Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

So dunia ina inchi 50 tu?,labda Tanzania ni ya 52 au 55
Na nchi 50 tu
 
mbona umeropoka??
Hizi takwimu umezitoa wapi??
Umetizama Tanzania's population behind poverty line??.
Usikute na wewe eti msomi una masters.
 
Nguvu hiyo haipimwi kwa kumuoshea mwananchi utakaemkuta na nguo za kufanania na za jeshi.
 
Nigeria Wana Majenzi ya Ulinzi ambayo yako imara zaidi ukilinganisha na Tz, isipokuwa tatizo lililopo ni kwamba Serikali ya Nigeria IMEFITINIKA vibaya sana beyond repair.
A Terror Within! An Inside Job!
Kwa hilo nakataa.
Kwa huo ufitinishaji ndio washindwe kuzuia boko haram insurgence tena mnawabamba wanawafilimba na kukimbia?
 
Rudia tena habari ya India. Unaishi dunia gani? Achana na India. India sasahivi ni tishio Kiuchumi, kijeshi, technology
Embu acha kuongopa wewe.
India ni miongoni mwa mataifa ambayo yameshindwa kutokomeza umaskini na yana higher rate of people living behind poverty line.
India ina raia wengi wanaohama nchi wengine tena wanakimbilia HAPA TANZANIA KUTAFUTA UGALI.
INDIA HII INASHINDWA KUPAMBANA NA PAKISTAN INAKUAJE TISHIO KIJESHI??
INDIA HII IMESHINDWA KUIPIKU KAMPUNI NDOGO TU YA KICHINA NCHINI MWAKE YA SIMU INAKUAJE TISHIO KIUCHUMI??
INDIA HII INA WANAWAKE WENGI WANAOPITIA GENDER OPRESSION NA WANAWAKE WENGI WASIOSOMA INAKUAJE TISHIO KIUCHUMI??
NADHANI WEWE NDIO MOVIE ZINAKUDANGANYA.
KAIFUATILIE INDIA VIZURI INDIA NI ZIMBABWE ILIYOCHANGAMKA.
 
List ya mchongo. India anafanya nini juu pale!!

Nigeria kwa boko haramu 😆
Hata mimi nashangaa.
India Pakistan tu inamtoa jasho ikiwa na silaha za zamani hapo Kashmir eti awekwe juu ya Japan na Germany.
Hii list imeangalia quantity interms of millitary personnel and weapons.
Haikuangalia quality.
 
Hiyo Orodha siyo sahihi. Urusi siyo ya pili, ni ya tatu au ya nne; intanaguliwa na China na huenda hata India.
India hata top 20 haitakiwi kuwepo mkuu.
Unaiwekaje India juu ya Japan na Germany??
 
Hata mimi nashangaa.
India Pakistan tu inamtoa jasho ikiwa na silaha za zamani hapo Kashmir eti awekwe juu ya Japan na Germany.
Hii list imeangalia quantity interms of millitary personnel and weapons.
Haikuangalia quality.
Exactly
 
sas mkuu wewe ulikua unaamini inatakiwa iwemo ama?
 
Naielewa kaka.
Labda wewe useme unaielewa vipi halafu tueleweshane.

Isijikua ukisikia India Unaanza kumtathmini mtu kama Mo Vile alafu unakuja na conclusion kwenye kichwa chako kuwa jamaa ni dhaifu.

India ni moja ya nchi inaheshimika Duniani kwa kila kitu.
 
Isijikua ukisikia India Unaanza kumtathmini mtu kama Mo Vile alafu unakuja na conclusion kwenye kichwa chako kuwa jamaa ni dhaifu.

India ni moja ya nchi inaheshimika Duniani kwa kila kitu.
Embu leta hizo heshima na mimi nikuletee data kuthibitisha nilosema.
HAKUNA NCHI INAYOIHESHIMU INDIA WE KAKA KUWA SERIOUS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…