Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

Mi nadhani ni dhahiri kuwa there was intimidation, maiming and killing during the election, eti kusema kuna watu walijitokeza kumpigia kura Tsvangirai is a delusional claim, maana wengi hivi sasa ni refugees at the US embassy, wengine wamekuwa viwete na wanaugulia hospitali. Usichanganye pan Africanism na uhuni wa Mugabe. Mwalimu Nyerere kama angekuwa hai asingeweza kusapoti uhuni, ubabe na mauaji ya Mugabe in the name of Pan Africanism. Mugabe has to go!!!!!

Yaani unajua nikisoma post za KubwaJInga nachanginyikiwa kabisa. Yaani haoni hata aibu kusema uchaguzi ule ulikuwa huru, akisema haya hapohapo anakiri kwamba kuna watu walichomwa visu na moto matako lakini sio wengi! Halafu anadiriki kusema kwamba MDC walijitoa kwa sababu waliogopa kushindwa, na hapo hapo anatoa statistics zinazonyesha kwamba MDC walishinda katika uchaguzi wa awali, sasa unajiuliza huyu mtu anatumia vigezo gani katika kujenga hoja zake ambazo zinajichanganya kiasi hiki!? Nafikiri tunachotofautiana hapa sio kwamba urais wa Mugabe ni halali au la, bali ni kwamba kuna baadhi yetu wanatumia hisia (gut feelings) kutoa maoni yao wakati wengine tunatumia uhalisia wa mambo (evidence).

Ni aibu zaidi kusema kwamba nchi yetu ikae kimya au Mugabe aachwe na uharamia wake kwa sababu tu nasi tulivuruga uchaguzi huko Zanzibar. Kwa hiyo mnataka tukubaliane kwamba sisi ndivo tulivyo na hatuna haja kubadilika? The argument couldn't be weaker and any more ludicrous!
 
Mwanakijiji samahani, naona habari zetu zimegongana, lakini hata hivyo nilivyoelewa mimi Membe hakuzungumza kama mwenyekiti wa AU, ingawa kauli hiyo inaweza kugonga vichwa na kusaidia sana propaganda za vyombo vya magharibi, kwani Tanzania kama mwenyekiti wa AU tunapaswa kuwa makini sana na statement zetu kwani Wazungu wanachotafuta ni turufu tu, ikumbukwe kikao cha sekretarieti ya usalama Angola, Swaziland na Tanzania walivyokitengenezea mazingira ya kuwa ndio kauli ya Afrika.

Hivi kwa nini kila kitu tunakihusisha na wazungu???? Mugabe is just a waste and Membe said so, jamani does it need Sky News or CNN kutwambia madudu na madhambi ya Mugabe? sisi hatuyaoni? sasa kwa nini akitokea Muafrika akayasemea..tumuone kibaraka?? Na bado tunasema Africa tusolve matatizo yetu? Ok, TZ na sisi tuna yakwetu, so is Kenya, so is Sudan..and on and on..lakini we need to start from somwhere...(kwa vile wewe hukwenda Universiti..utakataa kumpeleka mtoto wako..just because wewe hukusoma? Hapana kwa hili Membe na JK wako RIGHT kabisa! ..asingesema wengine tungeendelea kumlaumu..kasema ndo hivyo tena anaambiwa kibaraka! na hiyo ndo demokrasia..

Membe for the first time, you made me proud of you! We live in an imperfect world though, but you have shown the way... Ila atleast you are on record! Go Benard! Iam really happy atleast...My dear friends..hata mtoto akizaliwa haanzi kutembea siku hiyo hiyo..we have to start from somewhere..

Thanks Benard Camillius Membe!
 
Bubu,

Balozi wa Zimbabwe alisharudi Zimbabwe.

Labda kama karudi tena Dar-es-Salaam.

Hukusikia kokote kwa sababu Tanzania hakuna press
.

Who said so? si tuna Jamii Forums? hapa hata mkuu wa kaya anapita kabla hajaperuzi Daily News bana! Hii ni global! Tafadhali bwana tutake radhi watanzania!
 
