Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

Mleta mada anajaribu kuonesha kuwa kuna taaluma katika bandiko lake. Ukweli ni kuwa kuna ushabiki, mapenzi kwa CCM na kuna matamanio dhidi ya vinavoitwa vyama vya upinzani.

Anasema hakuna vyama vya upinzani lakini anazungumzia nia tofauti za vyama hivyo. Malengo ya vyama hivo. Mpaka anafikia kusema CCM itatawala muda wote na vyama vya upinzani havitawi kutawala. Wakati huo huo akisema vyama vyote ni CCM!!

Vyama vya siasa vinatambulika kisheria na kimuundo! Sio kutokana na utofauti wa vitu vinavyopiganiwa, sio kuongoza serikali au kutoongoza, sio idadi ya wanachama. Bali kwa hati ya kuwepo! Kama ilivo kwa TRA wanavomyambua mlipa kodi kwa TIN number yake bila kuangalia urefu, rangi, umri, uzito wake!!

Vyama vya upinzani sio CCM. Ni “kama” CCM!!
 
Nauliza ili iweje, mimi kwangu hakuna tusi yote maneno tu. So jitahidi kuwa mbunifu zaidi.
mbunifu mavi yako huna akili ww, hyo elimu yako uliosomea ukiitoa huko kichwani linabaki ilo bichwa tupu nahisi unatumia makalio kuwaza
 
1000% correct. Kina faru joni wanajikosha tu.
 
Kwahiyo hata umoja party SII Chama,kama ndivyo kwanini unajidanganya mwenyewe 🤔
 
Inawezekana kwa asilimia 80 unayoyasema yakawa ni kweli !! Sasa naomba unijibu maswali madogo mawili tu, 1- je wewe unaridhika na hali hiyo uliyoieleza ?? 2- je unafikiri nini kifanyike ili tupate upinzani wa kweli ?!!
Anajua kunanga tu,na kufurahi a uonevu Kwa vyama vya upinzani,na anajihesabu mzalendo🤔
 
Inawezekana kwa asilimia 80 unayoyasema yakawa ni kweli !! Sasa naomba unijibu maswali madogo mawili tu, 1- je wewe unaridhika na hali hiyo uliyoieleza ?? 2- je unafikiri nini kifanyike ili tupate upinzani wa kweli ?!!
Mkuu tatizo viongozi wengi wa upinzani ni mamluki akijitokeza mpinzani wa kweli tu wata Mchacha Wange au wata Mtundu Lisu
 
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…