Tanzania haiwezi kuendelea kwa sababu Makanisa na Misikiti ni Mingi sana kuliko idadi ya Viwanda, Hospital na Shule

Huu ni ukweli mchungu.

Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuweka mbele dini kuliko viwanda.

Hata Saudi arabia wanaendelea sababu dini kwao ni biashara inayochangia pato lao la taifa matrilioni ya hela. Wanafurahi sana kuona watu wengi wanaenda kuhijj kwao. Hela za visa, hela za hotel kule, flight fees airports. Zinawapa mahela

Saudi Arabia kuna wizara ya Hijja kabisa kwenye serikali yao. Sababu wanapiga hela za wataliii wa kidini.

Vatican na wao hivyo hivyo.

Sisi Tanzania ili tuendelee lazima tupunguze idadi na nguvu ya kujenga nyumba za ibada.

Kama tunavyochangishana kujenga makanisa kwa kushikana mashati kwenye Jumuia. Tunapaswa tuchangishane kujenga viwanda.

Ardhi ipo kubwa haitumiki inafaa kujengwa viwanda vya kila aina..

Rasili mali watu ipo kibao haina ajira inashinda vijiweni kubishana Simba na Yanga , Diamond na Ali kiba, Hamissa Mobetto na mabwana zake.

Tukijenga viwanda ndio tutaendelea.

Ushauri wangu Makanisa na misikiti yote igeuzwe viwanda.

Kila kata kubaki na msikiti mmoja tu na kanisa moja tu la kuzugia
Umeongea kutumia akili za matako
 
Mkuu Freshman,the bittertruth you said itawaumiza wengi sana,ila kihualisia Africa inahotaji maendeleo ya technology zaidi ya theology.

Maana nchi nyingi ambazo hazina Ukristo wala Uislamu Zina maendeleo sana na mungu hawapi adhàbu yoyote,si kwamba mungu hayupo,mungu yupo ila si huyu wa Wakristo na WA Islam.

North Korea ukikutwa na bibilia au Quran adhàbu yake ni kifo,nchi kama Japan,China,laos,Bhutan, Armenia,North Korea etc. Hazina Uislamu Wala ukrisato na ndo matajiri,na asilimia 95% ya magari tunayotumia yanatokea nchi isiyokuwa na dini,Japan,kwann mungu asingetupa sisi tunaokesha misikitini na makanisani?
Mungu hayupo.

Kila kitu mwanadamu anafanya kwa uwezo wake.

Mungu huyo ni Fictional character.
 
Acheni visingizio vya kipuuzi dini haijawahi kuwa kikwazo cha maendeleo kwa mtu yeyote yule, kwa sababu muda ulio tengwa kwa ajili ya kuabudu ni mdogo na dini hizo hizo zimewahimiza watu kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yao.

Dini au kutokuwa na dini hakuja wahi kuwa kigezo cha kupata maendeleo, mfano mzuri ni hapa hapa Tz ukienda usukumani hasa sehemu za vijijini watu hawana habari na dini lakini wananuka umasikini mpaka kwenye nywele.
 
Huu ni ukweli mchungu.

Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuweka mbele dini kuliko viwanda.

Hata Saudi arabia wanaendelea sababu dini kwao ni biashara inayochangia pato lao la taifa matrilioni ya hela. Wanafurahi sana kuona watu wengi wanaenda kuhijj kwao. Hela za visa, hela za hotel kule, flight fees airports. Zinawapa mahela

Saudi Arabia kuna wizara ya Hijja kabisa kwenye serikali yao. Sababu wanapiga hela za wataliii wa kidini.

Vatican na wao hivyo hivyo.

Sisi Tanzania ili tuendelee lazima tupunguze idadi na nguvu ya kujenga nyumba za ibada.

Kama tunavyochangishana kujenga makanisa kwa kushikana mashati kwenye Jumuia. Tunapaswa tuchangishane kujenga viwanda.

Ardhi ipo kubwa haitumiki inafaa kujengwa viwanda vya kila aina..

Rasili mali watu ipo kibao haina ajira inashinda vijiweni kubishana Simba na Yanga , Diamond na Ali kiba, Hamissa Mobetto na mabwana zake.

Tukijenga viwanda ndio tutaendelea.

