Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku.
Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au?
Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume (majambazi) hawaendi kwa wakati? Hivi walitumia akili zilizo kwenye kichwa au? waandishi nao na uchawa wao wameenda kama machizi vile.
kwanini sasa wasiifunike hata sura ya mkosaji? Angekua wakike wangemuonyesha sura yote kwa udhalikishaji kama ule? au wameamua kumkomoa.
Hata dada yake yule dogo nae ni fala sana unakubalije mdogo wako aingie kwenye aibu kama ile? Kama shida ni Hilo likuku si angemwambia amlipe?
Dah, tuwe makini sana, tunaweza kumsababishia mauji mtu kisa kusambaza habari zinazomdhalilisha.
Yule waziri aliyesema kwamba wachambuzi wakasome, basi aunganishe na Hawa wapuuzi wengine.