CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Watu wanajipigia tu kama pombe ya ngomaniHuyo mbona kitambo tu ni boflo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanajipigia tu kama pombe ya ngomaniHuyo mbona kitambo tu ni boflo.
Huyu Lucas Mwashambwa ni takataka kabisaSwala la shule inaitwaje , wilaya gani na mkoa gani haliendani na kichwa Cha habari Cha Uzi wako bwana Lukas.
Sasa je kwa hizi picha nilizoleta hapa kwa rangi za sare zilizopo kwenye picha ke, hizo shule ziko Tanzania au ni nchi za nje?!
Takataka MwenyeweHuyu Lucas Mwashambwa ni takataka kabisa
Wewe kweli no mjinga, uwezo wa kufikiri ni mdogo mno,acha kumsifia binadamu kupita Mungu.Mungu ndiye aliyekufundisha kusoma na kuandika? Mungu ndiye anakulipa mshahara? Mungu ndiye anakutibu Malaria? PUMBAVU!
Ujinga ni mzigo kweliNa wewe fanya kazi na uonyeshe Matokeo Chanya ili tukusifie.
Huyo Lucas Mwashambwa, chawa aliyekubuhu asiye na aibu wala soni sidhani kama anao ndugu wa kuzaliwa. Sana sana anaweza kuwa na ndugu wa kuokoteza tu kwenye mikesha ya mwenge, mvumilieni!Huyu Lucas Mwashambwa ni takataka kabisa
Sasa kinachokuhangaisha na binadamu ni nini? Si ungelikuwa unaahuka na aya za kumsifia Mungu tu humu? Kwanini upambane na sisi tunaomsifia Mama Samia? Au wewe ni juha hujui ulitakalo?Wewe kweli no mjinga, uwezo wa kufikiri ni mdogo mno,acha kumsifia binadamu kupita Mungu.
Tumia vizuri akili zako za kuvukia barabara, ubongo wa mende shida sana!! Kubwa jinga Popoma wewe!!
Akiikataa na hiyo kwamba si Tanzania tufahamishane.Kataa na hii hapa wewe kapuku
Posts zako zote ni uchawa mtupu, unajitoa ufahamu kuwa kama punguani asiye na ufahamu wa kutafiti hali halisi. The realities on the ground are terribly bad, where the hell do you get the nerves kusifia tu pasina kuchambua na ku-balance ukweli on whatever you're fvcking posting.Mimi siyo chawa dogo.
Usitumie nguvu nyingi kuzungumza na mtu anayefanya makusudi kwa kujifanya chizi. Atakukera bure. Juzi juzi tu wabunge wamelalamika Tanroad haina pesa za kuwalipa makandarasi madaraja yamevunjika na barabara hazipitiki lakini mwehu mmoja anapayuka kama amemeza battery. Afanye utafiti sio vijijini, hata mjini tu aone vyoo vya shimo kwa shule kuanzia primary na secondary, ataona aibu. Shule Ina wanafunzi 1500 matundu ya choo 8. Na ni vyoo vya shimo. Maji wakati mwingine hayatoki.Posts zako zote ni uchawa mtupu, unajitoa ufahamu kuwa kama punguani asiye na ufahamu wa kutafiti hali halisi. The realities on the ground are terribly bad, where the hell do you get the nerves kusifia tu pasina kuchambua na ku-balance ukweli on whatever you're fvcking posting.
So hata ukane kwamba wewe si chawa posts zako zinaku-expose kwamba wewe ni chawa, action speaks louder than words.
😀😀Embu acha dharau zako MzeeHuyo Lucas Mwashambwa, chawa aliyekubuhu asiye na aibu wala soni sidhani kama anao ndugu wa kuzaliwa. Sana sana anaweza kuwa na ndugu wa kuokoteza tu kwenye mikesha ya mwenge, mvumilieni!
POPOMA , 🤣🤣🤣🤣Sasa kinachokuhangaisha na binadamu ni nini? Si ungelikuwa unaahuka na aya za kumsifia Mungu tu humu? Kwanini upambane na sisi tunaomsifia Mama Samia? Au wewe ni juha hujui ulitakalo?
Dingi wako angejua matumizi ya condom tusingekuwa na huu uchafu hapa jukwaani leoTakataka Mwenyewe
TanzaniaWewe ndiye useme ni ya Nchi gani,mkoa gani,wilaya gani,kata gani,kijiji au mtaa upi na jina la shule ni lipi . Na siyo kuweka vipicha vya mitandaoni
You nailed it. It is knock out.Tanzania
Arusha
Arusha DC
Moshono
Naurei
Naurei Primary School.
Mnajitoa ufahamu kuukataa ukweli wa changamoto. Unafichaje matatizo. Kuibua kasoro ndiyo kuyatatua. Lakini kuyaficha au kuyafumbia macho ni kuwapuuza, kuwadharau na kuwadidimiza wananchiPicha ilishafanyiwa Uhakiki na moderators mahiri wa JF na Jamiicheck
Iligundulika ni kweli sio ya watoto wa shule Tanzania.
Stupid question 🚾🚾
Wewe ni kapuku tuuMimi siyo kapuku kama wewe.
Siyo kama weweWewe ni kapuku tuu