Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Unataka kujua if am a man pindua marinda alafu utajua vzr
uko na kasoro kubwa sana. punguza kucheka na upunguze kutumia emoji. alafu ningetumia lugha chafu lakini ju kwa sababu wewe ni mdanganyikan,, no need.
 
naona unajaribu kujikongoja kwa kutumia juhudi,maarifa na nguvu kubwa kuandika kwa kingereza na kiswahili pamoja katika kuhadithi ujinga wako.

ukweli ni kwamba lugha zote mbili,kingereza na kiswahili huzijui.

bora tu uendelee kujadiliana na mimi kwa kutumia sheng (kiswahili duni cha kikenya).
 
Sheng means Swahili + English
Na naona umemix Swahili na English. Congrats
 
nipe makosa yangu mkuu. nilikwambia Kiingereza kinachoongelewa America ni tofauti na Kiingereza kinachoongelewa Uingereza (Britain) tena pia tofauti na Kiingereza kinachoongelewa Australia.
Pili, Germany, Austria Switzerland na Luxembourg wote wanaongea lugha moja... Deutsch/Kijerumani. lakini kila nchi inaongea tofauti na mwenzake. just some slight difference. (sadly you won't get the difference coz you know nothing about the two languages which I know perfectly well).
ukija kwa nchi zetu mbili, Tz na Kenya, pia ni tofauti. hata kwenye elimu pia. Swahili is only a subject in Kenyan syllabus, the rest of the subjects are in plain English.
Kiswahili sio ile lugha ya kujisifia Kenya. Hata mwenye hajakanyaga mlango wa shule pia anaweza kuiongea na kuandika. so si kwamba ati hatujui Kiswahili. but kama nilivyokuambia, tunajiweka tu kwenye level yenu ndio tuweze kusonga mbele katika mijadala.
na usiongee juu ya Sheng' kwa kuwa inabadilika kila kukicha na waKenya wakianza kuongea sheng' hauta get any mzae
 
alafu= halafu
tofauti ni? as long as you get the point, IT DOESN'T MATTER. lol. sijui ilikuwa ni wimbo/nyimbo wa/ya The Rock ama nani....

distinguish between these two:

CentEr >>> used by Americans.

&

CentrE >>> the British version.

look >>> who is the fool now? or rather, who is making a fool of himself?
 


mbona unatumia nguvu kubwa sana ya kiwango chako cha akili kutoa maelezo kwa hoja hafifu?

wakati nikiwa naendelea kukufunza machache kuhusu lugha,hapo juu nimekuwekea screenshots mahsusi zinazoendana na mjadala uliolengwa na mleta mada kuhusiana na "slums".
 
Huyu ninja hawezi nyita any
 
Im shocked by these who call themselves Kenyans I call them silly nyangauz who can't even differentiate slum from informal settlements. yawning that they have attended classrooms. Refer your blind arrogant minds to UN- Habitat. ndio maana mnataka mruhusiwe kuvuta na kuuza bangi- vuteni tu nyang'auz. marijuana people.
 
izo screenshot hakuna mwenye yuko na shughli nazo. jaribu mbinu ingine
 
you have nailed it bro.tell the barmaid to save you three bottles of serengeti,I will take care of the bill.
 
Iconoclastes

Le me use this approach may be we could be moving together.
Engineers distinguish between weight and mass, coz they know that SI unit of former is Newton (N) and the later is Kilogram (Kg). But on other hand the layman in engineering are using those two terms synonymously. Again engineers are using two terms force and pressure differently, coz they know that their SI UNITS are Newton (N) and Pascal (p) but others equate force with pressure.
The point I try to make in here is that, if you are not a professional in general planning scheme (gps), town and country planning (real estate planning) and land laws it could be very difficult to decipher in these two concepts slums vs unplanned settlements. You can be confused and equate the two concepts.
 
this subject is too hard for Kunyans to fathom,your analysis is beyong their comprehension.asante sana kaka
 

Okay.....I get it!
So, to cut the long story short, most of the Dar neighborhoods comprise mostly of unplanned settlements, but with few slums and.........planned settlements, right?

As I had implied in one of my comments above, whether slums or unplanned settlements or whichever phrase u pipo w'd prefer to refer to them, they are still pretty much an eyesore.....and they provide the impression that this Dar is such a poor and disorganized city.


 
Bana wee, huu mji kweli, kheri Kigali!! |Daaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…