Yaani unajua nikisoma post za KubwaJInga nachanginyikiwa kabisa. Yaani haoni hata aibu kusema uchaguzi ule ulikuwa huru, akisema haya hapohapo anakiri kwamba kuna watu walichomwa visu na moto matako lakini sio wengi! Halafu anadiriki kusema kwamba MDC walijitoa kwa sababu waliogopa kushindwa, na hapo hapo anatoa statistics zinazonyesha kwamba MDC walishinda katika uchaguzi wa awali, sasa unajiuliza huyu mtu anatumia vigezo gani katika kujenga hoja zake ambazo zinajichanganya kiasi hiki!? Nafikiri tunachotofautiana hapa sio kwamba urais wa Mugabe ni halali au la, bali ni kwamba kuna baadhi yetu wanatumia hisia (gut feelings) kutoa maoni yao wakati wengine tunatumia uhalisia wa mambo (evidence).

Ni aibu zaidi kusema kwamba nchi yetu ikae kimya au Mugabe aachwe na uharamia wake kwa sababu tu nasi tulivuruga uchaguzi huko Zanzibar. Kwa hiyo mnataka tukubaliane kwamba sisi ndivo tulivyo na hatuna haja kubadilika? The argument couldn't be weaker and any more ludicrous!

Safi sana Kitila
Mkuu uchaguzi wa zimbabwe ukiach influence wanazodai watu za magharibi ni kichekesho. Nitakwambia kwa nini,
Nchi hiyo hiyo na idadi ya watu wale wale almost waliojitokeza uchaguzi wa kwanza tumeambiwa walijitokeza uchaguzi wa pili. Ni kwa idai hiyohiyo ya watu na ukubwa wa nchi katika uchaguzi wa kwanza matokeo yalichelewesha kuhesabiwa na kutangazwa kwa vigezo kuwa nchi ni kubwa,wapiga kura ni wengi na sehemu nyingine hazifikiki kwa urahisi,hivyo tume inaendelea kukusanya matokeo ili hatimaye yatangazwe. Ni kwa idadi hiyo hiyo na ukubwa ule ule wa nchi,wala hatujasikia hata barabara moj imejengwa kabla ya uchaguzi wa pili,kura zimepigwa ijumaa, siku moja tu ya jumamosi,zikawa tayari zimehesabiwa na mugabe jioni yake kama sio jpl kutangazwa msindi na kuapishwa. Je,hata wale mnaosema mnamsuport mugabe sana kwa natural reasoning tu is this possible.Ratio ya three weeks to one day eeh inakuwaje.

Aidha uchaguzi mkuu wa pili ulisusiwa na kambi ya upinzani hiyo ina maana kuwa kuna watu waligoma kushiriki uchaguzi wa pili ukiacha waliolazimishwa,je unawezaje kusema idadi ilojitokeza ni ile ile ya aali wakati huohuo unakiri there were spoilt votes?
chaguzi zenu afrika kiini macho tu
 
Ni aibu zaidi kusema kwamba nchi yetu ikae kimya au Mugabe aachwe na uharamia wake kwa sababu tu nasi tulivuruga uchaguzi huko Zanzibar. Kwa hiyo mnataka tukubaliane kwamba sisi ndivo tulivyo na hatuna haja kubadilika?


Kipofu mmoja hawezi kumuongoza kipofu mwingine, Mugabe ana haki zote kisiasa kudai kuwa ameiga hiyo tabia toka kwetu, hiyo moral authority tunaitoa wapi ya kumwambia kuwa uchaguzi wake haukuwa wa haki wakati sisi tumekuwa tuki-practice hiyo tabia visiwani toka mwaka 1995?

Sisi tulipaswa kumwambia Mugabe afanye miafaka, anything else on our part as a nation ni unafiki, ujinga tena ndio hasa what we call ujuha, hayo maneno aambiwe na wengine wasafi sisi hatuna qualification hata moja, ndio maana Mungu alikua akituma manabii au watu wake walio tofauti na wa kawaida kuwashawishi watu na sio mtu yoyote tu kwa sababu alijua kuwa hakuna mtu mhuni angemsikiliza mhuni mwenziwe,

Sisi wahuni wenyewe leo tutamsaidia muhuni mwingine kuacha uhuni, that is pathetic! Tanzania tunahitaji ku-shut up!
 
