Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

Mwishoni mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi aliandika, sijui alikuwa anatania au anamaanisha;

"Kuku ameacha mayai manne"

Hapo alikuwa amechukua ule utaratibu wa kusema mfano, "Marehemu ameacha mke mmoja, na watoto watano, wajukuu 10"
 
Back
Top Bottom