Ushauri wangu Makanisa na misikiti yote igeuzwe viwanda.

Kila kata kubaki na msikiti mmoja tu na kanisa moja tu la kuzugia
Yawezekana ndio tafsiri halisi ya Amani na Utulivu uliopo.
Nchi zisizo na Imani thabiti wananchi wake hawana uelekeo wowote,mambo ya viwanda n.k ni vitu vinavyosubili Umeme wa uhakika.
 
Makanisa na misikiti yote yageuzwe viwanda!
Akili za kuku hizo.
 
Yawezekana ndio tafsiri halisi ya Amani na Utulivu uliopo.
Nchi zisizo na Imani thabiti wananchi wake hawana uelekeo wowote,mambo ya viwanda n.k ni vitu vinavyosubili Umeme wa uhakika.

Japan hawaamini ukristo wala uislam

Ila ndio wanatutengenezea magari. Haya yaliyojaa nchini

China asilimia 90 hawaamini ujinga wa ukristo wala uislamu. Ila ndio wanatutengenezea kila kitu.

Korea nao hivyo hivyo hawaamini ukristo wala uislam. Ila ndio wanatutengeneza Samsung zao.

Je china, korea, japan na nchi zingine zisizo na ukristo wala uislam hawana amani ?
 
Mkuu Freshman,the bittertruth you said itawaumiza wengi sana,ila kihualisia Africa inahotaji maendeleo ya technology zaidi ya theology.

Maana nchi nyingi ambazo hazina Ukristo wala Uislamu Zina maendeleo sana na mungu hawapi adhàbu yoyote,si kwamba mungu hayupo,mungu yupo ila si huyu wa Wakristo na WA Islam.

North Korea ukikutwa na bibilia au Quran adhàbu yake ni kifo,nchi kama Japan,China,laos,Bhutan, Armenia,North Korea etc. Hazina Uislamu Wala ukrisato na ndo matajiri,na asilimia 95% ya magari tunayotumia yanatokea nchi isiyokuwa na dini,Japan,kwann mungu asingetupa sisi tunaokesha misikitini na makanisani?
Mungu hakuleta dini kwa ajili ya malengo ya kidunia bali alileta dini ili aabudiwe na ndio maana hata kama unasali ni razima ufanye kazi ili upate kuendesha maisha yako maana kusali kwako hakuta kuletea fedha bila kufanya kazi.

Suala la maendeleo yeyote halina uhusiano wowote na dini au kutokuwa na dini na ndio maana kuna nchi zenye wakristo wengi ni tajiri lakini kuna pia kuna nchi za wakristo hao hao ni masikini, pia kuna nchi za waislam ni tajiri na pia kuna nchi za waislam masikini na pia kuna nchi zenye raia wasio amini kwenye hizi dini mbili ni tajiri pia kuna nchi zisizo amini kwenye hizi dini ni masikini vile vile.

Kama kutoa amini katika ukrisito na uislam ndo kuleta maendeleo basi ilitakiwa nchi zote ambazo raia wake hawaamini katika dini hizo ziwe na maendeleo kama Japan.

Mwenyezi Mungu humneemesha yeyote hapa duniani awe mwema au muovu na ndio maana vua ikinyesha inanyesha kwenye mashamba ya watu wote bila kujali hili ni shamba la muovu au mwema fainal itakuwa siku ya hukumu ambapo kila mtu atalipia kile alicho kifanya hapa ulimwenguni.
 
Misikiti na makanisa kwani vinajengwa na serikali?😁😁 Waumini wote wana kazi zao wanakuja na kuondoka...Labda useme nyumba za ibada zinachukua nafasi ila pia ni uongo kwa vile mapori yapo kibao.

Serikali imeshindwa kufanya fully utulization ya resources basi ndio tatizo...Tukija maprofessor wanaojisifiawana elimu ndio hao wanakimbilia siasa, wakipata trips za ughaibuni wanajiona wana akili ila hawatumia akili kufanya makubwa.
 
Japan hawaamini ukristo wala uislam

Ila ndio wanatutengenezea magari. Haya yaliyojaa nchini

China asilimia 90 hawaamini ujinga wa ukristo wala uislamu. Ila ndio wanatutengenezea kila kitu.