Kipofu mmoja hawezi kumuongoza kipofu mwingine, Mugabe ana haki zote kisiasa kudai kuwa ameiga hiyo tabia toka kwetu, hiyo moral authority tunaitoa wapi ya kumwambia kuwa uchaguzi wake haukuwa wa haki wakati sisi tumekuwa tuki-practice hiyo tabia visiwani toka mwaka 1995?
.........

.......hapana, we can not keep on supporting people who learn the wrong lessons from others.........our minds are not static!......tena hii yaweza kuwa ndio fundisho kwetu kuwa nasi sasa tuache undumilakuwili ( beacuse we have pegged ourselves now).......hakuna ujinga hapo.........its a dynamic mind iliyo ready kujifunza na kukubali kuwa thats a fact........fraud ziko kila sehemu.........sasa je tuwasubiri malaika washuke ili watu waambiwe ukweli?..........nasema hapana......."the sky is blue"..........thats a fact..............kama kuna mtu halioni hilo.....basi yeye ndio kipofu..........na hasaidiki........

........na kama mentality ndio hiyo hata vita na mafisadi ni UNAFIKI
 
..AU wamemtambua Mugabe. statement yao inaelekeza hivyo.

..so far nimeona Tanzania na Botswana kutoa statements kwamba hawamtambui Mugabe.

..tamko la Membe ni moja ya hatua za kuvunja uhusiano wa kibalozi na Mugabe.

..nitashangaa sana kama Balozi wetu ataendelea kuwepo Harare.

..hatuwezi kukubaliana kuhusu nani yuko responsible na, au chanzo cha, matatizo ya Zimbabwe.

..kwa kweli sijui mgogoro huu unaelekea wapi na utatatuliwa vipi. time is running fast.
 
Wakuu ni kweli time is running out. But for heavens sake, we have nothing to lose kwa sasa hata tukimwambia Mugabe kwamba "the emperor is naked". Tatizo la waafrika tunaitumia historia yetu kama weapon (sasa imekuwa weapon of mass destruction na kibaya inatumaliza wenyewe sasa!)

Ogah umeelezea vizuri. Hatuwezi kuendelea na business as usual kwamba kwa vile kule tulishindwa basi na kwingine tusijaribu. I can asure you, historia itatuhukumu kindly. Hata AU unless they want to continue being irrelevant..huwezi ukaendorse ushindi kichaa kama wa Mugabe. Waliwatuma election observers ambao wamediscredit uchaguzi..leo AU wamuendorse Mugabe..huo si ni ubwege wa hali ya juu? Iam proud kwamba Membe has said something.

Joka Kuu kwa yeyote mwenye uelewa hawezi kumbebeleza Mugabe kwa lolote. Kwanza mimi ningemwambia Tsvangirai akatae serikali ya umoja wa kitaifa, Ademand serikali ya Mpito-Transitional governement. Mugabe hahitaji baby sitting anymore. Anatuabisha waafrika, we have enough problems, we cant keep on pilling.

Hivi wazee jana mliona zile picha za wananchi wa Zimbabwe ubalozi wa US pale Harare wakiwa helpless? Those are the images circulating the world..harafu CNN wakionyesha...ohhh..western conspiracy inaendeleza negative image za bara letu! wanaofanya na kusababisha yale tunawaona mashujaa..

Hapana wakubwa tubadilike..
 
Wakati watu wakiendelea kupiga kelele na Nchi za magharibi zikipiga kelele kutomtambua Mugabe, Tsvangirai mwenyewe anataka mazungumzo na serikali ya Mugabe kama alivyo Mugabe kutaka mazungumzo na Tsvangirai.

Sasa hao wanaotambua Tsvangirai kuliko Mugabe hata wananishangaza, utamtambuaje Mtu ambaye hajawa tayari kuwa rais wa nchi. Kosa linalotaka kufanyika hapa naona kama lile lililofanyika kwa Sadaam Hussen. Tsvangirai anaijua vizuri Zimbabwe na ndio maana hata alihamua kuikimbia kwa muda. Nchi za magharibi zinataka awe rais hiki ni Kichekesho.

Kwa tanzania hatuna haja ya kupoteza muda maana ninavyoona kwanza kwa Zanzibar tayari tupo pale pale hafadhali hata ya Kenya wamekubali serikali ya Mseto na ODM. Muache Odinga apige kelele maana amepitia huko.

