Tanzania has the lowest IQ in East Africa

Nigeria inatoshana na Tanzania kwa ukubwa, ila hiyo Nigeria ina watu 214,587,291 ilhali Tanzania inao watu 62,546,742
Maana kwamba kwa wingi wa watu, Nigeria inawazidi mara karibia nne
Nyie mpo wachache na linchi lote hilo lenye madini ya kumwaga na ardhi kubwa yenye rotuba nzuri, hamna sababu yoyote kwanini kila Mtanzania asimiliki Noah - Magufuli aliwahi kuwasisimua na huo mstari.

Tatizo kubwa ni hilo lililosemwa la IQ, hamnazo maana mngekua nazo aisei leo tungekua tunakuja kuomba kazi za nyumbani na kupalilia bustani zenu, ila leo hii dada zenu ndio wanaongoza kwa wingi huku wameajiriwa kwenye kazi za ndani, barabara zetu zimejaa omba omba wa kutokea kwenu.
Inatoshana ndio lugha Gani?
 
The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84, Kenya followed it closely with an IQ of 80 while Tanzania had an IQ of 72.

IQ which is a shortened term for intelligence quotient is a measure of human intelligence. A high IQ indicates that a person is intelligent. A low IQ indicates that a person is of lower intelligence and that person can usually be identified by how they approach discussions or arguments.

An IQ score refers to a value that measures intelligence levels. Shorthand for intelligence quotient, IQ scores typically reflect the quality of education in certain parts of the world, as well as the accessibility and resources available to people in those geographic regions. When looking at the average IQ scores of each country, you will notice that areas of the world with lower IQ scores are less developed and poorer than countries with higher IQ scores.

The IQ map shown shades each country depending on the how high the average IQ score is. A higher IQ score is indicated by a darker shade of violet.

There is a range of average IQ scores across the globe. All of the countries have been divided into ranked categories based on their average IQ scores. The lowest IQ on average in the world is 59, while the highest is 108.

The country with the lowest IQ score, on average, is the Equatorial Guinea in Africa. Those who reside in The Equatorial Guinea have an average IQ of 59, which is 49 points lower than the average IQ of Singapore and Hong Kong.

IQ testing takes place around the world, and this data has been compiled to rank the most intelligent nations based solely on IQ. According to the most recent data, Singapore and Hong Kong have the the highest IQ scores in 2019 of 108. South Korea has the second-highest IQ score of 106, followed by Japan and China with an average of 105.

However, it’s important to remember that IQ isn’t the only measure of intelligence. Nations can also be ranked based on factors such as school test rankings or the number of Nobel Prizes won throughout the years. For example, Singapore has the highest IQ but is not considered the smartest nation in the world. That honor goes to Japan, which is ranked more highly in school test rankings and the number of past Nobel Prizes awarded
Yaani mkuu hawa waganda waliotawaliwa na museveni Miaka 40 na hawakohoi ndio wana IQ kubwa ?
Basi IQ ni kitu cha hovyovhovyo sana .
 
Hii huwa hata hainishangazi, mara nyingi huwa nasema haiwezekani ukapewa vyote, aidha upewe raslimali ila unyimwe ubongo au ubarikiwe uwezo wa kutumia akili lakini unyimwe raslimali.

Watanzania wamepewa raslimali nyingi lakini huu utafiti unadhihirisha walinyimwa IQ na ndio maana wao ni maskini kwa kipindi kirefu licha ya kuwa na kila kitu.

Huwa wamejenga uadui na Wakenya kwa ajili ya wivu lakini ukweli ni kwamba sio sisi tuliwanyima ubongo.
Nafurahi tumepitwa na waganda.

I like Ugandans they don't brag, talk high and mighty like others.

The good thing is, we are all people of God who gives us air to breath and rains over our land like the so called privileged and all-knowledgeable guys!!
 
Nchi yetu ni ya maziwa na asali, hatuitaji IQ nyingi ili tu survive. Tumeishinda corona kwa application ya IQ zetu ndogo na maisha yanaendelea. Kwa IQ zetu ndogo tumeleta social justice kwa kiasi kwamba karibu kila mtanzania ni land owner na sehemu kubwa ya private sector inamilikiwa na wazawa. Tumekataa kutumia lugha za wakoloni na kukataa tamaduni zao. Wenye iQ kubwa wamejifungia ndani wanaogopa corona huku sehemu kubwa ya jamii yao ikiwa haimiliki ardhi (wanaishi Kibera) huku ardhi yote ikimilikiwa na Malkia Elizabeth na vibaraka wake na wao wakiwa watumishi na wapiga mapambio wa mabeberu (foreign investors). Taifa lao linatumia lugha ya wakoloni huku wananchi wao wakijinasibu kwa kufuata tamaduni za colonial masters. Kibaya zaidi wanaaminishwa kwa tafiti za uchochoroni kwamba wao wana IQ kubwa zaidi ili wazidi kuwa submissive to their colonial masters. Africa bado tuna safari ndefu, upumbavu ni kipaji
Kabisa Kenya ni puppets hilo linajulikana Afrika na dunia nzima we zungumza hata na mzungu,mwarabu au Mwafrika asietoka East Afrika hilo Kenya kuwa ngome ya mkoloni linajulikana ndo maana 87% ya ardhi ya wakenya haimilikiwa na wakenya bali wazungu na watu kama Kenyatta family wengine hawa wanakuja kutupgia kelele humu na IQ zao wabaki nazo tu
 
