Uchaguzi 2020 Tanzania hakuna Vyama vya Upinzani makini

Kwanini kiongozi wa kisiasa awe na malengo ya kufuta upinzani, maana yake nini? Kuua demokrasia? Kuondoa mawazo mbadala? Alafu matokeo yake ni nini? Wewe mleta uzi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, unamuharibia mgombea wako bila kujua
 
Kwanini kiongozi wa kisiasa awe na malengo ya kufuta upinzani, maana yake nini? Kuua demokrasia? Kuondoa mawazo mbadala? Alafu matokeo yake ni nini? Wewe mleta uzi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, unamuharibia mgombea wako bila kujua
Eti maendeleo, hatari sn ameshindwa kuleta maendeleo amebaki kukimbina na wapinzani
 
Aisee kuna watu hata hamjui kujipendekeza, sasa hapa umeandika nini. Nakushauri weka jina lako na namba ya simu labda utakumbukwa mbeleni huko. Wasted sperm.
 
Kwa Sasa unaishi wapi.Inaonekana km wewe ni mgeni umeingia Tz jana.Hili si andiko la mtu abayeishi Tz.
 
Kwahiyo upinzani umekufa.Naona hata uchaguzi huu JPM anavyopeta,Wala hatumii nguvu nyingi.Chadema na Lissu wako hoi kabisa.Kweli alifanikiwa kuiua Chadema.
 
siwez sema sana mtoa mada ila toka nikae nimekaa tu nasikiliza nani anapangua hoja na kusema ataleta kitu ambacho hakijafanyika.
REA peke yakr imesambaa kila kona sasa hio point ya kusema vijiji havina umeme imekufa natural death.
point ya mjin sasa ni uhuru wa kutoa mawazo. hiv kweli ndio mtanzania anataka kusikia??
 
Yeye mwenyewe Lisu anajua anakwenda kushindwa Ila anacho ogopa ni kushindwa vibaya na jambo ilo halinabudi kutokea.
 
Ulitegemea Lissu azungumzie nini zaidi ya aliyoongea?
Dhuluma kwa raia,ukosefu wa ajira,kushuka kwa uwezo wa kupata huduma (purchasing power),mfumuko wa bei,serikali kutowajibika (inapokosolewa) na viongozi kuwa miungu watu(viburi,jeuri) n.k. Je,hayo hayaathiri maisha na jamii kwa ujumla,huyaoni kuwa ni tatizo?

Kweli mtaji wa ccm ni ujinga wa wapiga kura.Kama leo ni zaidi ya miaka 50 ya uhuru na bado wapo wanaishi maisha kama hawa chini na bado wanaambiwa "nitaifanya Tz kama uraya" na wanatoa kura 75% a zaidi inatisha!
 

Attachments

  • 59 YEARS.jpg
    52.5 KB · Views: 1
  • GRAND BRIDGE.jpg
    138.1 KB · Views: 2
  • SKULI.jpeg
    165.7 KB · Views: 1
  • BOMOA 2.jpg
    39.9 KB · Views: 2
Umakini utatokea wapi wakati vyama vinaendeshwa na mtu mmoja,mpaka kufikia kufanya maamuzi kama haya 👇👇
 
Wasela na machokoraa mikutanoni haina maana watakupigia kura wewe. Akipita mgombea mwingine ni hao hujitokeza tena. Una uhakika gani kama walikupigia kura wewe?
Don't count the eggs before they hatch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…