Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

Mhhh! Maajabu haya. Nchi yenye GDP ya less than 90 billion kwa mwaka unategemea iwe na kwenye top military rank. Kovipi?
 
ondoa Nigeria wameshindwa kuitokomeza Boko aram ...pia ondoa Ethiopia wameshindwa kumaliza mzozo wa Tigeree
 
Vigezo hivi huwa vya kijinga.
India ampite Germany, Japan na Uk?
Ndoto za mchana.

Kigezo kimojawapo najua ni idadi ya askari, hiki hakifanyi kazi sana
 
Kama hao wametuzidi ulitakaje sasa?
 
kwamba Myanmar, Bangladesh, Philippines Taiwan na n.k ni bora zaid ya Tz....
Taiwan bajeti yao ya jeshi ni dola bilion 19 kwa mwaka. Tanzania gdp ya nchi nzima ni aroumd dola bilion 50. Yani bajeti ya jeshi la taiwan ni almost nusu ya uchumi wa tanzania. Usifkiri taiwan ni wenzetu. Sio wavunja matofali kwa kichwa hawa
 
Rudia tena habari ya India. Unaishi dunia gani? Achana na India. India sasahivi ni tishio Kiuchumi, kijeshi, technology
Hilo elimu yake ya unga unga,Yeye anavyoona movie anajua taifa lililochoka
 
Mbona Switzerland imeingia mara mbili?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Iweje haipo ilhali tuna makomandoo hatari wanaovunja tofali kwa ngumi, vichwa, na mateke?
 
Hiyo Orodha siyo sahihi. Urusi siyo ya pili, ni ya tatu au ya nne; intanaguliwa na China na huenda hata India.
 
Hizi rankings nimeacha kuziamini baada ya kusoma list ya nchi zenye furaha ambapo Tanzania inaongoza huku DRC na yenyewe ikiwemo top five.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…