It doesn't matter, vita ni vya wazungu nyinyi mnawashwa makalio, pathetic
Ukishajua vita ni vya wazungu mbona basi mnalilia mkibaguliwa uzunguni? Watu weusi wamefuata nini uzunguni basi hadi kuwa mistreated as you say? Hope you now know who's pathetic na kuwashwa makalio between me and you
 
Nigeria inatoshana na Tanzania kwa ukubwa, ila hiyo Nigeria ina watu 214,587,291 ilhali Tanzania inao watu 62,546,742
Maana kwamba kwa wingi wa watu, Nigeria inawazidi mara karibia nne
Nyie mpo wachache na linchi lote hilo lenye madini ya kumwaga na ardhi kubwa yenye rotuba nzuri, hamna sababu yoyote kwanini kila Mtanzania asimiliki Noah - Magufuli aliwahi kuwasisimua na huo mstari.

Tatizo kubwa ni hilo lililosemwa la IQ, hamnazo maana mngekua nazo aisei leo tungekua tunakuja kuomba kazi za nyumbani na kupalilia bustani zenu, ila leo hii dada zenu ndio wanaongoza kwa wingi huku wameajiriwa kwenye kazi za ndani, barabara zetu zimejaa omba omba wa kutokea kwenu.
Your asshole
 
Hata hiyo development bado mko nyuma ya Kenya, Ethiopia and Uganda.
Duh we embu koma kusema uongo.
Uganda hawana development ya kuizidi TZ.
Halafu hiyo Ethiopia unayosemea ww inasaidiwa bajeti ya nchi Kila mwaka na mashirika ya fedha ya UN.
Yani hawana kitu wanaweza kufanya kwa pesa yao au ht kutengeneza bajeti ya serikali kwa pesa yao .
Hiyo Ethiopia uisemayo ina gender inequality,ina food insecurity,ina political instability,ina low level of social development in provision of social services,Ina mass unemployment kiasi vijana hukimbia kutafuta maisha nje.
Hao Uganda ndio kabisa ht pesa yao iko chini.
Na Kenya tunawajua nchi inaendeshwa kifisadi kelele za debe tubu.
HAYA MAENDELEO GANI UNAYAZUNGUMZIA WEWE!?
HAWA WAZUNGU KWA HZ RANKING ZAO AMBAO ZIPO TU ZA KUFIKIRIKA ON THE GROUND SIFURI ZINAWAPUMBAZA SANA.
 
The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84, Kenya followed it closely with an IQ of 80 while Tanzania had an IQ of 72.

IQ which is a shortened term for intelligence quotient is a measure of human intelligence. A high IQ indicates that a person is intelligent. A low IQ indicates that a person is of lower intelligence and that person can usually be identified by how they approach discussions or arguments.

An IQ score refers to a value that measures intelligence levels. Shorthand for intelligence quotient, IQ scores typically reflect the quality of education in certain parts of the world, as well as the accessibility and resources available to people in those geographic regions. When looking at the average IQ scores of each country, you will notice that areas of the world with lower IQ scores are less developed and poorer than countries with higher IQ scores.

The IQ map shown shades each country depending on the how high the average IQ score is. A higher IQ score is indicated by a darker shade of violet.

There is a range of average IQ scores across the globe. All of the countries have been divided into ranked categories based on their average IQ scores. The lowest IQ on average in the world is 59, while the highest is 108.

The country with the lowest IQ score, on average, is the Equatorial Guinea in Africa. Those who reside in The Equatorial Guinea have an average IQ of 59, which is 49 points lower than the average IQ of Singapore and Hong Kong.

IQ testing takes place around the world, and this data has been compiled to rank the most intelligent nations based solely on IQ. According to the most recent data, Singapore and Hong Kong have the the highest IQ scores in 2019 of 108. South Korea has the second-highest IQ score of 106, followed by Japan and China with an average of 105.

However, it’s important to remember that IQ isn’t the only measure of intelligence. Nations can also be ranked based on factors such as school test rankings or the number of Nobel Prizes won throughout the years. For example, Singapore has the highest IQ but is not considered the smartest nation in the world. That honor goes to Japan, which is ranked more highly in school test rankings and the number of past Nobel Prizes awarded
😀😀😀
 
Hii imethibitishwa huko Korea na Mama wa Kizimkazi akiwa na msafara wake.
4 Koreans Vs 29 Tanzanians
 
Kinachofanya tuwazidi uchumi nn sasa?? ukitoa kenya na ethipia Tanzania is the biggest economy hata DRC tumewazidi
 
