Tanzania hakuna Sheria za kupambana na "Organised Crime"?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kila nikifuatailia kesi za aina hii naona Serikali inasema ni upatu ...
Ilianza DECI...
Ikaja Mr KuKu
Sasa kuna wahanga wapya wa Vanilla

Swali moja najiuliza kwanini hii "Organised Crime "..inaitwa Upatu?..

Na sheria zinazotumika ni zile za mwaka 47?

Polisi na Wizara ya Sheria hawaoni hapa kuna tatizo?

Watu wanakamatwa na wanaambiwa wanashitakiwa kwa kuchangisha pesa na hukumu ni faini.

Wakati hii ni "Organised Crime"..nchi zingine shitaka la kwanza ni Ku register kampuni kwa lengo la kufanya uhalifu.

Hilo tu mtu anakula miaka 10. Linakuja shitaka la kufanya matangazo ya uwongo kwa kutumia vyombo vya habari kwa lengo la kufanya uhalifu huku wakijua ni uhalifu miaka mingine mtu anakula.

Halafu shitaka la kutapeli watu.

Ndo maana ukiingia watsap kuna wale matapeli wa Q net na wengineo..wote wanatamba kuwatapeli watanzania daily. Kumbe serikali na Wizara ya sheria zimelala?

Hii nchi ya ajabu.
 
HILI SUALA LA VANILLA TULIAAMBIA HUMU LAKINI,KUNA WATU WATAKUJA KULIA
 
Kuna kitengo wizara ya fedha kinashugulika na money laundry ila kwa matukio yanayoendelea ni Kama watu wamewekwa kupokea mishahara maana hakipo active.
 
Mkuu The Boss samahani kidogo naomba nitoke nje ya madam, hivi Mwaka 47 kilitokea nini maana kila kitu hua wanafanyia reference mwaka huo..
 
Hizo ni kesi za KULA NJAMA NA UTAPELI, ambazo zinaweza kufall kwenye makosa mengine ya JINAI tatizo "wakubwa" wanajimilikisha hizo hela na kukaa kimya wawliotapeliwa wanabaki wanahaha.
 
Kila nikifuatailia kesi za aina hii naona Serikali inasema ni upatu ...
Ilianza DECI...
Ikaja Mr KuKu
Sasa kuna wahanga wapya wa Vanilla

Swali moja najiuliza kwanini hii "Organised Crime "..inaitwa Upatu?..

Na sheria zinazotumika ni zile za mwaka 47?.

Polisi na Wizara ya Sheria hawaoni hapa kuna tatizo?

Watu wanakamatwa na wanaambiwa wanashitakiwa kwa kuchangisha pesa na hukumu ni faini.

Wakati hii ni "Organised Crime"..nchi zingine shitaka la kwanza ni Ku register kampuni kwa lengo la kufanya uhalifu.

Hilo Tu mtu anakula miaka 10..
Linakuja shitaka la kufanya matangazo ya uwongo kwa kutumia vyombo vya habari kwa lengo la kufanya uhalifu huku wakijua ni uhalifu miaka mingine mtu anakula.

Halafu shitaka la kutapeli watu.

Ndo maana ukiingia watsap kuna wale matapeli wa Q net na wengineo..wote wanatamba kuwatapeli watanzania daily ..
Kumbe serikali na Wizara ya sheria zimelala?

Hii nchi ya ajabu.
Zipo mpaka ziingilie maslahi ya watawala ndio inafanyiwa kazi
 
Ni miradi ya serikali hiyo kukusanya pesa za bure. Serikali inataifisha fedha, muhalifu anaachiwa kwa faini kiduchu waathirika wanaambiwa mlicheza upatu hivyo hela yenu imekwenda
 
Kila nikifuatailia kesi za aina hii naona Serikali inasema ni upatu ...
Ilianza DECI...
Ikaja Mr KuKu
Sasa kuna wahanga wapya wa Vanilla

Swali moja najiuliza kwanini hii "Organised Crime "..inaitwa Upatu?..

Na sheria zinazotumika ni zile za mwaka 47?

Polisi na Wizara ya Sheria hawaoni hapa kuna tatizo?

Watu wanakamatwa na wanaambiwa wanashitakiwa kwa kuchangisha pesa na hukumu ni faini.

Wakati hii ni "Organised Crime"..nchi zingine shitaka la kwanza ni Ku register kampuni kwa lengo la kufanya uhalifu.

Hilo tu mtu anakula miaka 10. Linakuja shitaka la kufanya matangazo ya uwongo kwa kutumia vyombo vya habari kwa lengo la kufanya uhalifu huku wakijua ni uhalifu miaka mingine mtu anakula.

Halafu shitaka la kutapeli watu.

Ndo maana ukiingia watsap kuna wale matapeli wa Q net na wengineo..wote wanatamba kuwatapeli watanzania daily. Kumbe serikali na Wizara ya sheria zimelala?

Hii nchi ya ajabu.
Kwani Mbowe au upinzani wanahusika? Kama ndiyo sema tutunge sheria chap chap!
 
Back
Top Bottom