NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Stamina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madogo hawawezi kukuelewa[emoji3]Nishakula ugali ngangari, nawachunia washamba hao...
Jose mambo Mzee wa Kigamboo nafanya mamboo...
Aisee ni Jose ni mkali mno tena mno..
Mechi za Ugenini[emoji91][emoji119]Yoh yoh wapi unakwenda, hebu njoo now put your hands up
Hapana kukaa man, come on now stand up
Tumble away, haha haha danger
Ni ngoma kali, mwenyewe naipenda, naila denda,
Beat inakutega ha! kama duka la mpemba
Rusha mikono man, rusha na miguu ukipenda
Mkanda ukikatika amini ipo suspender
And I like the way wakija, I like the way hata wakienda
Hata wakivaa kanga, kanga bado wananibamba
Nakuwa mkubwa, kama kidole kidole gumba
Kamwili kembamba, ila mi ni namba. (Kubwa)
Mmmh mmh eh mshamba
Kamuulize Anorld mwadai komando mwamba
Yoh man wats up, whats up come on hands up
Mi wa kigambo.ni, ingawa gamba sijaenda
No usiondoke, come back put your hands up... Jos Mtamboo huyo
Uko sawa mkuu 👏👏Yoh yoh wapi unakwenda, hebu njoo now put your hands up
Hapana kukaa man, come on now stand up
Tumble away, haha haha danger
Ni ngoma kali, mwenyewe naipenda, naila denda,
Beat inakutega ha! kama duka la mpemba
Rusha mikono man, rusha na miguu ukipenda
Mkanda ukikatika amini ipo suspender
And I like the way wakija, I like the way hata wakienda
Hata wakivaa kanga, kanga bado wananibamba
Nakuwa mkubwa, kama kidole kidole gumba
Kamwili kembamba, ila mi ni namba. (Kubwa)
Mmmh mmh eh mshamba
Kamuulize Anorld mwadai komando mwamba
Yoh man wats up, whats up come on hands up
Mi wa kigambo.ni, ingawa gamba sijaenda
No usiondoke, come back put your hands up... Jos Mtamboo huyo
Weka vigezo ulivyotumia ili wanaolinganishwa naye nao wapimwe kwa vigezo hivyo hivyo.Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow[emoji91][emoji91][emoji119]
#forgive me
Hii verse mtambo alitisha sana kwenye ile beat!Yoh yoh wapi unakwenda, hebu njoo now put your hands up
Hapana kukaa man, come on now stand up
Tumble away, haha haha danger
Ni ngoma kali, mwenyewe naipenda, naila denda,
Beat inakutega ha! kama duka la mpemba
Rusha mikono man, rusha na miguu ukipenda
Mkanda ukikatika amini ipo suspender
And I like the way wakija, I like the way hata wakienda
Hata wakivaa kanga, kanga bado wananibamba
Nakuwa mkubwa, kama kidole kidole gumba
Kamwili kembamba, ila mi ni namba. (Kubwa)
Mmmh mmh eh mshamba
Kamuulize Anorld mwadai komando mwamba
Yoh man wats up, whats up come on hands up
Mi wa kigambo.ni, ingawa gamba sijaenda
No usiondoke, come back put your hands up... Jos Mtamboo huyo
Nikumbushe jina la hii ngoma Vinci Dayot UpamecanoYoh yoh wapi unakwenda, hebu njoo now put your hands up
Hapana kukaa man, come on now stand up
Tumble away, haha haha danger
Ni ngoma kali, mwenyewe naipenda, naila denda,
Beat inakutega ha! kama duka la mpemba
Rusha mikono man, rusha na miguu ukipenda
Mkanda ukikatika amini ipo suspender
And I like the way wakija, I like the way hata wakienda
Hata wakivaa kanga, kanga bado wananibamba
Nakuwa mkubwa, kama kidole kidole gumba
Kamwili kembamba, ila mi ni namba. (Kubwa)
Mmmh mmh eh mshamba
Kamuulize Anorld mwadai komando mwamba
Yoh man wats up, whats up come on hands up
Mi wa kigambo.ni, ingawa gamba sijaenda
No usiondoke, come back put your hands up... Jos Mtamboo huyo
Ngoma ni ya Roma mkatoliki-Mechi za ugenini ft Jose mtamboNikumbushe jina la hii ngoma Vinci Dayot Upamecano
Uzi wako umekosa mantiki.Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow[emoji91][emoji91][emoji119]
#forgive me
Afu mchizi yuko hamble sanaShotout kwa Jose, bonge la moja la MC, shida kaendekeza sana tungi.. ana akili sana na mtu safi hana majivuno, ila tungi limemkolea hata kuhama kwao kashindwa.