Labda ambao wanataka kujua kuwa tanzania hatuko mbali ya Mugabe wapinzani ongezeni nguvu 2010 tumbwage Mzee mzima halafu muone zengwe litakavyo pigwa.

Sisi kwa serikali tuliyonayo tunatakiwa tukae kimya tuache Marekani, UK na Nchi nyingine ziendelee na mipango yao ya kivita kama zilivyotaka tangia walipoanza kuangusha utawala wa Mugabe. Najua ndiko wanaelekea huko pamoja na kwamba nchi za kiafrica haziko tayari na hili. Ambacho tena kilionekana kwenye mkutano wao ambao JK ni mwenyekiti.
 
Kipofu mmoja hawezi kumuongoza kipofu mwingine, Mugabe ana haki zote kisiasa kudai kuwa ameiga hiyo tabia toka kwetu, hiyo moral authority tunaitoa wapi ya kumwambia kuwa uchaguzi wake haukuwa wa haki wakati sisi tumekuwa tuki-practice hiyo tabia visiwani toka mwaka 1995?

Sisi tulipaswa kumwambia Mugabe afanye miafaka, anything else on our part as a nation ni unafiki, ujinga tena ndio hasa what we call ujuha, hayo maneno aambiwe na wengine wasafi sisi hatuna qualification hata moja, ndio maana Mungu alikua akituma manabii au watu wake walio tofauti na wa kawaida kuwashawishi watu na sio mtu yoyote tu kwa sababu alijua kuwa hakuna mtu mhuni angemsikiliza mhuni mwenziwe,

Sisi wahuni wenyewe leo tutamsaidia muhuni mwingine kuacha uhuni, that is pathetic! Tanzania tunahitaji ku-shut up!
Mkuu FMES,
Maneno aliyasem Mugabe kabla hajaondoka Misri ni maneno ambayo nayafikiria,Tena aliyasema kwa jazba sana.
"Zimbabwe is not a British Colonial"
"What do you want from Zimbabwe"

there is something wrong somewhere that we dont know,now you get the point why i always stand on Mugabe side?The Fact is Morgan wants to impose Western Policy to Zimbabwe which Mugabe and senior officers doesnt wants.

Mugabe kwa akumalizia akawaeleza wao ni idiot
 
Masanja,

..is there a possibility of moving forward without these two, Mugabe and Tsivangarai?


Kakindomaster,

..hata mimi nashangaa watu wanapomtambua Tsivangarai kama "mshindi."

..ule "ushindi" alioupata kikatiba haumruhusu kuwa Raisi wa Zimbabwe.

NB:

..hilo la Wakimbizi ktk ubalozi is a way to put pressure on the US government to act.

..sasa tuone kama Wamarekani watawatambua kama refugees.

..Gordon Brown mpaka leo hataki kuwatambua Wazimbabwe waliokimbilia USA kama political refugee.
 
naona serikali yetu imebanwa mabumbu na kina brown na dubya. huyu membe nae amekula "boat/pcp" nini? kila kukicha anaongea utumbo tu. kama he means what he says basi mbona hakumuambia bob hayo maneno walipokuwa misri? damn yaani serikali yetu imefikia this low point! who are we tryin to please.... wazungu? why are we recognizing kibaki, nguema, biya and not bob? mbona the same serikali iliiba kura hapo visiwani more than twice and not they are tryin to say shyt bout bob! kweli nchi yetu sasa is a proxy hub being used to fight and go against our brothas.
 
Mkuu ahsante kwa haya maneno, ninaomba nijaribu kuyachambua kama ninavyoyaelewa:-

1.
hapana, we can not keep on supporting people who learn the wrong lessons from others.........our minds are not static!......tena hii yaweza kuwa ndio fundisho kwetu kuwa nasi sasa tuache undumilakuwili ( beacuse we have pegged ourselves now).......hakuna ujinga hapo.........its a dynamic mind iliyo ready kujifunza na kukubali kuwa thats a fact


Kuiba kura za wananchi kule visiwani, na kuupora uchaguzi mzima, halafu kwenda kujaribu kuwaelimisha wengine kuwa ni makosa kuiba kura za wananchi wakati sisi wenyewe ndio wezi nambari moja wa kura na uchaguzi, hii ni fact ambayo unasema kuwa kutoielewa na kuikubali ni kutokuwa na dynamics mind?

