Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Kibera is also being gentrified, but still that doent make it less of a slum.

1.jpg


_46390143_dsc_0699.jpg


NHC1.jpg


In Kibera, there are very good roads cutting thru the slum

dji_0337-edit.jpg



g9SAf59h.jpg


oKoFik.jpg



Therefore the presence of a few multi-million marionettes or roads do not change the fact that Manzese is a slum!
safi mkaze ili watoke maana hayo si mazingira rafiki ni kimeo sana
 
kwanza hzi information mumetoa wapi yaonesha wakenya bado tanzania inawasumbua sana kichwa 😀😀😀😀😀😀😀

hvi slum zilizokua nairobi pekeake hata ungekusanya unplaned area zilizokua dar na sehemu zingine haziwezi fikia slum area ya nairobi, na siku zote tunajifunza kutokana na facts za ukweli
nairobi uraban area is only 696 km sq, so nataka kila mmoja kutokana na akili yake aangalie hio picha kwa makini then achukue 696 km sq divide with slum area and city area
kwa mtazamo wa haraka haraka city area nairobi haizidi 120 km sq iliobaki 576 km sq ndio slum area

2000px-Nairobi_slums_area.svg.png

mkishaelewa sasa ntakuja kukuonesheni population of each slum in nairobi yaani inaskitisha sijawah kuona
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
hebu take a look on kibera slum in nairobi maana tusianzie miguu wakati kichwa kinamatatizo makubwa na hio ni moja ya slums kubwa duniani

Kibera Slum.jpg

villages_names.jpg
 
siwezi kuanza kutibu miguu wakati kichwa hakifai hehehehe umeoa slums za nairobi hebu divide with 696 km sq 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 wazee wa sifa

Fig-1-Mathare-Valley-Slums-encircled-is-situated-in-the-north-east-of-Nairobi-Pamoja.png
 
hatuwezi kutibu mikono wakati kichwa kimepasuka 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 nairobi slum

nairobi_01_big.jpg
 
nimetimiza ahadi yangu kama nilivyohaidi katika post yangu iliyopita hapo juu.(isome vizuri ili kuelewa lengo langu).

nime-spend dakika kadhaa katika mtandao wa twitter kuchunguza neno "slums" lina-refer zaidi nchi gani east Africa.


katika kufanya uchunguzi wangu,nilitumia keyword "slums in east Africa".

matokeo yake ni kwamba,karibia mamia ya tweets zote nilizo zipitia baada ya ku-press kitufe cha search kwenye search bar ya mtandao wa Twitter,zilii-refer kenya kwa kuhusisha zaidi slums zinazopatikana nairobi.

ni tweets chache sana zilizoi-refer Tanzania,Uganda,Burundi au Rwanda.

kwa muktadha huo,kenya ndio nchi pekee inayoongoza kwa slums EA na si tz kama anavodai mleta mada.
ni mujungu tu na chuki za wakenya kwa mama Tanzania.

hizi ni baadhi ya screenshots zinazo ihusisha kenya na slums ndani EA.
(Ktk hizi screenshots, zingine ni latest)

karibuni mjionee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
6ec8c6b62c0989950b5e14789fdf06eb.jpg
4733b4ebbdf175dd4ba82b1bcecfdf67.jpg
2884a14586e6513e6f9ced470a317ea3.jpg
08ad4991e3a6840042fda289a7dee140.jpg
737b4560ec69134e01bbed1c7ddf0fc2.jpg
befe155b3865167cd8dabb44b699c9f0.jpg
7ca54afbd779e5c3930110712dfb08c1.jpg
1cb162d95497a1950980872f68e85712.jpg
66a5f1e591eb2c46b62f809eea81261e.jpg
0edfd4d6b00c7969e2964bec96a5122b.jpg
0f31a4fd66d9c25568d9775824b2be25.jpg
a95fa002b51bb180285bd6d91f2a082b.jpg
2a6031402dbce1bdee623ca7cffaaf97.jpg
bc1432bc9f5c9d33fda47e9358e92132.jpg
0c06ad29cd9fc9f73f7cffdc061d46ed.jpg
f3ebd1e3d5758a34ab2c5109c14cfe65.jpg
08f14f7d105e62ff137d8ccd73b5fda4.jpg
160a345a7b298902e108223927bfbe9f.jpg


[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MOTOCHINI ichoboy01 Annael na wadau wengine wote,nimewazawadia Zawadi ya easter,hiyo hapo juu.