Korea nao hivyo hivyo hawaamini ukristo wala uislam. Ila ndio wanatutengeneza Samsung zao.

Je china, korea, japan na nchi zingine zisizo na ukristo wala uislam hawana amani ?
Imani za Dini wakati mwingine ni Utamaduni.
Tamaduni za Mashariki ya mbali ni tofauti kabisa na tamaduni za Kiafrika zenye fikra za Ukoloni.
Kwa mfano huwezi tenganisha historia ya Uislam na Ukiristo na dhambi mbaya ya biashara ya Utumwa.
Uwepo wa Imani bila maendeleo sio sawa ndio maana taasisi za Dini nazo zinachangia pakubwa kwenye Uchumi wa Nchi.
 
Pesa tunazochangishwa kwa ajiri ya ujenzi wa makanisa na misikiti ingetumiwa kwa kujenga viwanda tungekuwa mbali Sana kiuchumi.

Na hilo ndilo wazo langu nililisema humu. Waumini wa dini wamenijia juu kwamba dini hazihusiani na maendeleo.

Imagine kanisa linachangisha mabilioni kulijenga.. hizo bilioni ukizitia kwenye kiwanda kidogo cha kufanya nyanya ziwe tomato source , watu wangapi wangepata ajira ? Serikali kodi ingepata bei gani ?
 
Huu ni ukweli mchungu.

Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuweka mbele dini kuliko viwanda.

Hata Saudi arabia wanaendelea sababu dini kwao ni biashara inayochangia pato lao la taifa matrilioni ya hela. Wanafurahi sana kuona watu wengi wanaenda kuhijj kwao. Hela za visa, hela za hotel kule, flight fees airports. Zinawapa mahela

Saudi Arabia kuna wizara ya Hijja kabisa kwenye serikali yao. Sababu wanapiga hela za wataliii wa kidini.

Vatican na wao hivyo hivyo.

Sisi Tanzania ili tuendelee lazima tupunguze idadi na nguvu ya kujenga nyumba za ibada.

Kama tunavyochangishana kujenga makanisa kwa kushikana mashati kwenye Jumuia. Tunapaswa tuchangishane kujenga viwanda.

Ardhi ipo kubwa haitumiki inafaa kujengwa viwanda vya kila aina..

Rasili mali watu ipo kibao haina ajira inashinda vijiweni kubishana Simba na Yanga , Diamond na Ali kiba, Hamissa Mobetto na mabwana zake.

Tukijenga viwanda ndio tutaendelea.

Ushauri wangu Makanisa na misikiti yote igeuzwe viwanda.

Kila kata kubaki na msikiti mmoja tu na kanisa moja tu la kuzugia
CCM ni kikwazo cha maendeleo, walifunga kiwanda cha kusindika nyama huko Kawe wakawapa eneo manabii eti waponye watu badala ya hospitali!
 
Huu ni ukweli mchungu.

Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuweka mbele dini kuliko viwanda.

Hata Saudi arabia wanaendelea sababu dini kwao ni biashara inayochangia pato lao la taifa matrilioni ya hela. Wanafurahi sana kuona watu wengi wanaenda kuhijj kwao. Hela za visa, hela za hotel kule, flight fees airports. Zinawapa mahela

Saudi Arabia kuna wizara ya Hijja kabisa kwenye serikali yao. Sababu wanapiga hela za wataliii wa kidini.

Vatican na wao hivyo hivyo.

Sisi Tanzania ili tuendelee lazima tupunguze idadi na nguvu ya kujenga nyumba za ibada.

Kama tunavyochangishana kujenga makanisa kwa kushikana mashati kwenye Jumuia. Tunapaswa tuchangishane kujenga viwanda.

Ardhi ipo kubwa haitumiki inafaa kujengwa viwanda vya kila aina..

Rasili mali watu ipo kibao haina ajira inashinda vijiweni kubishana Simba na Yanga , Diamond na Ali kiba, Hamissa Mobetto na mabwana zake.

Tukijenga viwanda ndio tutaendelea.

Ushauri wangu Makanisa na misikiti yote igeuzwe viwanda.

Kila kata kubaki na msikiti mmoja tu na kanisa moja tu la kuzugia
Wajasiliamali dini wamewaambia wenzao eti wakaombe pesa Kwa Mungu ila watoke sadaka 😁😁
 
Tanazania imejaa wapumbavu wengi sana,

Hiyo misikiti na makanisa inazuia vipi viwanda visijengwe? imemaliza ardhi yote kiasi kwamba wawekezaji wamekosa maeneo?

Hivi hayo makanisa na misikiti yamejengwa na serikali? na kama watu wameamua kujenga majengo yao ya ibada unataka serikali iwakataze? then wakuabudu wewe?

tutoke huko tuje kwa hao waarabu na na hija.
unadhani na hao waarabu wa leo walikaa kikao na kusema tujenga hili kaaba kwa ajili ya watu waje kila mwaka ili tufanye biashara ama kivutio cha utalii.

Hiyo KAABA imejengwa na Ibrahim ambaye hakua mwarabu kabisa, alitoka huko Iraq, sasa hebu tujiulize hao wa Iraq wananufaika vipi na hiyo ibada.
Hii ibada ya Hija,ni dunia nzima wanafaidika.Pale hujaji anakotoka nyumbani kwake,kwenda airport yenye ndege ya kwenda kwenye hija,atatumia Tax,bajaj mpaka kwenye stend ya Bus,kumpeleka kule ambako ndio kuna Airport ya safari ya hija,na akifika mji huo,kama anatoka mkoani,akienda Dar;atalala hotel,karibia wiki nzima,atalala hotel,atakula chakula,atatumia usafiri na mahitaji mengine,mote atatumia pesa,ambapo mzunguko wa pesa utakuwapo,na serekali hupata mapato yake.Na huduma zote hizo atazitumia bila kujali dini ya anayempa hizo huduma.
Kwa hiyo misikiti,ndio inayomuandaa huyu,anayekwenda hija,na pia kuna hija ndogo katika uislamu,inafanyika wakati wote wa mwaka,mbali ile ya hija kuu,ya mwaka mara moja.
Kwa hiyo hija ni uchumi wa dunia nzima,bila kujali dini ya mtu.Misikiti ni kiwanda tosha,cha kuwaandaa hawa,watumiaji wa ibada hiyo ya hija.Wanaoingiza mzunguko wa pesa,na kuingizia serekali mapato,maana matumizi yao,pamoja na tiketi,na malipo mengine ya uwanja wa ndege,tax,bus,mahotel,kula nk vyote vinalipiwa kodi.
 
Data zinabishwa kwa data. Sio stori za madrassa na sunday school.

Tunaongelea leo hii dini zinafaida kwa nchi zinazoingiza hela kwa kutumia dini.

Na nikatoa mfano saudi arabia... wewe unaleta stori za kufikirika ulizohadithiwa Madrassa

Facts hizo hapo attached
Dunia nzima inafaidika na Hijja.Kuanzia pale anayekwenda hija,kila huduma anayoitumia anatoa pesa,pesa ile anayolipa inaingia kwenye mzunguko,na kulipa kodi kwenye serekali.Fikiria gharama nzima ya Hija,iwe milioni 15,wakiwa ni wasafiri laki 4 kutoka Tanzania tu,je ni kodi kuanzia shilingi ngapi,nchi inaingiza,kuanzia usafiri wa Tax,Mahotel watakaolala,wanaotoka mikoani kwenda Dar,chakula,bus watakazopanda,tiketi za ndege,bado na wakati wa kurudi.Na pia hija inaongeza ajira kwa nchi nyingi duniani,mashirika ya ndege yanaongeza idadi ya wakala wa tiketi,mabenki yanapata pesa,kwa malipo mbalimbali.Misikiti ndio viwanda vyenyewe vya kuzalisha hawa mahujaji.Mbali ya hija kuu,kuna hija ndogo ya wakati wowote na mda wowote.Nchi zote duniani zinanufaika na hija.Aliyeanzisha hija,huyu ni mchumi wa dunia,apewe sifa zake.Maana wanufaika wa hija ni watu wote bila kujali dini zao wala rangi zao,wala kabila zao.Mpaka wasio na dini wananufaika kwa mapato.Msafiri wa hija anatumia huduma bila kuulizia dini ya anayempa huduma.
 
Back
Top Bottom