Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na CORONA ikaenda nayeBila Magufuli ndugu zangu tungeangamia
Dah kama kweli hamna daktari sasa haya mabusha yanayowalemea kina Malaria 2 adriz Ritz incharge ITR green rajab Accumen Mo na Adiosamigo yatatibiwaje? Ukizingatia wateule wanavyoendelea kupeleka moto mkali Gaza hawa wana wanamaumivu makali sana na mabusha yao.Ninaliandika hili kwa tahadhari kubwa sana, natamani hata niandike kwa wino mwekundu kisha niligongelee muhuri wa mahakama ili kutilia mkazo.
Nchi hii haina madaktari wala wanaojiita wataalamu wa afya. Hawapo kabisa, hakuna hata mmoja. Nitaeleza.
Mwaka 2020 kulizuka kitu kilichopewa jina la corona. Tukapigwa timbwili la maana tukaambiwa tujifungie uvunguni hakuna kutoa pua nje, ati la sivyo tutaangamia.
Kila mtu akabaki amejibanza kama kifaranga, hata wanaojiita wataalamu wa afya wote wakafyata mikia huku wamejicha nyuma ya milango.
Kuna rafiki yangu mmoja anajiita daktari bingwa, anafanya kazi muhimbili nikamfwata nikamuuliza hili swala limekaaje, akaniambia hata wao hawajui cha kufanya, wanasubiri NOTES (MADESA) kutoka Ulaya. Bila kupewa NOTES ZA KUSOMA kutoka Ulaya hawajui cha kufanya.
Nikagundua kumbe yote wanayoyafanya na kuyaweza ni yale tu waliyoyakariri kwenye vitabu na kwenye NOTES za TWISHENI. Nasikia kuna jamaa yao wa PCB anafundishaga TWISHENI YA UDAKTARI hapo sijui mchikichini!
Kwahiyo likitokea jambo ambalo halipo kwenye NOTES ZAO za kukariri shuleni, TWAFA! Tumekwisha!
Mimi nilijua daktari ni mtu mwenye utambuzi, mwenye elimu pevu ambaye anaweza kung'amua jambo lolote kwa kadiri ya linavyokuja. Kumbe wao wanasubiri kusoma NOTES kutoka Ulaya.
Na hivi juzi, walikuwa wanasubiri kupewa NOTES kutoka WHO ili waelezwe corona ni nini! Wenyewe kama wenyewe hawawezi kufanya lolote mpaka wasome NOTES za Ulaya. Wanakwambia "tunasubiri maelekezo kutoka China".
Bila Magufuli ndugu zangu tungeangamia! Hawa wanaojiita madokta ni watu wa kutafuna mshahara tu na kujitwika makoti makubwa ya danganya toto.
Cha kushangaza, chanjo zilivyoletwa tu, wakakurupuka kwa kasi kutoka mafichoni ati wanajidai kutoa elimu kwa umma!!! Ati wanaelimisha!
Kwamba Corona ilikua ni upuuzi?Kuishi kwenye hii dunia kwataka kuwa na akili za ziada kung'amua mambo, dunia ina uongo mwingi sana yumkini hata kuwadanganya wasomi. Wengine tuna elimu ndogo lakini suala la corona tuliliona ni upuuzi tu na lingepita ki aina. Watu wangewekwa karantini wangeumia zaidi kwa kukosa chakula kwani hakuna drone za kutosha kudondosha chakula. Chakula chenyewe kingekuwa chepesi tu cha kulambalamba na ambacho hakishibishi. Watu wengi wangepata utapiamlo kwa kukosa lishe bora ambayo hupatikana kila siku masokoni. Cha ajabu upuuzi huu uliingia mpaka nyumba za kuabudia. Pumbavu sana nisingehangaika kwenda kusali kama kungekuwa na masharti yale ya kuvaa barakoa na kukaa mbali na wenzangu hiyo isingekuwa ibada bali ni mkusanyiko wa watu wenye hofu ya kufa na Mungu hayupo hapo kamwe. Wahuni wa dunia wanaweza wakazusha hofu tena duniani wakiamua kufanya hivyo
Wajinga tu hao. Wanazani suala la Corona ni suala fikirishi. Kwamba kwakua ww ni daktari basu ukae sehemu tulivu utafakari na utuletee majibuSawa Kuna ukweli ila sio Kwa madaktari tu inaonekana karibia Kila sehemu yenye utaalamu tupo hivi ila serikali yetu inawawezesha kufanya tafiti hao madaktari?