NB.screenshots zaidi zitafata.

Nimeamini kweli aliyeshiba hamuoni mwenye njaa.
Nimesoma na kuona hizo picha hapo juu. Nimepata hasira zenye machungu.... na nikaanza kujiambia wakenya wa humu jf wanaongea utadhani wote wameshiba.... kumbe kuna watu wanaishi maisha magumu ambayo huwezi wazia kama kweli binadamu anaweza ishi hivyo.
 
And it is the fastest growing slum in the world
Hapana chezea mabepari ya kiafrika

wazungu sio watu wa kupindisha maneno.mmoja anasema "kibera is one of the world 5 largest slums".

mwingine ili kuwachanganya wakenya wasijue anamaanisha nini,kasema "among the fastest growing slums in east africa...watch out kibera".

kwa jinsi ninavowajua wakenya kwa kupindisha maneno,hapo kwenye fastest growing,watesema mzungu alikuwa anamainisha growing in terms of development but not poverty and poor life standards within the slums.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
703d2d7ee16fe3ba46710cc35903fd3e.jpg
88443355ecb9995056ac8caf9096bbb6.jpg
 
Huwezi waona wakipaza Ujinga ujinga wao wa Madharau
hahaha Mie napita kwa mbali
Wajaribu kutoa kejeli !!
Uzi huu utachafuka kwa video na picha
kuna wakenya wanaishi kama Nguruwe!!
Kuna video moja ya kijana aliye uliwa Mtoto,Baba,Mama
kisa Ardh
akakimbilia kibera
kiukweli ukiitazama utapata uchungu
anaonyesha maisha yao Da!!
Kuna vitu vyakuanzisha kukejeli jirani lakini si Haya,
Unaweza leta story za magazeti
lakini hauta pata video halisi yakile unacho kizungumzia.
Wajaribu Kutembea
waje Dar
watazame hizo Slum
kisha waangalie na kwao vipi!!
Dar sijaona makazi mabaya na yahovyo kama Nairobi
Never ever
Dar es Salaam slum zao za Kwa mfuga Mbwa uwezi zilinganisha na slum za Nairobi. Nairobi ni hatari. Kwanza Dar ni tu slum twa kuhesabu na twenyewe ukiingia unapita hakuna vinyeshi wala vibanda kama vya slums za Kenya
 
Unaweza kusema chochote utakacho kwasababu hakuna anayeweza kukuzuia kufanya hivyo na hiyo ni haki yako ya msingi kabisa....

Tatizo ni kuthibitisha usemacho,hapo ndipo kwenye tatizo kubwa sana kijana,can you do that?
..sijui wewe ni akili punguani ama?
 
mimi naweza kukufunza kiingereza pamja na familia yako yte...umesahau mimi mkenya na wewe mtanzania? the country of broken-English speakers
Diamond Platnumz poor English shocks the nation — Blizz Uganda
Fans Throw Shade At Ali Kiba’s Poor English | Afro Parazi
Kisungu Ilikuja Na Meli! Diamond Platnumz Thoroughly Embarrasses Himself In Public, See What His Fans Told Him » Kenyan News
Screenshot_from_2017-04-18_07_08_13.jpg

Diamond-Platnumz-English.png

hahahahahahahaha watanzania bana...
asa huyo anawafunika wakenya kwa kuchapa english..kuchapia kitu cha kawaida isitoshe aiyo lugha yetu hata tukichapia powa tu hatuna habari....ili mradi kishaeleweka[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
mimi naweza kukufunza kiingereza pamja na familia yako yte...umesahau mimi mkenya na wewe mtanzania? the country of broken-English speakers
Diamond Platnumz poor English shocks the nation — Blizz Uganda
Fans Throw Shade At Ali Kiba’s Poor English | Afro Parazi
Kisungu Ilikuja Na Meli! Diamond Platnumz Thoroughly Embarrasses Himself In Public, See What His Fans Told Him » Kenyan News
Screenshot_from_2017-04-18_07_08_13.jpg

Diamond-Platnumz-English.png

hahahahahahahaha watanzania bana...
umapanic buda,punguza kutoa povu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom