nimetimiza ahadi yangu kama nilivyohaidi katika post yangu iliyopita hapo juu.(isome vizuri ili kuelewa lengo langu).
nime-spend dakika kadhaa katika mtandao wa twitter kuchunguza neno "slums" lina-refer zaidi nchi gani east Africa.
katika kufanya uchunguzi wangu,nilitumia keyword "slums in east Africa".
matokeo yake ni kwamba,karibia mamia ya tweets zote nilizo zipitia baada ya ku-press kitufe cha search kwenye search bar ya mtandao wa Twitter,zilii-refer kenya kwa kuhusisha zaidi slums zinazopatikana nairobi.
ni tweets chache sana zilizoi-refer Tanzania,Uganda,Burundi au Rwanda.
kwa muktadha huo,kenya ndio nchi pekee inayoongoza kwa slums EA na si tz kama anavodai mleta mada.
ni mujungu tu na chuki za wakenya kwa mama Tanzania.
hizi ni baadhi ya screenshots zinazo ihusisha kenya na slums ndani EA.
(Ktk hizi screenshots, zingine ni latest)
karibuni mjionee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MOTOCHINI ichoboy01 Annael na wadau wengine wote,nimewazawadia Zawadi ya easter,hiyo hapo juu.
NB.screenshots zaidi zitafata.