The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kila nikifuatailia kesi za aina hii naona Serikali inasema ni upatu ...
Ilianza DECI...
Ikaja Mr KuKu
Sasa kuna wahanga wapya wa Vanilla
Swali moja najiuliza kwanini hii "Organised Crime "..inaitwa Upatu?..
Na sheria zinazotumika ni zile za mwaka 47?
Polisi na Wizara ya Sheria hawaoni hapa kuna tatizo?
Watu wanakamatwa na wanaambiwa wanashitakiwa kwa kuchangisha pesa na hukumu ni faini.
Wakati hii ni "Organised Crime"..nchi zingine shitaka la kwanza ni Ku register kampuni kwa lengo la kufanya uhalifu.
Hilo tu mtu anakula miaka 10. Linakuja shitaka la kufanya matangazo ya uwongo kwa kutumia vyombo vya habari kwa lengo la kufanya uhalifu huku wakijua ni uhalifu miaka mingine mtu anakula.
Halafu shitaka la kutapeli watu.
Ndo maana ukiingia watsap kuna wale matapeli wa Q net na wengineo..wote wanatamba kuwatapeli watanzania daily. Kumbe serikali na Wizara ya sheria zimelala?
Hii nchi ya ajabu.