Na kwamba eti hakuna ujinga hapa mbele ya wananchi wa Zimbabwe? Eti hakuna ujinga hapa mbele ya wananchi wa Visiwani?

Keep your dynamics mind mkuu, kwa sababu ni clear kuwa sitakuja kuwa na hizo mighty dynamics mind.


........fraud ziko kila sehemu.........sasa je tuwasubiri malaika washuke ili watu waambiwe ukweli?..........nasema hapana......."the sky is blue"..........thats a fact..............kama kuna mtu halioni hilo.....basi yeye ndio kipofu..........na hasaidiki........

Fraud ziko kila mahali, in this case maana yake ni kuwa wizi wa kura upo kila mahali kwa hiyo ni sawa kuwepo Tanzania, na pia ni sawa sisi wezi wa kura na uchaguzi kuwapigia kelele wezi wqengine kuwa wizi wa kura na uchaguzi ni makosa, lakini msituangalie sisi kwa sababu wizi huu wa kura upo kila mahali lakini pleaese Mugabe una makosa makubwa sana kwa kuiba kura na uchaguzi, lakini Mugabe kumbuka kuwa wizi wa kura upo kila mahali, Mkuu unasema kutokubali haya as a fact ni kuwa kipofu? Are kidding me?

Now what malaika has to do na wizi wetu wa kura na uchaguzi wa visiwani?


........na kama mentality ndio hiyo hata vita na mafisadi ni UNAFIKI

Now again what this has to do na uchaguzi wa Zimbabwe? Yes ni unafiki on our part kuwalalmikia mafisadi wa Zimbabwe kina Mugabe, wakati tumeshindwa kuwafikisha kwenye sheria mafisadi wa hapa bongo, you got this one right!

Wa-Tanzania hatuna any qualification kuwaambia Zimbabwe anything na wizi wa kura na uchaguzi, kwanza tujisafishe sisi kwanza, Lowassa na wenziwe wasingepaswa kujiuzulu kama suala la viongozi na rushwa linafanyika kila mahali,

I still beleive in kusafisha boriti jichoni mwangu kwanza na last time I checked the new Bible, haya maneno yalikuwa bado yako vile vile na kama this makes me kipofu so be it!.
 
.......hapana, we can not keep on supporting people who learn the wrong lessons from others.........our minds are not static!......tena hii yaweza kuwa ndio fundisho kwetu kuwa nasi sasa tuache undumilakuwili ( beacuse we have pegged ourselves now).......hakuna ujinga hapo.........its a dynamic mind iliyo ready kujifunza na kukubali kuwa thats a fact........fraud ziko kila sehemu.........sasa je tuwasubiri malaika washuke ili watu waambiwe ukweli?..........nasema hapana......."the sky is blue"..........thats a fact..............kama kuna mtu halioni hilo.....basi yeye ndio kipofu..........na hasaidiki........

........na kama mentality ndio hiyo hata vita na mafisadi ni UNAFIKI
...sina la kuongeza kabisa hapa mkuu, maana kutopiga mstari na kusema kuwa tunaamua kubadilika na kuongoza kutakuwa hakuna maana tena. Mfano, baadhi ya wabunge walioamua kubadilika na kuweka maslahi ya Taifa mbele zaidi siku za hivi karibuni hawatakuwa na la maana hivi sasa kama tuna wajudge kwa yale waliyofanya siku zilizopita tuu... tuwapongeze na kuwaunga mkono kwa matendo yao na siyo historia yao. Pale wanapochemsha....tuwapige madongo accordingly!!

Tusiandikie mate.... naomba tupige kura nani anaunga mkono tamko la serikali na nani haungi mkono. Tafadhali bonyeza :https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=15233

SteveD.
 
