Tanzania hakuna udini wala vita ta kidini haitakaa itokee. Sababu hizi hapa

Tanzania hakuna udini wala vita ta kidini haitakaa itokee. Sababu hizi hapa

Chama kijani hawatofautiani na vulugu za semaji zungu wanafanya mambo ya hovyo tu ukiwagusa penyewe wanaanza kutengeneza scenario za ajabu mala udini, ukabila,ukanda ili kutafuta huruma ya wananchi, Bila divide and rule hawatoboi mana mtaji wao mkubwa ni watu wa mihemko na fata mkumbo ambao reason capacity yao ni ndogo.
 
Hayo mengine yote nakupinga

Ila hilo la hawa watoto wa 2000 ni kweli hawa watoto hawana dini na hawana dini kabisa

Tena hawa vijana wa kiislamu wa mwaka 2000 ndo wamehalibikiwa kabisa mara mia kidogo wasabato na walokole, ni ngumu sana kumkuta kijana wa kisabato au kilokole ana kula ugoro na kunywa visungura ila hawa vijana wa kiislamu wanatisha kwa kunywa energy, visungura na kulamba ugoro
 
Waislamu wengi ni watoto wa mjini hao wasabato wengi wapo vijijini huko Musoma nakadhalika that's why
 
Waislamu wengi ni watoto wa mjini hao wasabato wengi wapo vijijini huko Musoma nakadhalika that's why
Iv mkuu kwanini vijana kutoka kondoa wakija mjini wanahalibika sana?
 
Siku zote dhambi zikiwa nyingi unaona watu wote Wana dhambi kama zako na hivyo ndivyo Mungu anawapiga mihuri kwenye nyoyo zenu

Usifuate mkumbo mkuu jf Ina members wachache sana ukilinganisha na watu mil60 wa Tz hii kwa hiyo usitoe uzoefu kupitia jeiefu
 
Kwa hizi point zako....kumbe Rais wa Tz bdo ni nyerere ndo nyie mnaosema CCM ikitolewa Kwa amani madarakani..... Vita itatokeea...hahahaha💬💬💬💬 hakina jambo kama ilo
 
Back
Top Bottom