Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Mimi ni wathamani sana katika Taifa hili. Hata wewe ni wathamani mbele za Mungu maana umeumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu.
Uthamani wako unatoka wapi kama hoja zako ni za kijinga kwa kiwango hiki. Jioni hata aibu kila mmoja anakupinga hoja zako za kichawa Kwa watawala bila kujua unaliangamiza taifa lako!!?
 
Safi kabisa, hayo ni matokeo ya kodi zetu sisi wenyewe watanzania, Rais au mbunge hana hela mfukoni, ni fedha zetu kodi yetu Hiyo 🤔🤔
Pesa zetu sawa, lakini Mama Samia Suluhu Hassan anazisimamia vizuri. Na hilo ndilo linatufanya tumpongeze!
 
Una hakika hakuna?
 
Kwani Nchi ambazo wanafunzi wao wanakaa chini na kukosa madarasa na huduma zingine.Je wao hawakusanyi kodi? Tujifunze kupongeza pale serikali inapofanya vizuri.
Serikali inatimiza wajibu wake si lazima kupongezwa. Wanaopaswa kupongezwa ni walipa kodi maana pesa ni yao
 
Haki itndeke kwa Slaa
 
Unaongelea yale madarasa yaliyojengwa kwa kujifanya Corona ilitusumbua wakati sisi wala hatuweka lockdown ?!!!

Kwahio in short ingebidi sisi ndio tuwajengee wengine madarasa na sisi kujengewa. Hio moja mbili kama madarasa shule lukuki zimejengwa vipi bado naona kitaa wakufunzi hawana ajira na wanaendelea kusota ? Au ni kuta na milango ndio itafundisha ? Au ni bora Elimu....
 
Taarifa kuhusu hiyo picha ipo hapa Kilifi: Picha za wanafunzi wakiwa kwenye darasa lililofurika zawaudhi wakenya ikionyesha wanafunzi wa shule ya Mangoro nchini Kenya.
 
Ni Tanzania lakini sio kipindi cha mama. Lucas kasema
jamaa ni mjinga huyo anayemuita mama hajabadili kitu zipo shule zinatolewa hadi kwenye habari wakuu w wilaya wanazima zima taarifa ila hali ni mbaya
 
Uthamani wako unatoka wapi kama hoja zako ni za kijinga kwa kiwango hiki. Jioni hata aibu kila mmoja anakupinga hoja zako za kichawa Kwa watawala bila kujua unaliangamiza taifa lako!!?
Umewahi kusoma habari za Galileo?
 
Pesa zetu sawa, lakini Mama Samia Suluhu Hassan anazisimamia vizuri. Na hilo ndilo linatufanya tumpongeze!
Hamna kitu hapo mnaiacha kumsifu Mungu aliyewapa punzi ya uhai mnasifia binadamu kwa kodi zenu wenyewe!!

Kweli ujinga ni mzigo!! Imba sifa kwa Mungu si Samia 😅😅🤔🤔
 
Unifom za Malawi huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…