Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

Ivi kuna watu wanasomaga hayaa magazetu ya hawa machawa.
Relax gentleman,
na kamwe usiache kunifuatilia kama hivi, kwasabb ni kwa faida yako na familia yako.

Ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa zawadi ya kutupatia huyo mama Dr.Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wa Taifa letu šŸ’
 
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia Suluhu Hassani sio wa dini yao na pengine kwasababu ni kiongozi shupavu mwananmke.

Dhamira na nia njema ya mbeba maono huyu wa waTanzania, ndio haswa chimbuko la uongozi wake madhubuti wa kisayansi dhidi ya wahubiri chuki na wachochea uhasama dhidi ya serikali yake sikivu ya CCM anayoiongoza.

Dr.Samia Suluhu Hassan ni mnyenyekevu na msikivu wa kiwango cha juu mno katika historia ya nchi yetu, hasa anapotekeleza majukumu yake muhimu sana ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote kwa ujumla. Hapajawahi kutokea kiongozi mstahimilivu mwenye subra, hekima na busara kama huyu wa Tanzania kwa sasa.
Kama taifa yafaa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya huyu mama Dr.Samia, na kuzidi kumuombea kwa Mungu aendelee kumjalia afya njema na maono zaidi katika kuwatumikia na kuwaletea waTanzania maendeleo.

Msingi wa uongozi wake imara na usio tetereka, umejengwa katika falsafa yake mwenyewe ya maridhiano, mageuzi, ukarabati na ustahimilivu. Msingi wa falsafa hii ndiyo imeiliunganisha Taifa letu kutoka kwenye migawanyiko na hatimae kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kutoka kujitenga.
Na matokeo yake uchumi wetu unaimarika, huduma za kijamii ni za uhakika zaidi na hali ya kisiasa ikizidi kuboreshwa siku hadi siku kuelekea uchaguzi mkuu wa october2025.

Hekima na Busara za Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, daima zimekua tiba na dawa ya mikwamo na changamoto ndogo ndogo za kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa nchi yetu, licha ya hujuma, kelele za chuki za kidini, msukumo wa mataifa ya nje kwa kutumia vibaraka wao ndani ya vyama vya siasa na madhehebu ya kidini, kujaribu kuhujumu na kuvuruga jitihada za mtukufu Rais za kuimarisha umoja na amani ya waTanzania. Ni fahari kwa kila mTanzania mzalendo kujivunia umahiri wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika kusimama imara katika nafasi yake ya urais, huku akiwatumikia waTanzania kwa weledi wa kiwango cha juu sana na serikali yake sikivu ya ccm.šŸ’

Well done Dr.Samia Suluhu Hassan
God Bless You Mama.

Mungu Ibariki Tanzania
Acha propaganda za uchawa ww. Unataka kumdanganya nani?
 
Gentleman,
huu ni ukweli wa kizalendo usiopingika kwamba,

kama Taifa,
inafaa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya kutupatia Dr.Samia Suluhu Hassan kama kiongozi madhubuti wa Taifa letu.

Tulifanye hili kwa moyo wote tafadhali šŸ’
 
Ogopa machawa ndo wana tuharibia nchi yetu Tanzo.
my friends, ladies and gentlemen,
msipotoshane hadharani kindezi hivyo ndungu zangu wadau.

Ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa zawadi ya kutupatia Dr.Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wa Taifa letu.

Tujiepushe na mihemko šŸ’
 
People are good at what they're doing, even if it's crap..
Screenshot_20250423_092336_Chrome.jpg
 
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia Suluhu Hassani sio wa dini yao na pengine kwasababu ni kiongozi shupavu mwananmke.

Dhamira na nia njema ya mbeba maono huyu wa waTanzania, ndio haswa chimbuko la uongozi wake madhubuti wa kisayansi dhidi ya wahubiri chuki na wachochea uhasama dhidi ya serikali yake sikivu ya CCM anayoiongoza.

Dr.Samia Suluhu Hassan ni mnyenyekevu na msikivu wa kiwango cha juu mno katika historia ya nchi yetu, hasa anapotekeleza majukumu yake muhimu sana ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote kwa ujumla. Hapajawahi kutokea kiongozi mstahimilivu mwenye subra, hekima na busara kama huyu wa Tanzania kwa sasa.
Kama taifa yafaa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya huyu mama Dr.Samia, na kuzidi kumuombea kwa Mungu aendelee kumjalia afya njema na maono zaidi katika kuwatumikia na kuwaletea waTanzania maendeleo.

Msingi wa uongozi wake imara na usio tetereka, umejengwa katika falsafa yake mwenyewe ya maridhiano, mageuzi, ukarabati na ustahimilivu. Msingi wa falsafa hii ndiyo imeiliunganisha Taifa letu kutoka kwenye migawanyiko na hatimae kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kutoka kujitenga.
Na matokeo yake uchumi wetu unaimarika, huduma za kijamii ni za uhakika zaidi na hali ya kisiasa ikizidi kuboreshwa siku hadi siku kuelekea uchaguzi mkuu wa october2025.

Hekima na Busara za Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, daima zimekua tiba na dawa ya mikwamo na changamoto ndogo ndogo za kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa nchi yetu, licha ya hujuma, kelele za chuki za kidini, msukumo wa mataifa ya nje kwa kutumia vibaraka wao ndani ya vyama vya siasa na madhehebu ya kidini, kujaribu kuhujumu na kuvuruga jitihada za mtukufu Rais za kuimarisha umoja na amani ya waTanzania. Ni fahari kwa kila mTanzania mzalendo kujivunia umahiri wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika kusimama imara katika nafasi yake ya urais, huku akiwatumikia waTanzania kwa weledi wa kiwango cha juu sana na serikali yake sikivu ya ccm.šŸ’

Well done Dr.Samia Suluhu Hassan
God Bless You Mama.

