Tanzania hakuna kama Jose Mtambo

Mechi za Ugenini[emoji91][emoji119]
 
Uko sawa mkuu 👏👏
 
Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow[emoji91][emoji91][emoji119]

#forgive me
Weka vigezo ulivyotumia ili wanaolinganishwa naye nao wapimwe kwa vigezo hivyo hivyo.
 
Sema unampenda .ni kweli.jamaa mzima sana ila enzi zao zimepita sisi tuliokuwa madhabiki zao saivi tuna vitambi na majukumu kibao wengi tunavaa mashati ya draft na sendo za kichaga
 
Shotout kwa Jose, bonge la moja la MC, shida kaendekeza sana tungi.. ana akili sana na mtu safi hana majivuno, ila tungi limemkolea hata kuhama kwao kashindwa.
 
Hii verse mtambo alitisha sana kwenye ile beat!

Verse nyingine ninayoikubali sana ni ile ameshirikishwa na Mr. Paul ngoma inaitwa chocolate kama sijasahau..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Nikumbushe jina la hii ngoma Vinci Dayot Upamecano
 
Kwenye aina yake ya flow Kuna mtu anaitwa mitaani most wanted (Dknob) na King crazy Gk
 
Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow[emoji91][emoji91][emoji119]

#forgive me
Uzi wako umekosa mantiki.
Kula msanii ana flow yake na upekee wake..

Ni kweli hapa bongo hakuna msanii anayeweza ku flow kama jose mtambo .
Lakini haimaanishi kwamba Jose mtambo ni msanii bora wa Hip hop
 
Shotout kwa Jose, bonge la moja la MC, shida kaendekeza sana tungi.. ana akili sana na mtu safi hana majivuno, ila tungi limemkolea hata kuhama kwao kashindwa.
Afu mchizi yuko hamble sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…