Tanzania hatuna Madaktari, tuna vishoka na makasuku

Dah kama kweli hamna daktari sasa haya mabusha yanayowalemea kina Malaria 2 adriz Ritz incharge ITR green rajab Accumen Mo na Adiosamigo yatatibiwaje? Ukizingatia wateule wanavyoendelea kupeleka moto mkali Gaza hawa wana wanamaumivu makali sana na mabusha yao.

Serikali iliangalie hili jambo kwa makini sana

Nyonzo bin mvule
 
Kwamba Corona ilikua ni upuuzi?

Aisee. Sawa.
 
Sawa Kuna ukweli ila sio Kwa madaktari tu inaonekana karibia Kila sehemu yenye utaalamu tupo hivi ila serikali yetu inawawezesha kufanya tafiti hao madaktari?

Maana ni gharama kufanya tafiti ata Kwa wahandisi pia hela ya kununulia vifaa ni kubwa
Wajinga tu hao. Wanazani suala la Corona ni suala fikirishi. Kwamba kwakua ww ni daktari basu ukae sehemu tulivu utafakari na utuletee majibu
 
Hujatumia ubongo wako kufikiri vizuri mkuu!!

Mi ni mkemia sio dokta by the way!!

Ikitokea watu wachache hasta mia hawafiki wakajifungia maabara kutengeneza chemical mpya ambayo wanaijua wait pekee wakaja wakatupa sisi tulio nje ya maabara bila theory yeyote ile Basi hasta size na knowledge tuliyo nayo tutafeli kuitambua ninmchanganyiko was Nini hiyo kemikali ilitengenezwa!


Corona ni product ya watu wachache sana walijifungia maabara kutengeneza chemical fulani itakayoua watu kwa njia ya hewa Tena mania ya watu!walipofanikiwa wakagonga cheers kujipongeza!!ikawa siri Yao Waka release hiyo kemikali hewani na watu wakaanza kufa!!

Sasa daktari yeyote ingechukua muda hata was miaka hata 20 au 50kujua kile ni ni na kinauaje watu vile!!!huwezi kung'amua haraka vile!!

Hata ugonjwa wa tauni uliua sana ikachukua muda mrefu Sana kutengeneza notes zake na jinsi ya ku deal nao!!!


Nimejaribu kukujibu scientifically!!

Jpm alitumia mbinu ya survival of the fittest na struggle for existence coz alikua Hana namna kwa uchumi ulivyo!yaani was kufa wafe was kupona wapone!Bahati nzuri sisi tuna natural immunity ambayo ilisaidia japo wengine walikufa wengi tu na takwimu zikafichwa!!!watu.wa idara ya afya wanajua!!
 
kwasababu hauumwi umeshiba maharage yako unajijambia tu, unatoa ushuzi tu subiri uumwe au upate ajali utuandikie tena. Kweli we ni bwege
Nimewahi peleka mgonjwa wangu hapo MOI baada ya kupata ajali, pamoja na kukaa miezi karibia 2 na kulipa mapesa kibao nasikitika kusema kwamba mguu haukutengamaa mpaka leo.. So sad...
 
Wanachojua ni kutunywesha ma O.R.S tukiwatembelea majumbani mwao. Unatengewa juisi kwenye glass ya wine macho yanakutoka kwa hamu ya juisi ukipiga funda moja unakuta ni mchanganyiko wa maji na ors. Madokta punguzeni kuchukulia mambo serious mda wote
 
T
Bila mzungu afrika sijui tungekua katika hali gani?
Amini kuwa tungekuwa katika hali njema sana ila sio ya kulinganishwa na hao nguruwe weupe....tatizo linakuja kuwa tumeishaharibiwa kiasi kuwa ili tuseme tumeeendelea lazima tujilinganishe na wao....kifupi maendeleo ni kuwa kama wao...huo ni undezi.
 
Tungekuwa na madokta ungesikia mama kaupiga mwingi kapeleka madokta 100 UAE
Ila kwa kuwa sisi elimu yetu ni kukariri alipopewa ofa huko akasema ukweli na kupeleka wafanyakazi wa ndani na hiyo ndio size yetu
Kama PhD wetu walikunywa juice kutoka Madagascar kwa mbwembwe eti ni dawa ya Corona bado unaamini kuna elimu hapo
 
Kuna ma Dr , wengine wanatibu kwa ku google kwenye simu [emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…