safi mkaze ili watoke maana hayo si mazingira rafiki ni kimeo sanaKibera is also being gentrified, but still that doent make it less of a slum.
In Kibera, there are very good roads cutting thru the slum
Therefore the presence of a few multi-million marionettes or roads do not change the fact that Manzese is a slum!
And it is the fastest growing slum in the worldhebu take a look on kibera slum in nairobi maana tusianzie miguu wakati kichwa kinamatatizo makubwa na hio ni moja ya slums kubwa duniani
View attachment 497667
nimetimiza ahadi yangu kama nilivyohaidi katika post yangu iliyopita hapo juu.(isome vizuri ili kuelewa lengo langu).
nime-spend dakika kadhaa katika mtandao wa twitter kuchunguza neno "slums" lina-refer zaidi nchi gani east Africa.
katika kufanya uchunguzi wangu,nilitumia keyword "slums in east Africa".
matokeo yake ni kwamba,karibia mamia ya tweets zote nilizo zipitia baada ya ku-press kitufe cha search kwenye search bar ya mtandao wa Twitter,zilii-refer kenya kwa kuhusisha zaidi slums zinazopatikana nairobi.
ni tweets chache sana zilizoi-refer Tanzania,Uganda,Burundi au Rwanda.
kwa muktadha huo,kenya ndio nchi pekee inayoongoza kwa slums EA na si tz kama anavodai mleta mada.
ni mujungu tu na chuki za wakenya kwa mama Tanzania.
hizi ni baadhi ya screenshots zinazo ihusisha kenya na slums ndani EA.
(Ktk hizi screenshots, zingine ni latest)
karibuni mjionee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MOTOCHINI ichoboy01 Annael na wadau wengine wote,nimewazawadia Zawadi ya easter,hiyo hapo juu.
NB.screenshots zaidi zitafata.
And it is the fastest growing slum in the world
Hapana chezea mabepari ya kiafrika
big nation of loosersPamoja sana kiongozi....
Hawa watoto wataelewa tu kuwa Tanzania ni Big Nation na haichezewi....
big nation of loosers
Unaweza kusema chochote utakacho kwasababu hakuna anayeweza kukuzuia kufanya hivyo na hiyo ni haki yako ya msingi kabisa....big nation of loosers
Dar es Salaam slum zao za Kwa mfuga Mbwa uwezi zilinganisha na slum za Nairobi. Nairobi ni hatari. Kwanza Dar ni tu slum twa kuhesabu na twenyewe ukiingia unapita hakuna vinyeshi wala vibanda kama vya slums za KenyaHuwezi waona wakipaza Ujinga ujinga wao wa Madharau
hahaha Mie napita kwa mbali
Wajaribu kutoa kejeli !!
Uzi huu utachafuka kwa video na picha
kuna wakenya wanaishi kama Nguruwe!!
Kuna video moja ya kijana aliye uliwa Mtoto,Baba,Mama
kisa Ardh
akakimbilia kibera
kiukweli ukiitazama utapata uchungu
anaonyesha maisha yao Da!!
Kuna vitu vyakuanzisha kukejeli jirani lakini si Haya,
Unaweza leta story za magazeti
lakini hauta pata video halisi yakile unacho kizungumzia.
Wajaribu Kutembea
waje Dar
watazame hizo Slum
kisha waangalie na kwao vipi!!
Dar sijaona makazi mabaya na yahovyo kama Nairobi
Never ever
mimi naweza kukufunza kiingereza pamja na familia yako yte...umesahau mimi mkenya na wewe mtanzania? the country of broken-English speakersKajifunze Kiingereza.
..sijui wewe ni akili punguani ama?Unaweza kusema chochote utakacho kwasababu hakuna anayeweza kukuzuia kufanya hivyo na hiyo ni haki yako ya msingi kabisa....
Tatizo ni kuthibitisha usemacho,hapo ndipo kwenye tatizo kubwa sana kijana,can you do that?
Ahsante sana kwa kunithibitishia namna ulivyo......sijui wewe ni akili punguani ama?
asa huyo anawafunika wakenya kwa kuchapa english..kuchapia kitu cha kawaida isitoshe aiyo lugha yetu hata tukichapia powa tu hatuna habari....ili mradi kishaeleweka[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]mimi naweza kukufunza kiingereza pamja na familia yako yte...umesahau mimi mkenya na wewe mtanzania? the country of broken-English speakers
Diamond Platnumz poor English shocks the nation — Blizz Uganda
Fans Throw Shade At Ali Kiba’s Poor English | Afro Parazi
Kisungu Ilikuja Na Meli! Diamond Platnumz Thoroughly Embarrasses Himself In Public, See What His Fans Told Him » Kenyan News
hahahahahahahaha watanzania bana...
umapanic buda,punguza kutoa povu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]mimi naweza kukufunza kiingereza pamja na familia yako yte...umesahau mimi mkenya na wewe mtanzania? the country of broken-English speakers
Diamond Platnumz poor English shocks the nation — Blizz Uganda
Fans Throw Shade At Ali Kiba’s Poor English | Afro Parazi
Kisungu Ilikuja Na Meli! Diamond Platnumz Thoroughly Embarrasses Himself In Public, See What His Fans Told Him » Kenyan News
hahahahahahahaha watanzania bana...
great artist but a big embarrassment heheumapanic buda,punguza kutoa povu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]