kuto kufahamu kingereza kwa ufasaha sio tija kwake.great artist but a big embarrassment hehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..sijui wewe ni akili punguani ama?
nimetimiza ahadi yangu kama nilivyohaidi katika post yangu iliyopita hapo juu.(isome vizuri ili kuelewa lengo langu).
nime-spend dakika kadhaa katika mtandao wa twitter kuchunguza neno "slums" lina-refer zaidi nchi gani east Africa.
katika kufanya uchunguzi wangu,nilitumia keyword "slums in east Africa".
matokeo yake ni kwamba,karibia mamia ya tweets zote nilizo zipitia baada ya ku-press kitufe cha search kwenye search bar ya mtandao wa Twitter,zilii-refer kenya kwa kuhusisha zaidi slums zinazopatikana nairobi.
ni tweets chache sana zilizoi-refer Tanzania,Uganda,Burundi au Rwanda.
kwa muktadha huo,kenya ndio nchi pekee inayoongoza kwa slums EA na si tz kama anavodai mleta mada.
ni mujungu tu na chuki za wakenya kwa mama Tanzania.
hizi ni baadhi ya screenshots zinazo ihusisha kenya na slums ndani EA.
(Ktk hizi screenshots, zingine ni latest)
karibuni mjionee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MOTOCHINI ichoboy01 Annael na wadau wengine wote,nimewazawadia Zawadi ya easter,hiyo hapo juu.
NB.screenshots zaidi zitafata.
Manyang'au wameamka wana piga mihayo tu. poor Kenyans can't even afford to grow maize.
kabla sijatafuta ilipo kwanza niambie hio link ya mwaka gani na nani mwandishi?????????????? alafu nikujibu
pesa zipi zile?..hehe 4 million USD? pole pesa ndogo hizo kaka...kuto kufahamu kingereza kwa ufasaha sio tija kwake.
pesa zake zinatosha kulisha familia yako yote.kuanzia wewe mwenyewe,mke wako,watoto wako,mama yako na baba yako mzazi kule ushagoo mashinani.[emoji23]
Hatuna muda wa kujadili ujinga kama huo. Hivi Diamond ni muingereza au mTanzania??mimi naweza kukufunza kiingereza pamja na familia yako yte...umesahau mimi mkenya na wewe mtanzania? the country of broken-English speakers
Diamond Platnumz poor English shocks the nation — Blizz Uganda
Fans Throw Shade At Ali Kiba’s Poor English | Afro Parazi
Kisungu Ilikuja Na Meli! Diamond Platnumz Thoroughly Embarrasses Himself In Public, See What His Fans Told Him » Kenyan News
hahahahahahahaha watanzania bana...
Duu some Kenyans need prayers. Sasa ukiongea kiingereza so what??hehee. i laugh at a danganyikan daring me on The Queen's language. heheheheee
Diamond Platnumz leaves the internet breaking with the worst English sentence ever