Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

Jpm alikimbilia wachina wakamnyosha.

Mchina hana huruma na mtu ambaye anashindwa kuendesha nchi yake vizuri na a ashi dwa kudhibiti Rushwa na ufisadi harafu akimbilie kwake kutafuta misaada. China wako macho hawana masihara.
Kabisa, na Mchina hasamehi Madeni yake kamwe, Mchina ni nyoko yule,
 
Hata Simu Na Ndege Ni Wazungu.Katika Afya asilimia Kubwa Ni Wazungu,,Madawa ya ukimwi Ni Wazungu,,Kujenga vyoo mashuleni,,.Hawa Watu kiukweli wanatuongoza Bila kujua..Wazungu wanatuongoza...
Kila Siku tunakimbilia Huko
 
Ra
Rais mwenyewe kutwa kiguu na njia kuzurura kwenye mataifa ya watu kuomba omba misaada ya kumnufaisha mwanae Abdul na machawa wake.
 
Usisahau Chanjo watoto chini miaka 5 kwa miaka 60 Uhuru tunapewa bure .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…