Mungu Ibariki Tanzania
Huyu mama ni mstahamilivu sana,japo kuna baadhi ya watu wanamdharau na like kanisa la waraka wanamdhihaki lakini hana makuu
 
Kuna mtu alisema "hafai hata kwa kazi ya kufagia ikulu"
akili za kuambiwa changanya na zako gentleman,

ungana na waTanzania katika mamilioni yao katika kumshukuru Mungu kwa zawadi ya kutupatia Dr.Samia Suluhu Hassan kama kiongozi mkuu wa Taifa letu.

Usikubali kupotoshwa na waropokaji gentleman šŸ’
 
Gentleman,
huu ni ukweli wa kizalendo usiopingika kwamba,

kama Taifa,
inafaa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya kutupatia Dr.Samia Suluhu Hassan kama kiongozi madhubuti wa Taifa letu.

Tulifanye hili kwa moyo wote tafadhali šŸ’
You said the during the late Magufuli Mwendazake. Ww na machawa wenzako ni wanafiki wakubwa tu hamna lolote. Huo umadhubuti wa mamako ni kuwakamata Viongozi wa CHADEMA na kuwafungulia kesi bandia za uhaini??? Nonsensical character!!
 
Huyu mama ni mstahamilivu sana,japo kuna baadhi ya watu wanamdharau na like kanisa la waraka wanamdhihaki lakini hana makuu
wale watu wa kulawiti vijana wadogo na kukimbilia madhabahuni kujificha ni wanafiki sana, wapuuzwe tu gentleman šŸ’
 
Alaumiwe mwenda zake tabu tunazo zipata chanzo ni yeye mwenda zake kaenda kuzimu na sisi ametuachia kuzimu ya Tanzania.
 
You said the during the late Magufuli Mwendazake. Ww na machawa wenzako ni wanafiki wakubwa tu hamna lolote. Huo umadhubuti wa mamako ni kuwakamata Viongozi wa CHADEMA na kuwafungulia kesi bandia za uhaini??? Nonsensical character!!
Calm down and be free from mayhem,

Let's together as a nation, thanks God for the blessings within the leadership of Dr.Samia Suluhu Hassan, who is very vocal, visionary, uniting factor and vibrant leader of all time since independence šŸ’
 
Kawaida ya mdudu CHAWA ni mdudu mchafu( nasty insect) anakaa kwenye mwili wa mtu mchafu asiye oga au asiye fua. Kwa hiyo huyu Chawa Mwijaku kugaragara kwenye mavumbi ni sahihi, ni asili yake......it's his NATURE.
True
 
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia Suluhu Hassani sio wa dini yao na pengine kwasababu ni kiongozi shupavu mwananmke.

Dhamira na nia njema ya mbeba maono huyu wa waTanzania, ndio haswa chimbuko la uongozi wake madhubuti wa kisayansi dhidi ya wahubiri chuki na wachochea uhasama dhidi ya serikali yake sikivu ya CCM anayoiongoza.

Dr.Samia Suluhu Hassan ni mnyenyekevu na msikivu wa kiwango cha juu mno katika historia ya nchi yetu, hasa anapotekeleza majukumu yake muhimu sana ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote kwa ujumla. Hapajawahi kutokea kiongozi mstahimilivu mwenye subra, hekima na busara kama huyu wa Tanzania kwa sasa.
Kama taifa yafaa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya huyu mama Dr.Samia, na kuzidi kumuombea kwa Mungu aendelee kumjalia afya njema na maono zaidi katika kuwatumikia na kuwaletea waTanzania maendeleo.

Msingi wa uongozi wake imara na usio tetereka, umejengwa katika falsafa yake mwenyewe ya maridhiano, mageuzi, ukarabati na ustahimilivu. Msingi wa falsafa hii ndiyo imeiliunganisha Taifa letu kutoka kwenye migawanyiko na hatimae kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kutoka kujitenga.
Na matokeo yake uchumi wetu unaimarika, huduma za kijamii ni za uhakika zaidi na hali ya kisiasa ikizidi kuboreshwa siku hadi siku kuelekea uchaguzi mkuu wa october2025.

Hekima na Busara za Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, daima zimekua tiba na dawa ya mikwamo na changamoto ndogo ndogo za kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa nchi yetu, licha ya hujuma, kelele za chuki za kidini, msukumo wa mataifa ya nje kwa kutumia vibaraka wao ndani ya vyama vya siasa na madhehebu ya kidini, kujaribu kuhujumu na kuvuruga jitihada za mtukufu Rais za kuimarisha umoja na amani ya waTanzania. Ni fahari kwa kila mTanzania mzalendo kujivunia umahiri wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika kusimama imara katika nafasi yake ya urais, huku akiwatumikia waTanzania kwa weledi wa kiwango cha juu sana na serikali yake sikivu ya ccm.šŸ’

Well done Dr.Samia Suluhu Hassan
God Bless You Mama.

Mungu Ibariki Tanzania
Acheni fix zenu nyinyi. Haya mapambio hayasaidii chochote. Kama hufai, hufai tu. Hata iweke mabango ya kujitangaza mpaka sebuleni, bado haisaidii kitu.
 
wale watu wa kulawiti vijana wadogo na kukimbilia madhabahuni kujificha ni wanafiki sana, wapuuzwe tu gentleman šŸ’
Nani asiye jua maustadhi wanao jifanya Waalimu wa Madras msikitini wanavo wafanyia watoto wenu??? Ni bora ufute hiyo kauli tutawasha moto hapa mpaka mta tafutana. We know much better than u guys!
 
Back
Top Bottom