Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

Upinzani sio vyama bali ni itikadi,vyama ni wakilisho tu la kuonyesha wale walio na hiyo itikadi.Jinsi wenye itikadi kinzani wanavyokua wengi ndio jinsi upinzani unavyoongezeka.Sasa wewe inawezekana unaangalia chama kwa maana ya kusanyiko ila unasahau kua sio lazima mpinzani awe na chama.Vyama hivi vinaanzishwa na vinakufa ila itikadi haifi.kwasasa huwezi kuona kuna upinzani kiasi gani kwasababu tunategemea shughuli za vyama ndivyo vituonyeshe hali ya upinzani ilivyo.Japo ni sawa ila unakosea sana kwasababu hakuna uwiano sawa wa shughuli za kisiasa kati ya mtawala na mpinzani.kwahiyo usijidanganye ukadhani upinzani haupo kwakuangalia muktadha wa mrengo wa vyama pekee.Siasa zetu zimechelewa kukomaa ila kwakadri miaka inavyoenda watu wanaelimika na siku sio nyingi ccm itakua historia.Kwasababu ccm sasa haipumui kwa pua zake yenyewe bali mashine za kulazimisha.Omba uzima.
 
Basi kulikuwa hakuna sababu ya kumpga Lissu risasi nyingi kiasi kile kwa kutumia silaha ya kivita,mngetumia tu mshale. R.I.P Ben Saanane.
Yule alifanya kitu kibaya sana inawezekana. Na Lissu kupigwa risasa pengine haikuwa watu wa Serikali kama wengi wanavyodhani. Lissu ni public figure na maadui wengi tu. pengine walitumia uhasama uliopo baina yake na Serikali kumtwaga njugu wakijua wazi lawama zote zitaangukia kwa Serikali. Nasema tu.
 
1. Kwa nini CCM huwa inatumia nguvu za ziada kupambana na vyama vya upinzani(hasa nyakati za uchaguzi)?

2. Uoga wa CCM kuhusu katiba mpya ni wa nini?.

Kabla ya kuandika mada lazima ufikirie kwa kina.
CCM hawaogopi katiba mpya, hawaitaki tu.
 
Hayo ni matatizo yetu kama watu weusi,ndo maana hata hao unaowaita vyama vikuu vinavyoongoza nchi navyenyewe haviwezi kusimamia serikali bila serikali kua tegemezi kwa nchi za magharibi.Hiyo nikwasababu bado tumeshikiwa akili.Ila mabadiliko yako kwa kadri watu wanavyoelimika.Usijiangalie tu wewe kwa miaka unayoishi ukaja na hitimisho,wakati nchi itakuwepo ata baada ya wewe kuondoka.jaribu kuangalia ata miaka 50 ijayo nchi itakuaje.
 
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM
 
Lumumba buku 7 (kulamba asali)
 
Hatuwezi Kwenda kinyume na wanavyotaka wafadhili !! Vyama lazima viwepo !! Na ni kwanini nguvu kubwa huwa inatumika kuvidhibiti vyama vya upinzani na wapinzani wa kawaida huko mitaani ?
 

..aliyeondoa walinzi wa area D, eneo la serikali aliposhambuliwa Lissu, anawafahamu wahusika wa shambulizi lile.
 
Upumbavu wako umekomaa sana
 
Toa ACT.,
 
we ni nzi wa kijani una uhakika mrema alianzisha nccr tafuta bwana wa kukulamba hyo asali kwenye msafara wa mamba na ww umo kenge mkubwa ww,usiulize kwann nimekutusi nazani jibu unalo
Kwani Umoja Party mnaanza lini? Pole I.
 
Nakushauri uunde chama Cha Upinzani tutoke huko tuje kwako,
 
Kwani CHADEMA, NCCR-Mageuzi, CUF, TLP, ACT vyote vikiwa ni vya CCM wewe unadhurika nini?
Vizuri zaidi anzisha chama chako upambane kiume na CCM.
 
Ewe bint wa kimasai tafuta kwqnza mume alambe hiyo asali isije ikamwagika

mambo mengine baadae
 
Hapa ndio nimekuona kumbe wewe ni bogus. Mwanzoni niliona kama una hoja ila kwa hii comment yako imeonyesha ulivyo mtupu kichwani.
 
Umevuka mipaka katika kuandika porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…