Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

..sijui wewe ni akili punguani ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimetimiza ahadi yangu kama nilivyohaidi katika post yangu iliyopita hapo juu.(isome vizuri ili kuelewa lengo langu).

nime-spend dakika kadhaa katika mtandao wa twitter kuchunguza neno "slums" lina-refer zaidi nchi gani east Africa.


katika kufanya uchunguzi wangu,nilitumia keyword "slums in east Africa".

matokeo yake ni kwamba,karibia mamia ya tweets zote nilizo zipitia baada ya ku-press kitufe cha search kwenye search bar ya mtandao wa Twitter,zilii-refer kenya kwa kuhusisha zaidi slums zinazopatikana nairobi.

ni tweets chache sana zilizoi-refer Tanzania,Uganda,Burundi au Rwanda.

kwa muktadha huo,kenya ndio nchi pekee inayoongoza kwa slums EA na si tz kama anavodai mleta mada.
ni mujungu tu na chuki za wakenya kwa mama Tanzania.

hizi ni baadhi ya screenshots zinazo ihusisha kenya na slums ndani EA.
(Ktk hizi screenshots, zingine ni latest)

karibuni mjionee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
6ec8c6b62c0989950b5e14789fdf06eb.jpg
4733b4ebbdf175dd4ba82b1bcecfdf67.jpg
2884a14586e6513e6f9ced470a317ea3.jpg
08ad4991e3a6840042fda289a7dee140.jpg
737b4560ec69134e01bbed1c7ddf0fc2.jpg
befe155b3865167cd8dabb44b699c9f0.jpg
7ca54afbd779e5c3930110712dfb08c1.jpg
1cb162d95497a1950980872f68e85712.jpg
66a5f1e591eb2c46b62f809eea81261e.jpg
0edfd4d6b00c7969e2964bec96a5122b.jpg
0f31a4fd66d9c25568d9775824b2be25.jpg
a95fa002b51bb180285bd6d91f2a082b.jpg
2a6031402dbce1bdee623ca7cffaaf97.jpg
bc1432bc9f5c9d33fda47e9358e92132.jpg
0c06ad29cd9fc9f73f7cffdc061d46ed.jpg
f3ebd1e3d5758a34ab2c5109c14cfe65.jpg
08f14f7d105e62ff137d8ccd73b5fda4.jpg
160a345a7b298902e108223927bfbe9f.jpg


[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MOTOCHINI ichoboy01 Annael na wadau wengine wote,nimewazawadia Zawadi ya easter,hiyo hapo juu.

NB.screenshots zaidi zitafata.
 
kuto kufahamu kingereza kwa ufasaha sio tija kwake.

pesa zake zinatosha kulisha familia yako yote.kuanzia wewe mwenyewe,mke wako,watoto wako,mama yako na baba yako mzazi kule ushagoo mashinani.[emoji23]
pesa zipi zile?..hehe 4 million USD? pole pesa ndogo hizo kaka...
 
kibera population nairobi

2.4 Kibera
Kibera is one of the larger slums in Africa and the biggest slum in Nairobi (Republic of Kenya, 2004). It started growing after a group of Nubian soldiers from Sudan, who had participated in the First World War for the British military, settled in the Kibera woods (see Figure 2-4). The number of people living in Kibera is not well known. The United Nations (UN) estimates the population to be around 1,000,000 but KENSUP estimates the population to be around 700,000 people living on 225 hectares (Republic of Kenya, 2004; UN-HABITAT, 2011).
 
prove me wrong Kidonda

sina mda mchafu wa kuku-prove wrong kwasababu kingereza chako hakina ladha ya sharubati.

hata ukikichambia wima kwa kukiongezea vibanzi vya nairobi, bado sishawishiki kukusikiliza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mathare slum population nairobi

2.3 Mathare
Mathare is the second biggest slum in Nairobi, Kenya (see Figure 2-3). It is estimated that between 350,000 – 500,000 people live in Mathare, in an area that is 73.7 hectares in size (Pamoja Trust, 2009; Bright Hope, 2011). Mathare started growing around 1963 when a group of independence fighters settled on land owned by the government (Amnesty International, 2009). Mathare is split into different villages, and part of the land is owned by the government but is mostly privately owned.
 
makuru kayaba slum nairobi

Mukuru slums
From Wikipedia, the free encyclopedia
50px-Merge-arrow.svg.png

It has been suggested that this article be merged into Mukuru kwa Njenga. (Discuss) Proposed since April 2016.

Mukuru is one of the biggest slum in Nairobi, its estimated to be habitat of about 700,000 people in the different village in the slums, it stretches along the Nairobi Ngong river, situated on waste lands in the industrial area of the city between the Outer Ring Road and the North Airport Road and mombasa road
 
so ukichukua populations za only 3 slums in nairobi maana ziko nyingi nimechukua tatu tu
kibera 1 million + mathare 0.5million + makuru kayaba 0.7 million = 2.2 million people
so bado slums nyingi kama kariobangi, mwiki, umoja, guthurei, soweto, kisumu ndogo, etc
tunaenda taratibu maana mimi hua natibu kichwa kwanza kabla viungo vingine
 
mimi naweza kukufunza kiingereza pamja na familia yako yte...umesahau mimi mkenya na wewe mtanzania? the country of broken-English speakers
Diamond Platnumz poor English shocks the nation — Blizz Uganda
Fans Throw Shade At Ali Kiba’s Poor English | Afro Parazi
Kisungu Ilikuja Na Meli! Diamond Platnumz Thoroughly Embarrasses Himself In Public, See What His Fans Told Him » Kenyan News
Screenshot_from_2017-04-18_07_08_13.jpg

Diamond-Platnumz-English.png

hahahahahahahaha watanzania bana...
Hatuna muda wa kujadili ujinga kama huo. Hivi Diamond ni muingereza au mTanzania??
Fyi the guys is making a kill vide his carrier. We baki na kakingereza kako ka hapo machakosi.
This shows how mentally you are affected by colonialism.
 
hehee. i laugh at a danganyikan daring me on The Queen's language. heheheheee
Diamond Platnumz leaves the internet breaking with the worst English sentence ever
Duu some Kenyans need prayers. Sasa ukiongea kiingereza so what??
Please jaribuni kuficha ujinga wako. Shida ulionayo ni kujifungia at your comfort zone yenu Nairobi.
Toka nje ya hapo halafu uende tu hapo Angola na Mozambique uone hicho kiingereza wanachoongea.
Acha kulingia kunya.... kiingereza ni lugha na si utaaalam.
Ungeenda China, continental Europe, Scandinavia, eastern Europe ungeelewa ninachoongea lkn kuwa you have poor exposure leme leave you alone.
 
Back
Top Bottom