Tanzania hakuna mji una utulivu kuliko Tanga

Kwa mikoa niliotembea nadhani hata kwenye miundombinu Tanga mjini pako vizuri, yaani Kwa dakika 30 unaweza kutembea na usafiri karibu mjini kote maana panafikika Kwa urahisi, hakuna foleni za hovyo hovyo maana njia ni nyingi Sana na zinapitika, tofauti na huku DSM yaani kisehemu cha dakika kumi jua utakaa lisaa limoja, usiku ndo balaa yaani hakuna tofauti Kati ya kwenye gari binafsi na Yule anayepanda daladala.
 
Ngoja nitafute kiwanja tanga mjini au pangani siku nikistafu nistafie huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…