Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

2024 military strength ranking:

1. 🇺🇸United States
2. 🇷🇺Russia
3. 🇨🇳China
4. 🇮🇳India
5. 🇰🇷South Korea
6. 🇬🇧United Kingdom
7. 🇯🇵Japan
8. 🇹🇷Turkey
9. 🇵🇰Pakistan
10. 🇮🇹Italy
11. 🇫🇷France
12. 🇧🇷Brazil
13. 🇮🇩Indonesia
14. 🇮🇷Iran
15. 🇪🇬Egypt
16. 🇦🇺Australia
17. 🇮🇱Israel
18. 🇺🇦Ukraine
19. 🇩🇪Germany
20.🇪🇸Spain
21. 🇵🇱Poland
22. 🇻🇳Vietnam
23. 🇸🇦Saudi Arabia
24. 🇹🇼Taiwan
25. 🇹🇭Thailand
26. 🇩🇿Algeria
27. 🇨🇦Canada
28. 🇦🇷Argentina
29. 🇸🇪Sweden
30. 🇸🇬Singapore
31. 🇲🇽Mexico
32. 🇬🇷Greece
33. 🇿🇦South Africa
34. 🇵🇭Philippines
35. 🇲🇲Myanmar
36. 🇰🇵North Korea
37. 🇧🇩Bangladesh
38. 🇵🇹Portugal
39. 🇳🇬Nigeria
40. 🇳🇱Netherlands
41. 🇳🇴Norway
42. 🇲🇾Malaysia
43. 🇨🇭Switzerland
41. 🇳🇴Norway
42. 🇲🇾Malaysia
43. 🇨🇭Switzerland
44. 🇨🇴Colombia
45. 🇮🇶Iraq
46. 🇨🇿Czechia
47. 🇷🇴Romania
48. 🇩🇰Denmark
49. 🇪🇹Ethiopia
50. 🇫🇮Finland

According to Global Fire Power

🌟World of statistics
Hivi unajitoa akili au ? Tanzania nchi 10 masikini zaidi duniani .....tuache uchawa tuongee ukweli....90% population hawajui kesho wanakula nini....kwa nini tunajitoa akili ? Sisi ni masikini wa skili mawazo na kila kitu....silaha tunazo ni 1992 to 2000....ndio tunauziwa ......tuache uchawa
 
hizi Statistic umetoa wapi?
 
List ya mchongo. India anafanya nini juu pale!!

Nigeria kwa boko haramu 😆
 
hizi Statistic umetoa wapi?
Nends military watch website watakueleza kila kutu nchi masikini iwe anong top 10 ni wehu.....tunajilinda nchi masikini wenzetu....silaha zilizo pitwa huko china urusi belgium ndio wanatupa sisi bej poaaa....hata ndege ni za 1990"s na 2000's....Mig25 alike....
 
Ulishawahi liona Ghala la Silaha la Jeshi la Tanzania?

Unakutana na Silaha za Mazoezi unasema ndo Silaha za Vita.
 
Hizo list hazioneshi nguvu ya mapigano kivita, mfano kati ya Tanzania na Nigeria ni jeshi lipi limekuwa Bora katika kumudu vita za nchi na nchi pia vita dhidi ya ugaidi?

Ulipatwa jibu pigia mstari
 
2024 military strength ranking:

1. 🇺🇸United States
2. 🇷🇺Russia
3. 🇨🇳China
4. 🇮🇳India
5. 🇰🇷South Korea
6. 🇬🇧United Kingdom
7. 🇯🇵Japan
8. 🇹🇷Turkey
9. 🇵🇰Pakistan
10. 🇮🇹Italy
11. 🇫🇷France
12. 🇧🇷Brazil
13. 🇮🇩Indonesia
14. 🇮🇷Iran
15. 🇪🇬Egypt
16. 🇦🇺Australia
17. 🇮🇱Israel
18. 🇺🇦Ukraine
19. 🇩🇪Germany
20.🇪🇸Spain
21. 🇵🇱Poland
22. 🇻🇳Vietnam
23. 🇸🇦Saudi Arabia
24. 🇹🇼Taiwan
25. 🇹🇭Thailand
26. 🇩🇿Algeria
27. 🇨🇦Canada
28. 🇦🇷Argentina
29. 🇸🇪Sweden
30. 🇸🇬Singapore
31. 🇲🇽Mexico
32. 🇬🇷Greece
33. 🇿🇦South Africa
34. 🇵🇭Philippines
35. 🇲🇲Myanmar
36. 🇰🇵North Korea
37. 🇧🇩Bangladesh
38. 🇵🇹Portugal
39. 🇳🇬Nigeria
40. 🇳🇱Netherlands
41. 🇳🇴Norway
42. 🇲🇾Malaysia
43. 🇨🇭Switzerland
41. 🇳🇴Norway
42. 🇲🇾Malaysia
43. 🇨🇭Switzerland
44. 🇨🇴Colombia
45. 🇮🇶Iraq
46. 🇨🇿Czechia
47. 🇷🇴Romania
48. 🇩🇰Denmark
49. 🇪🇹Ethiopia
50. 🇫🇮Finland

According to Global Fire Power

🌟World of statistics
tukijifananisha hali ya kiuchumi na hizo inchi hapo juu sioni haja ya TZ kua miongoni mwao, waacha tutafute hela za kula na za miundombinu kwanza.
 
Ulishawahi liona Ghala la Silaha la Jeshi la Tanzania?

