Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hivi Tanzania kuna mji una utulivu kuliko Tanga ? Halafu wanapenda mapenzi sanaš saa 1 ya usiku haukuti mtu barabarani , soda zao , usafiri wa pikipiki hauukuti popote
UsiniambieTembelea na iringa mkuu
Kwanini nisikuambie mkali?Usiniambie
Chapati ya kule ina page nane ukiichana katikatiš¤£š¤£.Huko nasikia kuna chapati tamu kuliko keki
Hio ni mshangao sio kama nakukataza hhhhhhKwanini nisikuambie mkali?
Hahaha sawaHio ni mshangao sio kama nakukataza hhhhhh
Labda si wavivu, bali ni ule uchovu wa baada ya mapenzi ndo unawaweka chini.Maana ni wavivu
Upo Iringa hapo?Tembelea na iringa mkuu