanawakilisha watu au matumbo yao! A bunch of useless people wenye akili za kupongeza tu. "Mheshimiwa amesema vizuri!" – please, nani kasema mko pale kwa kusifia?

Halafu hivi sasa unakuja na headlines: “Serikali yatangaza ajira 14,000.” We got over 200,000+ graduates mitaani, hustling, depressed, na mnaajiri 14k?

Who are you fooling? Na hizo ajira mnawapa watoto wa vigogo, watoto wa mtaani wanabaki na mda wa kukaa maskani wakikata tamaa! Then mnasema "Tunazingatia usawa"

We living in a time where we got all the knowledge, all the degrees, but no opportunities. System imejengwa ku-crush ndoto za maskini. And don’t even get me started on elimu yetu – it’s a scam. A whole scam! Mtoto anasoma vitu visivyo na connection yoyote na real life. Hakuna practicals, hakuna life skills, ni theories tu – then unamwachia "atajiajiri." Jiajiri na nini? Na capital gani ?

Kama Mwalimu Nyerere angefufuka leo, angerudi kaburini haraka kwa mshtuko. Hii siyo Tanzania aliyoiota. Sasa hivi ni Tanzania ya kipumbavu – Tanzania ya kelele, uongo na matusi ya maendeleo ambayo hayapo! This whole leadership structure ni kama gang ya kihuni – yaani kila mtu yuko kwa ajili ya kuchuma, sio kutumikia.

Kila siku watu wanakula hela za umma, watu wanaumizwa, na wakili akizungumza kuhusu haki, wanamtisha, wanampoteza.

Let’s be honest – kama tungekuwa bado chini ya Wajerumani, at least tungekuwa na maendeleo ya kweli. They had systems, walikuwa na vision, walijua what the fck they were doing.

Sasa hivi tunaongozwa na washamba wenye degrees za ku-copy & paste! Hawana plans, hawana vision, hawajui hata nchi inaendeshwaje. Hawa watu ni disgrace kwa taifa.

Don’t come telling me "Tanzania inaweza kujisimamia" wakati tunaomba misaada kwa kila sector! Hatuwezi hata ku-print vitabu vya shule bila kutegemea wahisani.

Hatuwezi hata kujenga kiwanda cha sindano bila foreign aid. This is bullsht leadership! Na sisi wananchi tumezoea – we clapping for our own slavery!

So kwa kifupi – this ain’t no independence. This is decorated imprisonment. Uhuru wa bendera lakini akili zipo kifungoni! If we don’t wake the f*ck up, tutaangamia tukiwa tunatabasamu kama wajinga.
 
Back
Top Bottom