Kama kawaida yao Mtanzania ni Mdanganyika tu.
Wamekaa wote Misri wameshiliki wote kikao,
Wamekula wote Misri wakanywa kabisa na mvinyo,
Walicheka wote Misri ....Nashangaa jamaa anasema hawamtambui kwa nini hawakumwambia wakiwa kule kule Misri kuwa mzee sisi hatukutambui.Kule walifyata mkia wamerudi ndo wameenza kujikosha huu ni udhaifu wa hali ya juu sana.
Style hii tunaweza kusema ni UNAFIKI wa hali ya juu tena umekubuhu Membe hustahili kuwa kiongozi wewe ni kibaraka tu wa wazungu hufai kabisa MNAFIKI kwa nini hukumwambia wakati mkiwa wote?
 
Mkuu mimi mpaka sasa siamini kuwa Tanzania tumesema haya maneno against Zimbabwe, yaaani this is a biggest political joke of the year, kama sio of the century!

Nina wasi wasi sana kuwa huenda tunaanza au tunatumiwa na mkono flani hivi, maana this is not us, yaani kwenye Kenya hatukusema anything je ni kwa sababu huo mkono flani ulikuwa some interest na Kibaki? Inaonekana kuwa sasa huu mkono una interest na upinzani wa Zimbabwe na sisi tunakuwa wa kwanza kujiweka kimbele mbele,

Vipi kuna mkono flani hapa unatusukuma nini? Kwa faida ya nani sisi wananchi au viongozi?
 
Mkulu FMES, post yako hapo juu (#147) baada ya kuisoma nimeipenda maana imenipa mwangaza mwingine mkubwa wa upande wa pili wa mambo ya double standards... Hata hivyo miye bado nasema, as long as serikali yetu haijashinikizwa kutoa tamko hilo... basi tamko hilo ni la kupongezwa...

SteveD.
 
Mkuu mimi mpaka sasa siamini kuwa Tanzania tumesema haya maneno against Zimbabwe, yaaani this is a biggest political joke of the year, kama sio of the century!

Nina wasi wasi sana kuwa huenda tunaanza au tunatumiwa na mkono flani hivi, maana this is not us!


Ujio wa Kichaka.

Lack of Statemanship.

NItasema tena kama nilivyowasema wengine...

Mwenyekiti hana ubavu-Geo politiks ni zero😎
 
Hata hivyo miye bado nasema, as long as serikali yetu haijashinikizwa kutoa tamko hilo... basi tamko hilo ni la kupongezwa...
SteveD.

serikali yetu haina ubavu wa kusema hayo maneno bila ya kuminywa pumbu na wazungu..! i wouldn't even be suprized to find out that even the statement was written in europe and not in bongo halafu membe akaambiwa aisome.
 
Hili suala haliko mbali na kwamba wazungu hawakupendezewa na maamuzi yaliyotolewa na wakuu wa nchi za kiafriaka. Wao wanataka kumuondoa Mugabe tu, hawataki lingine. Sasa Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inaweza kutumiwa vizuri, naona wanaelekea kutugombanisha na Zimbabwe kama zilivyo nchi za kiarabu(Nafikiri wanataka kuweka kikosi hapa kwa kisingizio cha kulinda amani).

Nafikiri kwa hili tunajionyesha tulivyo ndumila kuwili. Na mwisho wake badala ya kupata sifa itakuwa ni fedhea tu kwa viongozi wa kiafrika .

Kwa sasa tungetakiwa kuwasupport Zimbabwe waweze kuwa na mazungumzo ya kuwa na serikali ya mseto.

Mugabe angelikuwa ametoka madarakani kama siyo hizi nchi za magharibi ambazo zimekuwa zikimwandama kila kukicha na ndio maana alitamka maneno mazito kuwa Zimbabwe siyo koloni la uingereza.

Mugabe kwake hii ni vita dhidi ya wakoloni wanaokuwa supported na Wapinzani. Kwa hiyo nchi kama Tanzania tutawekwa kama vibaraka wa nchi za wakoloni.

Kwa sasa hivi tungewasadia Wazimbabwe kuwa na amani kuliko kuchochea moto ambao kuzimika kwake unaweza kugharimu maisha ya wengi. tanzania tungetakiwa kukaa kimya kabisa ktk hili.

Soln ya Zimbabwe kwa sasa iwe kama tuliyofanya Kenya na si vinginevyo.

Kwani Kenya na Zimbabwe wapi watu wamekufa sana wakati wa uchaguzi?
 
Back
Top Bottom