Unakutana na Silaha za Mazoezi unasema ndo Silaha za Vita.
Muda unakuwa umepita saba inabidii wageuze za mazoezi sababu hatuna viashiria vita.....unanunua mzigo mika 25 nyuma unaweka miak 10 ndani...outdated hiyo kabisa ndio maana yanabutukaa
 
Egypt na South Africa wameitendea haki kuiweka,ila sio Nigeria.
Nimetizama habari Africa news channel kama mara 4 boko haram wakifanya insurgence jeshi la Nigeria likishindwa kuwadhibiti.
Nigeria wana jeshi dhaifu kiuhalisia.
Hiyo Egypt inao magaidi nyqnda za Sinai.

Egypt, Israel, Turkey, Iran, India na Pakistan zote zina magaidi na hazijawahi washinda ila kwenye hiyo list zipo top 20.

Kwahiyo Tanzania inaweza kuipiga Uturuki kisa Uturuki ina magaidi na Tanzania haina?
Au Vatican City isiyo na jeshi ila pia haina magaidi inaweza kuipiga Iran yenye jeshi kubwa ila ina magaidi?
 
Hao magaidi wana vifaa vya kisasa vya kijeshi.

Training na mbinu za kisasa za vita, Laikini pia hao Magaidi wanapambana kwa Structure za kijeshi kabisa
 
Nguvu ya kijeshi ya nini wakati sisi ni taifa maskini ila watawala ni matajiri.
 
Mchele tu mnapokea toka nje kama msaada, mnatarajia kwenye jeshi itakuwaje. Hapo mpaka mzungu akutupieni vifaru vya world war 1 ndio mseme na silaha.

Tanzania itakuwepo kwenye list ya kuomba omba, list ya uchawa.
 
2024 military strength ranking:

1. [emoji631]United States
2. [emoji635]Russia
3. [emoji630]China
4. [emoji1128]India
5. [emoji2406]South Korea
6. [emoji636]United Kingdom
7. [emoji627]Japan
8. [emoji1250]Turkey
9. [emoji1191]Pakistan
10. [emoji634]Italy
11. [emoji632]France
12. [emoji1054]Brazil
13. [emoji1129]Indonesia
14. [emoji1130]Iran
15. [emoji1093]Egypt
16. [emoji1037]Australia
17. [emoji1134]Israel
18. [emoji1255]Ukraine
19. [emoji629]Germany
20.[emoji633]Spain
21. [emoji1200]Poland
22. [emoji1264]Vietnam
23. [emoji1210]Saudi Arabia
24. [emoji1239]Taiwan
25. [emoji1242]Thailand
26. [emoji1026]Algeria
27. [emoji1063]Canada
28. [emoji1033]Argentina
29. [emoji1236]Sweden
30. [emoji1215]Singapore
31. [emoji1166]Mexico
32. [emoji1112]Greece
33. [emoji1221]South Africa
34. [emoji1198]Philippines
35. [emoji1175]Myanmar
36. [emoji1188]North Korea
37. [emoji1042]Bangladesh
38. [emoji1201]Portugal
39. [emoji1184]Nigeria
40. [emoji1179]Netherlands
41. [emoji1189]Norway
42. [emoji1157]Malaysia
43. [emoji1237]Switzerland
41. [emoji1189]Norway
42. [emoji1157]Malaysia
43. [emoji1237]Switzerland
44. [emoji1075]Colombia
45. [emoji1131]Iraq
46. [emoji1086]Czechia
47. [emoji1205]Romania
48. [emoji1087]Denmark
49. [emoji1098]Ethiopia
50. [emoji1103]Finland

According to Global Fire Power

[emoji93]World of statistics
Nigeria wangekuwa na nguvu za kijeshi wangesumbuliwa na na magaidi ?
 
Hiyo Egypt inao magaidi nyqnda za Sinai.

Egypt, Israel, Turkey, Iran, India na Pakistan zote zina magaidi na hazijawahi washinda ila kwenye hiyo list zipo top 20.

Kwahiyo Tanzania inaweza kuipiga Uturuki kisa Uturuki ina magaidi na Tanzania haina?
Au Vatican City isiyo na jeshi ila pia haina magaidi inaweza kuipiga Iran yenye jeshi kubwa ila ina magaidi?
Unapoleta case ya Turkiye na Nigeria ni vitu viwili tofauti.
NATIZAMA HABARI MAGAIDI WA EGYPT ,IRAN NA TURKIYE HUWA WAKILETA INSURGENCE WANACHAKAZWA VIBAYA SANA.
Mfano tu mwaka jana wale magaidi wa PKK walivyovamia na kulipua kijiji cha kusini mpakani na Turkiye na Syria Turkiye ilituma askari wapatao 150+ wakaingia Syria kwa ground operation waliwachabanga PKK mpaka US iliingilia kati kwa kauli.
Nigeria inakutana uso kwa uso na Bokoharam na inashindwa kuwadhibiti.
Umeona utofauti hapo???
Nchi ulizotaja magaidi wakisumbua wanasakwa na kula kibano.
Natizama habari kaka daily hunidanganyi.
 
Egypt na South Africa wameitendea haki kuiweka,ila sio Nigeria.
Nimetizama habari Africa news channel kama mara 4 boko haram wakifanya insurgence jeshi la Nigeria likishindwa kuwadhibiti.
Nigeria wana jeshi dhaifu kiuhalisia.
Nigeria Wana Majenzi ya Ulinzi ambayo yako imara zaidi ukilinganisha na Tz, isipokuwa tatizo lililopo ni kwamba Serikali ya Nigeria IMEFITINIKA vibaya sana beyond repair.
A Terror Within! An Inside Job!
 
Back
Top Bottom