Maana ni gharama kufanya tafiti ata Kwa wahandisi pia hela ya kununulia vifaa ni kubwa
pole. tafuna vitunguu saumu asubh kimoja ,mchana kimoja na jioni kimoja. usisahau kwenda pimaJamaan tumbo linaniuma skuu ya nne sijapata choo hata kutoa upepo nkra kitu kdogo linajaa
Hujatumia ubongo wako kufikiri vizuri mkuu!!Ninaliandika hili kwa tahadhari kubwa sana, natamani hata niandike kwa wino mwekundu kisha niligongelee muhuri wa mahakama ili kutilia mkazo.
Nchi hii haina madaktari wala wanaojiita wataalamu wa afya. Hawapo kabisa, hakuna hata mmoja. Nitaeleza.
Mwaka 2020 kulizuka kitu kilichopewa jina la corona. Tukapigwa timbwili la maana tukaambiwa tujifungie uvunguni hakuna kutoa pua nje, ati la sivyo tutaangamia.
Kila mtu akabaki amejibanza kama kifaranga, hata wanaojiita wataalamu wa afya wote wakafyata mikia huku wamejicha nyuma ya milango.
Kuna rafiki yangu mmoja anajiita daktari bingwa, anafanya kazi muhimbili nikamfwata nikamuuliza hili swala limekaaje, akaniambia hata wao hawajui cha kufanya, wanasubiri NOTES (MADESA) kutoka Ulaya. Bila kupewa NOTES ZA KUSOMA kutoka Ulaya hawajui cha kufanya.
Nikagundua kumbe yote wanayoyafanya na kuyaweza ni yale tu waliyoyakariri kwenye vitabu na kwenye NOTES za TWISHENI. Nasikia kuna jamaa yao wa PCB anafundishaga TWISHENI YA UDAKTARI hapo sijui mchikichini!
Kwahiyo likitokea jambo ambalo halipo kwenye NOTES ZAO za kukariri shuleni, TWAFA! Tumekwisha!
Mimi nilijua daktari ni mtu mwenye utambuzi, mwenye elimu pevu ambaye anaweza kung'amua jambo lolote kwa kadiri ya linavyokuja. Kumbe wao wanasubiri kusoma NOTES kutoka Ulaya.
Na hivi juzi, walikuwa wanasubiri kupewa NOTES kutoka WHO ili waelezwe corona ni nini! Wenyewe kama wenyewe hawawezi kufanya lolote mpaka wasome NOTES za Ulaya. Wanakwambia "tunasubiri maelekezo kutoka China".
Bila Magufuli ndugu zangu tungeangamia! Hawa wanaojiita madokta ni watu wa kutafuna mshahara tu na kujitwika makoti makubwa ya danganya toto.
Cha kushangaza, chanjo zilivyoletwa tu, wakakurupuka kwa kasi kutoka mafichoni ati wanajidai kutoa elimu kwa umma!!! Ati wanaelimisha!
Ongezea kubeti, monde na mademu...Tuko gudi kwenye simba na yanga.
Nimewahi peleka mgonjwa wangu hapo MOI baada ya kupata ajali, pamoja na kukaa miezi karibia 2 na kulipa mapesa kibao nasikitika kusema kwamba mguu haukutengamaa mpaka leo.. So sad...kwasababu hauumwi umeshiba maharage yako unajijambia tu, unatoa ushuzi tu subiri uumwe au upate ajali utuandikie tena. Kweli we ni bwege
Amini kuwa tungekuwa katika hali njema sana ila sio ya kulinganishwa na hao nguruwe weupe....tatizo linakuja kuwa tumeishaharibiwa kiasi kuwa ili tuseme tumeeendelea lazima tujilinganishe na wao....kifupi maendeleo ni kuwa kama wao...huo ni undezi.Bila mzungu afrika sijui tungekua katika hali gani?
Kuna ma Dr , wengine wanatibu kwa ku google kwenye simu [emoji19]Sema ndio hivyo madaktari ni kama wamepewa umungu mtu kutokana na umuhimu wao na watu kudhani jamaa wanauelewa saana, nakumbuka siku Daktari anamruhusu mgonjwa wangu arudi nyumbani et atakuwa sawa tu kwa tiba aliyompa yeye tena huku ananihakikishia kabisa kuwa baada ya muda atakuwa sawa, kama si kujiongeza na kutochukulia daktari mungu mtu basi pengine yangekuwa maafa nyumbani ila nikampeleka Amana mgonjwa akalazwa.
Wanaokoa maisha ya watu hilo halipingiki ila kuna wakati wanacheza sana uhai wa watu.