Waislamu wengi ni watoto wa mjini hao wasabato wengi wapo vijijini huko Musoma nakadhalika that's whyHayo mengine yote nakupinga
Ila hilo la hawa watoto wa 2000 ni kweli hawa watoto hawana dini na hawana dini kabisa
Tena hawa vijana wa kiislamu wa mwaka 2000 ndo wamehalibikiwa kabisa mara mia kidogo wasabato na walokole, ni ngumu sana kumkuta kijana wa kisabato au kilokole ana kula ugoro na kunywa visungura ila hawa vijana wa kiislamu wanatisha kwa kunywa energy, visungura na kulamba ugoro
Iv mkuu kwanini vijana kutoka kondoa wakija mjini wanahalibika sana?Waislamu wengi ni watoto wa mjini hao wasabato wengi wapo vijijini huko Musoma nakadhalika that's why
Tanzania haikuwepo kabla ya ukristu na Uislam..🚮🚮Tanzania ilikuwepo kabla ya ukristu na uislamu.