Nchi yetu ni ya maziwa na asali, hatuitaji IQ nyingi ili tu survive. Tumeishinda corona kwa application ya IQ zetu ndogo na maisha yanaendelea. Kwa IQ zetu ndogo tumeleta social justice kwa kiasi kwamba karibu kila mtanzania ni land owner na sehemu kubwa ya private sector inamilikiwa na wazawa. Tumekataa kutumia lugha za wakoloni na kukataa tamaduni zao. Wenye iQ kubwa wamejifungia ndani wanaogopa corona huku sehemu kubwa ya jamii yao ikiwa haimiliki ardhi (wanaishi Kibera) huku ardhi yote ikimilikiwa na Malkia Elizabeth na vibaraka wake na wao wakiwa watumishi na wapiga mapambio wa mabeberu (foreign investors). Taifa lao linatumia lugha ya wakoloni huku wananchi wao wakijinasibu kwa kufuata tamaduni za colonial masters. Kibaya zaidi wanaaminishwa kwa tafiti za uchochoroni kwamba wao wana IQ kubwa zaidi ili wazidi kuwa submissive to their colonial masters. Africa bado tuna safari ndefu, upumbavu ni kipaji
Man futa huu ujinga. Modern world inahitaji high IQ, na huko tuendapo bila smart peoples hatutoenda mahali.
Unafikiri nchi zenye uchumi mkubwa ziko hapo by mistake?
One of policy zao ni ku identify smart individuals na kuwapa platform kuleta maendeleo kwneye nchi zao. Is why wako hapo
Sisemi kuwa ulaya nzima ni smart, but point yako kuwa we dont need high IQ kwenye nchi ni weak sana
 
Kipimo cha akili ya mtu ni pale yanapotokea matatizo.
Tatizo la corona limetuonyesha nani ana iQ kubwa .
Wakati mnajifungia maambukizi yanaongezeka sisi tunaendelea na maisha kama kawaida.
Kama mnafikiri IQ ni kuongea kiingeleza endeleeni kuamini hivyohivyo.
Is corona relevant now? After corona nchi gani imeendelea kufanya vizuri?
 
Hii huwa hata hainishangazi, mara nyingi huwa nasema haiwezekani ukapewa vyote, aidha upewe raslimali ila unyimwe ubongo au ubarikiwe uwezo wa kutumia akili lakini unyimwe raslimali.

Watanzania wamepewa raslimali nyingi lakini huu utafiti unadhihirisha walinyimwa IQ na ndio maana wao ni maskini kwa kipindi kirefu licha ya kuwa na kila kitu.

Huwa wamejenga uadui na Wakenya kwa ajili ya wivu lakini ukweli ni kwamba sio sisi tuliwanyima ubongo.
Sio ubongo, ni siasa na elimu za kipumbavu alizoleta raisi wa kwanza Nyerere!
 
According to Psychologists, there are four types of Intelligence:

1) Intelligence Quotient (IQ)
2) Emotional Quotient (EQ)
3) Social Quotient (SQ)
4) Adversity Quotient (AQ)

1. Intelligence Quotient (IQ): this is the measure of your level of comprehension. You need IQ to solve maths, memorize things, and recall lessons.

2. Emotional Quotient (EQ): this is the measure of your ability to maintain peace with others, keep to time, be responsible, be honest, respect boundaries, be humble, genuine and considerate.

3. Social Quotient (SQ): this is the measure of your ability to build a network of friends and maintain it over a long period of time.

People that have higher EQ and SQ tend to go further in life than those with a high IQ but low EQ and SQ. Most schools capitalize on improving IQ levels while EQ and SQ are played down.

[ ] A man of high IQ can end up being employed by a man of high EQ and SQ even though he has an average IQ.

Your EQ represents your Character, while your SQ represents your Charisma. Give in to habits that will improve these three Qs, especially your EQ and SQ.

Now there is a 4th one, a new paradigm:

4. The Adversity Quotient (AQ): The measure of your ability to go through a rough patch in life, and come out of it without losing your mind.

When faced with troubles, AQ determines who will give up, who will abandon their family, and who will consider suicide.

Parents please expose your children to other areas of life than just Academics. They should adore manual labour (never use work as a form of punishment), Sports and Arts.

Develop their IQ, as well as their EQ, SQ and AQ. They should become multifaceted human beings able to do things independently of their parents.

Finally, do not prepare the road for your children. Prepare your children for the road."

Kwa kifupi tu wapo watu wenye IQ kubwa lakini wameishia kuwa very poor in life. Hata hivyo linganisha kati ya nchi hizi ipi ni maskini sana kwa kuangalia hali ya maisha ya watu wake?
Nchi kama Kenya ambayo sehemu kubwa ya ardhi inamilikiwa na wachachena kuwaachamajority wakiwa maskini hata chapati na mkate kuona ni chakula cha starehe, sana sana hujivunia mali za setellers ambazo zimewekezwa Kenya na foreigners Uganda sitaki niseme kitu ukifika Kampala nendo huko Bundibuju hawa huwa hatutaniani ngoja nikae kimya.
Kujua idadi ya vitundu kwenye net kwa haraka sana ni kuwa na IQ kubwa lkn kama hulali kwenye hiyo net kujinga na mbu ni low EQ na SQ together.
So wazungu wasiwasifu ujinga
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom