Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

True
True.
 
Hizi Airbus na Bombadier mnazopanda zipo controlled na hao wamarekani mnao wachafua, ndege zao zinatumia smart link system. Yaani wakiamua kuwamaliza ni swala la sekunde tu.
Waliokabidhi bongo zao Lumumba sio rahisi kuelewa hilo. Waulize kilichotokea kwa Hezbollah juzi- sio mabomu wala vifaru, teknolojia ya mzungu ilifanya kazi. Mtu asijejifungia magogoni akavimba kichwa.
 
Kwa maana nyingine unatwambia kwamba ni sahihi tu tuendelee kuwa watumwa wa hao mabwana kwa maana ya kupangiwa maisha mpaka kiama kisa tu tunawategemea kwenye hayo mambo uliyoyataja si ndio maanake?

Sasa kwa mawazo haya akiwaambia nyie hamna tofauti na manyani Bado mnahisi mmetukanwa??
 
Unasema jimbo moja la US linaizidi Afrika nzima kiuchumi? Mkuu, achana na Afrika, hata Russia yenyewe imeachwa na baadhi ya majimbo ya US.
 
Acha yote hayo

Kuna hadi vidonge vya ARV hadi polio hadi vidonge vya malaria hadi neti ya mbu wanatoa wao

Wakikata hivyo vidonge tu hatuna nchi
 
Kwa nini Royal tour haijaenda kuzinduliwa China?
 

Wa Kwanza Mungu wa Pili mzungu! Aache Kudemka ,anapiga makelele halafu anatembeza BAKULI.
 
Wanaweza kujiongoza usiwanyanyapae wewe! Shida mzaha tu
 
Jpm alikimbilia wachina wakamnyosha.

Mchina hana huruma na mtu ambaye anashindwa kuendesha nchi yake vizuri na a ashi dwa kudhibiti Rushwa na ufisadi harafu akimbilie kwake kutafuta misaada. China wako macho hawana masihara.
Yap hilo lipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…