charrote JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,988 Reaction score 4,413 Aug 17, 2025 #21 Waja leo kuondoka majaliwa
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Aug 19, 2025 #22 baunsamuoga said: Naenda oga! Click to expand... Hicho kiswahili chao kilinipa wenge sana miaka fulani huko. Nikawa nawashangaa hawa jamaa wanaongeaje aisee, sio wa kike si wakiume wote wanaongea kirojorojo. Nilipata tabu sana kupiga story na wana mtaani na kishwahili changu cha kihunikihuni
baunsamuoga said: Naenda oga! Click to expand... Hicho kiswahili chao kilinipa wenge sana miaka fulani huko. Nikawa nawashangaa hawa jamaa wanaongeaje aisee, sio wa kike si wakiume wote wanaongea kirojorojo. Nilipata tabu sana kupiga story na wana mtaani na kishwahili changu cha kihunikihuni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 7, 2025 #23 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,798 Reaction score 6,089 Sep 7, 2025 #24 Matawi ya juu said: CCM wanataka kutuharibia amani, watekaji na wauaji mbwa koko hawa waliokosa maadili Click to expand... Haya mafara sana Tz ilikuwa nchi ya amani sana washaitia madoa
Matawi ya juu said: CCM wanataka kutuharibia amani, watekaji na wauaji mbwa koko hawa waliokosa maadili Click to expand... Haya mafara sana Tz ilikuwa nchi ya amani sana washaitia madoa