Tanzania haina wapinzani bali wajaza matumbo. Tatizo la uhaba wa madarasa limetatuliwa; mnalalama nini kihusu mikopo?

Benzi jipya ni hela ya ujenzi wa vyoo viwili vya shule, ndugu mpinzani😂🤣
Aliona ampatie gari la chini chini ili asipate tabu kupanda.

Halafu hayo mahesabu yako ni ya kifisadi milioni zaidi ya 200 kujenga vyoo viwili ni wizi.
 
Ndio umrjua leo!! Ni wachumia tumbo tu.
Wewe Kama ni mchumia tumbo usilazimishe wengine wawe na tabia Kama ya kwako. Wachumia tumbo wanaojulikana Ni CCM wanaokopa mpaka Speaker wa bunge kaona hatari ya nchi kupigwa mnada.
 
Eti na wewe ni GT!
 
Wewe Kama ni mchumia tumbo usilazimishe wengine wawe na tabia Kama ya kwako. Wachumia tumbo wanaojulikana Ni CCM wanaokopa mpaka Speaker wa bunge kaona hatari ya nchi kupigwa mnada.
Wote wale wale tu, wachumia tumbo. Ndio maana hata hawaeleweki nini wanakisimamia.
 
Kwa hiyo pesa ya tozo ilifanya kazi gani, maana nayo tuliambiwa imeenda kujenga madarasa na vituo vya afya...
 
Aliona ampatie gari la chini chini ili asipate tabu kupanda.

Halafu hayo mahesabu yako ni ya kifisadi milioni zaidi ya 200 kujenga vyoo viwili ni wizi.
Vyoo vya kisasa ndugu mpinzani😁
 
"Wajaza matumbo" well lkn ni vzr ukatueleza wanajaza vp matumbo yao.. je wanaiba sana? Ni mafisadi au wapinzan walishatawala NCHI hii ikaonekana ni majizi na mafisadi?? Ufafanuz mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…